Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Katika stori na mdada fulani ambaye tumefahamiana mda mrefu aliniambia kuwa ana mimba, but sio ya boyfriend wake. Nilianza kumshushia lawama za u-infidelity hadi akapata mimba 'nje', yeye akasema...
0 Reactions
137 Replies
8K Views
Ndugu wana JF, Asaalam. mwenzenu nimepata mtihani, tena mtihani mzito. Dem wa mshkaj anadai jamaa hampendi na wala hana mpango nae kwani ni miaka 4 sasa hataki kusikia habari ya ndoa wala mapenzi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Inasikitisha sana kaka anaoa af anakua hatak hata kuckia ndugu zake may be awe na shida zake ndo anaanza kuwatafuta. Mwingne anadiriki kutamka ndugu yangu ni mke wangu 2! It real pain.
1 Reactions
52 Replies
4K Views
jaman nisaidien,mpenz wangu anafunga ndoa june,mwanzon aliniambia alikuwa na mtu wameachana coz hawakuwa na maelewano na walikuwa mbali mbali,nilimkubali badae akaniambia amekuja kuomba msamaha...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Habari za jioni wana jamii?poleni na majukumu...mimi ni mwanamke niliyeolewa nafurahia sana ndoa yangu,na pia na enjoy sana kufanya mapenzi na mume wangu.ila napenda kujua kama mwanamke ana...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Kama mlivyo ona hapo juu ya kichwa cha habari...kuna rafiki yangu ana matatizo na mke wake kamuambia hataki kuishi na mama yake huyo mme wake nyumba moja, na huyo mama yake hana pakwenda...Kaomba...
3 Reactions
74 Replies
5K Views
Sura na mwili au uzuri wa macho pekee yake kwa wengi huwa havitoshi. Binafsi, I'm especially turned off by bad breath, and strong odors during sex from females due to poor personal hygiene...
2 Reactions
73 Replies
7K Views
I take a walk along the beach all alone. The sun is about to rise so I sit upon the sand. My feet play with the sand, it goes between my toes. The water rises to my feet as the sun begins to...
0 Reactions
14 Replies
26K Views
Jamani girls hv mna kampeni maalum ya kutupa tabu watoto wa wanawake wenzenu? Kwa nini nw a days hamvai nguo za ndani? Sawa may b c...i kero, basi hata tity,
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba ushauri wako: Kuna jamaa yangu alikuwa na mpenzi wake but ilitiokea akaanzisha mapenzi na msichana mwingine wakawa na miadi ya kuwa wote kimaisha afu baadae kidogo akaanza kuzingua na yule...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
seriously......kila baada ya successfully kukaa alone kwa miezi minane (kumb:my mchumba alisafiri kimasomo to belgium) then nikajisifia naweza ishi maisha yote yalobaki bila mwanaume My mchumba...
2 Reactions
81 Replies
5K Views
By Jane Bunce | PUBLISHED: 19 May 2012 An amorous pair have become an internet sensation after their sleepless neighbour recorded the sound of them having sex - and posted it online. But fed-up...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Haya tena Jamani, Jioneeni wenyewe myashuhudie kwa macho yenu!! Jinsi mnavyochunwa mchana kweupeeeee!!, nimekuwekeeni msije mkaniuliza source, wenye kupenda .......
1 Reactions
26 Replies
3K Views
jamani kuna hii campain ya ujanyasaji wakijinsia inayo tolewa na shirika la lisilo la kiserikali la CHAMPION chini ya wizara ya maendereo ya jamii jinsia na watoto nimeiipenda sana INASEMA...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni mdada ambaye ana boyfriend wake, lakini anauza hivi anakasolo gani kama mtoto wa kike, maana hajawaiwa kutongozwa na mwanaume mwingine zaidi ya huyu bf wake.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Majeruhi wa Mapenzi By M. M. Mwanakijiji...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Kiuno kila mmoja wetu anakijua,kinamatumizi mengi kwenye shughuli zetu za kila siku.Lakini kwenye mapenzi au mahusiano kina kazi nyingine hasa kunako game,kiuno kikitumika vyema husaidia kuboresha...
2 Reactions
71 Replies
11K Views
Hii kitu imenitokea live, demu wng anayesoma UDSM mwaka wa mwisho, na tukiwa tumepanga mikakati mingi ya maisha ghafla akawa hapokei simu. Mwanzo nilidhani simu yake kaiacha mbali hasa ukizingatia...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Mara Erotica ana pepo la ngono. Mara ooh mtu gani topic zote ziwe za ngono. oooh inabidi aombewe. Waangalie kule!! Siachi! SEX is my Brand name. And Erotica Erocious my name. I am wandaring...
7 Reactions
129 Replies
16K Views
Habari zenu wapenzi. . .to be honest i micd jf kwa siku mbili hizi Okey back to topic, why do most men feel inferior toward beautiful ladies? Mind me hapa nazungumzia wadada wenye uzuri wa asili...
4 Reactions
72 Replies
4K Views
Back
Top Bottom