salam jf
leo naomba ufafanuzi juu ya hili. Ni katika umri upi unafaa mwanaume kua na mpenzi, pia anapaswa awe amejiandaaje?
binafsi nina miaka 26, bado sijafikiria hata kua nae na naona poa 2.
Kwa masikitiko makubwa sana napenda kumpa pole mwanaJF mwenzetu Damie kwa kufiwa na baba yake mzazi. Najua upo katika wakati mgumu lakini Mungu akupe ujasiri katika kipindi hiki kigumu.
Najua...
wanajf habari za mchana pamoja na mihangaiko ya kila siku! wadau kuna dada mmoja leo asubuhi kaja nyumbani kwangu anasema wametofautiana na mpenzi wake ambae wamekaa nae kwa muda wa miaka miwili...
Tatizo langu nahisi linazidi kila nikimpenda mwanamke namkuta amenizidi UMRI mpaka nachoka nimeingia kwenye mahusiano wa kwanza tulikua miaka sawa ila tukashindwana wa pili kanizidi miaka miwili...
Salaamu wanajamvi,
Nami nikaona sio vibaya leo kukatiza kwenye jukwaa hili. Na hii ni juu ya wenzetu wadada na wamaa walioenda shule tukitarajia ingesaidia kuimarisha familia na mahusiano yao...
Mara kadhaa nimekuwa natafakari jinsi ya kuliweka hili....
Ila hapa Nas amenisaidia sana kulieza..
Changamoto katika kulea na kumjenga binti yako ukiwa kama mzazi pekee na Baba!
Hii ni kwa...
Nimepokea ombi maalum toka kwa mama chanja wangu mtarajiwa ,anasema kuna mtu kamwomba ushauri,katika hili naye anaomba mchango wenu.
Ni hivi:
Kuna mdada mmoja (tumwite Cindy), Cindy aliolewa na...
Mambo waungwana?
Mwenzenu nna ka mtihani,nna shoga yangu nikonae kama ndugu,alipata bwana kwenye FB
Mapenzi yaka dumu kwa miezi 5 wakamua kufunga kutaka kufunga ndoa shost wangu ndio
Mara ya...
Upo kwenye ndoa na mumeo mna ndoa yenye furaha tele na mmejaaliwa mafanikio yote!Ya kifedha na kiuhusiano!Na pia mmejaaliwa mtoto mmoja tu wa kike na anafanana sana na wewe mama yake!Bahati mbaya...
HAYA KWA WOOOTE WANAOTARAJIA KUOA
Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka kuoa, jiandae kwa mambo...
Wana JF
Mimi mwenzenu nina mtoto mmoja tu, na huu ulikuwa ni mpango wa mimi na mke wangu kabla hata hatujaoana. Mtoto wetu sasa ni mkubwa ana miaka 14, I am not regreting for that and we are all...
hivi kina umuhimu gani wa hiyo pati,?kama kuna kitu wanajifunza ni nini na kwani nilazima wafanye kwenye ukumbi na watu wengi?uswahilini utakuta kuna watoto na vitu vinavyo onyeshwa si sahihi.je...
Jamani mimi ni kijana wa kiume nimeoa miezi mitatu iliyopita, naomben wadau mnisaidie kina jambo linanitatiza. Mimi kwetu ni Dar es Salaam na wazazi wangu wanakaa Dar es Salaam. Lakini mke wangu...
...hivi, ghafla bin vuu mwenzio anashikwa na dege dege kisha 'anakaukia' kwenye ma-au-nanihii yako...hivi utapiga kelele au 'unakufa' na tai yako shingoni?
Dont ask! ...I don't do 'these'...
Mods please msihamishe hii mana huko mnapopeleka sina access!
Sasa nauliza, ndizi bukoba inaongeza vaginal fluid? Mana there z friend of mine 4rm bukoba alinidokeza kuwa zinachangia sana ndo...
mimi nna mpenzi wangu kwa miaka saba sasa,mimi nipo dar yeye alienda kusini kusoma,kiukweli natoa huduma zote vizuri ata yeye shahidi,siku nikaenda kumtembelea nkamfuma kwenye cmu anajamaa huko...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nina rafiki yangu wa kiume,mshikaji wangu sana anasema ana demu ila hamuelewi elewi. Story kwa kifupi iko hivi.. Demu anafanya kazi yake kwenye maeneo ambayo...
Hivi jamani inakuwaje sikuhizi vijana wengi kupenda mabinti walioajiriwa? Mara nyingi vijana hawa shule ni ndogo na wanawadanganyika mabinti kuwa wanafanya na kumiliki biashara kubwa...