Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

……Wasiwe wachonganishi, wala wasiwe watumwa wapombe; bali waonyeshe mfano mwema. 4 Hivyo wawafundishe akina mama vijana kuwapenda waume zaona watoto wao 5 nakuwa wenye kiasi na safi, wakitumia...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Kama kichwa cha khabari kinavyojieleza, hii ndio khali khalisi. Baada ya kuzunguka majiani bara na visiwani, hatimaye nimefikia kikomo, yaani Kigoma mwisho wa reli. Nimefanikiwa kupata kipusa...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Nina maswali mawili hapo. . .Moja,je majina ya sifa hizo yana maana sawa?Ni kwanini majina hayo huitwa wanawake tu?Swali la pili,hivi mwanaume nae anaweza kuwa na sifa kama ya ukahaba,changudoa au...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Ni miezi kama nane tumeseparate na my hubby, na with that time nimejithibitishia I dont want to go back kabisa. Divorce processes are on (nikimaanisha tumeanza kulizungumzia kama familia za pande...
3 Reactions
158 Replies
8K Views
Hi wana Jf, naomba tujadili kuhusu maisha ya ndani au nje ya ndoa ni yapi yanafuraha zaidi? Sasa hivi ukikaa na wana ndoa hawaishi kulalamika juu ya ndoa zao, vile vile wasio na ndoa wanatamani...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF, Naamini sote tumewahi kusikia na hata kuona sex tape zinazotembezwa kwenye mtandao. Mara nyingi huwa za watu maarufu lakini pia hata za watu wa kawaida zipo nyingi tu...
4 Reactions
67 Replies
8K Views
Yani kuanzia Chini mpaka Juu ni bandia tu!! Kucha - Bandia! Macho - Bandia! Nywele - Bandia! Meno - Bandia! Rangi - Bandia! Makalio - Bandia! Maziwa - Bandia! Bikra - Bandia! Shida yote ya nini...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 24 na nipo Chuoni nikisomea ngazi ya stashahada(Diploma) na nipo mwaka wa tatu(mwisho).Katika maisha yangu nilipanga kuwa nitaoa nikiwa na miaka kama 35 hivi na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
jambo JF tuko pamoja..........leo naendelea na utaratibu ule ule wa kukumbushana juu ya suala hili la Ukimwi na virusi vya ukimwi... leo tuangalie hili suala limekaaje maofisinimwetu.kama...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo nimeamka asubuhi na mke wangu,cha kushangaza ni kukuta amechanjwa chale mapajani yaani kila paja chale mbili. Tumejaribu kujadili ni nini hasa kimetokea tunashindwa kujua,sisi ni wacha Mungu...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hi, naombeni wana jf tujuzane katika hili labda litasaidia....maana ya ndoa ni nini na inajengwa na nini ili iweze kudumu? karibu
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Juzi jumamosi, nimetoka kufanya harusi ya ndugu yangu mpendwa, nilikuwa mmoja wa wanakamati, na wedding hiyo japo ilikuwa ya kawaida tu hesabu zake kwa haraka zilikuwa 25m hivi. Kila nikiwaza...
5 Reactions
37 Replies
7K Views
http://www.eastafricaherald.com/2012/05/i-have-lost-six-wives-to-aids.html
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I was 16 at that time and one man I had never seen before (who looked like he was in his 50s) sat besides me and asked me if i wanted to go to his house and watch Tom and Jerry. He was very...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Ndugu nilikuwa naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa watu kupendana kwa dhati kimapenzi bila kuenjoy sex?
1 Reactions
72 Replies
14K Views
Wakuu wa JF, mabibi na mabwana Salamu, Naomba tuendelee kujadili hili swala la uchangiwaji wa madaraka ya nyumba linalomhu baba na mama, Tuanze kwaza huko nyuma kabla ya kufika hapa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa mwenzenu siku kama nne zilizopita nilipokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ikisema "Yaani mpenzi ujue una nguvu sana moyoni mwangu hivi umeniwekea nini?" kwa shauku ya kutaka...
1 Reactions
90 Replies
6K Views
Send to a friend Wednesday, 23 May 2012 20:46 0digg Raymond Kaminyoge KAMATI ya Bunge ya masuala ya Ukimwi imeelezwa kwamba ukosefu wa mikopo na uhaba wa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kuna kijana anahitaji ushauri wangu juu ya msichana yupi anafaa kumuoa kati ya hawa wawili anaodate nao, nimeona ni vyema kupata ushauri kutoka kwenu wadau kabla ya kumuadvice accordingly! Binti...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sote tunajua kazi ya ulimi wakati wa kula chakula,bila ulimi huwezi kutafuna,bila ya ulimi huwezi kusikia ladha.Lakini kwenye uhusiano ulimi nao unahusika kwenye kuuimarisha uhusiano au...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…