Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ndugu zangu; Mama huyu ni jirani yangu anatoa huduma ya M~pesa, sasa mara nyingi nkihitaji huduma hiyo hupenda kumtumia yeye kwa kumpigia simu au kumtumia msg kumwambia anishibishie account yangu...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Guys, naomba ushauri. age difference yetu ipo sawia. je huyu she aatatulia au ndo bado anaendelea na ujana? kwasasa she is decent sana, ni 6 months nipo nae. nawasilisha
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuna siku nilikuwa nasikilza claudz fm kipindi cha leo tena, mtangazaji mmoja akaleta habari ya kwamba ilitokea karibuni huko Kenya mtu aligandana na mke wa mtu! Maskini mume alikuwa amesafiri...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Chupi huwa tunaidharau lakini ina mdomo mkali Chupi chafu na inayotoa kharufu mvaaji naye ni mchafu Chupi yenye mikato ya kike nayo huongea kwa kike-kike Chupi hiyo huitwa "brief" na mvaaji ana...
17 Reactions
190 Replies
20K Views
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution...
1 Reactions
88 Replies
6K Views
Bofya hapo chini....Tick kisha evaluate Marriage Quiz : Free Marriage Quiz : Discovery Health
0 Reactions
9 Replies
1K Views
We get mad over the smallest reasons. We over-analyze everything. We feel a sense of jealousy when we see you talking to someone who has more to offer. We get sad at the thought of ever losing...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kumekuwepo na malalamiko ya akina mama siku hizi kwa waume wao kuwa na mahusiano na ma house girl wao. Je tatizo ni wao kutotimiza wajibu wao au ni tamaa tu za wanaume nipeni jibu
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Kweli wabongo tuna vituko vyetu wenyewe na tunawezana wenyewe. Mtu alikuwa amesafiri tena baada ya kuachana na mlijua hakuna uhusiano. Anarudi toka safari siku mbili tatu anampigia 'demu wake wa...
0 Reactions
95 Replies
7K Views
Kama mapenzi ndio hivi basi tena. gharama ya simu tu hata elf10 haifiki bado unapiga kibomu kikubwa hivo duh. Ana wiki haja ku kubip wala kuku sms mara unashangaaaa......... .............Basi...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Aged 22, mwanafunzi wa chuo kikuu, lakini niliyekulia uswahilini. Nina uwezo wa kusocialize na yeyote, popote, wakati wowote. Nina marafiki kuanzia huku uswazi, wafanyakazi wa sekta isiyo rasmi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
A Boss said to his secretary: "For a week we will go abroad so make arrangement". The Secretary made a call to her husband: "For a week my boss and I will be going abroad, so you look after...
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Hili ndo jukwaa la mahusiano na nadhani ni sahihi tukiagana hapa... Wikiend hii JF haitakuwapo hewani kama tunavyofahamu. Nitawamis sana wana JF wote, but more seriously wanaMMU... Wishing you...
0 Reactions
5 Replies
969 Views
Dondoo za Stand. Haya Maneno muda huu nipo stand ya Kimara naenda posta Kuna wasichana 3 wanajadili.Sijui wenzagu mko group gani hapo du. WASHIRIKI. wale wote wenye vigezo tajwa juu kujua...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Mwanamke hukumkuta bikira, mmekutana kila mtu ni mtaaluma. unaenda kwa mganga wa kienyeji kufanyia miziziology , anachukuliwa na jamaa guest wananatiana hadi jamii yooote wanajua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
mi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nasoma chuo kikuu dar es salaam....nina futi 6 urefu, dark brown in colour............... for more details about me, contact using the below email address...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dah!!jana usiku nilikua angle flani chafu chafu na kimeo kimoja hivi tunapunguziana stress za maisha,mara cmu ya mchuchu wangu wa ukweli ikaingia,nikasogea pemben nikapokea fresh,tukaongea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Rafiki yangu amenitumia ujumbe huu akiomba msaada, pse naomba mumsaidie, ujumbe wenyewe unasema" NAITWA happy nipo ktk wakati mgumu sana.yote niliyoyafanya leo najutia.wakati nipo...
1 Reactions
72 Replies
6K Views
Ndg wana JF, kuna binti 1 2mefahamiana kitambo kama miaka 3 iliyopita, tulishapeana namba za cm na niliwahi kumtaka kimapenzi akakubali japo sikuwahi ku-do naye. Jana nikampigia cm akapokea...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
kuna wakati tunainga kwenye mechi mwenzangu hafiki kileleni wala mimi sishushi mzigo mechi yenye tunaenda karibu dk 40-60 maadalizi ya kutosha je hili ni tatizo
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…