je kufanya mapenzi bila kinga ni ishara kwamba mnapendana kwa dhati, nina mpenzi wangu kila siku analalama kuwa simpendi kisa atataka peku peku na mimi sipo tayari,
Kuna msichana mmoja mzuri na anavutia nimetokea kumpenda,nikaanza mchakato wakumtokea.kama mnavyojua wadau huwezi kukurupuka kwenye hili nikaanza mchakato taratibu wakutengeneza friendshp na...
Rais amwita Wema Sepetu chumbani kwake, nia ni kumliwaza. Amtumia gari na mpambe... Habari kamili uk wa 4....
NIKANUNUA GAZETI MAANA YALIKUWA YAMEWEKWA CHINI YA MIPIRA HUWEZI FUNGUA NDANI...
Sehemu kubwa ya tatizo la perfomance katika majamboz linasababishwa na uchakachuaji wa miili yetu.
1. Matumizi ya dawa/kemikali za kuzuia mimba au kupanga uzazi kwa walio katika ndoa. Kemikali...
Naomba msaada wenu wa mawazo wanajf, niko ktk mahusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu sana na niko na mipango naye yaani nahitaji kumuoa lkn kuna rafiki yangu mmoja ambaye anamsumbua sana huyo...
Nna rafiki wa kike lakini cha kushangaza nikimwambia kitu lasima akifanyie marekebisho kwanza watu na ataki marafiki zake wajuwe kuna sku nimesafiri kwenda mbeya alilia sana na sasa nimerudi dar...
....and our wives from our friends! Huu ni usemi nilioambiwa na Muisraeli mmoja zamani na leo nimejionea
Nimepewa lift kuja Dar na mmoja wa ma-class mates zangu na akang'ang'ania nipitie kwake...
Katika % kubwa ya wanawake ambao hawajaolewa wanaopenda hela sana mara nyingi akishaolewa ni mwanamke wa kujua kutafuta maendeleo na kusaidia kuendesha familia pasipo hitaji tegemezi. Hii ni...
Jamani najua kuwa vijana wengi tunajikuta ktk wkt mgumu hasa baada ya kuingia ktk maisha ya ndoa, ila nafikiri hatujui tatizo ni lipi mpaka tunafikia hatua ya kuishi na wake zetu wiki 1 au mwezi...
Jamani kufuatia mada ya after-sex mistakes naona ipo haja ya kujadili upi ni muda muwafaka wa kurekebishana kasoro zetu ktk majamboz. Mfano umemaliza kuduu na mwenzi wako, lakini baada ya kumaliza...
kWA MLIOZOEA KWENDA KWENDA ULAYA ,ARABUNI NA MAREKANI MWENZIO MI NIPO NATAFUTA DEAL TAMIL,SRI LANKA! HUKO MLIPOKUWA MNASIKIA TAMIL TIGERS ZAMANI KWA NAMNA NILIVYOPOKELEWA HATA SIKUULIZA KUWA HAO...
Eti kwamba zamani ndugu wa kichaga walipogombana walikuwa wakiapizana
na kuvunja undugu ndo maana si ajabu kukuta majina koo nyingi za kichaga
yanapishana kidogo tu lakini unakuta wahusika...
Hivi mpenzi wa kweli utampataje. Is not a jock. Mimi ninatafuta mke wa kuoa, kila mwanamke ninayekutana naye nikimpenda huwa sivungi ninamueleza matarajio yangu kwake kuwa ninataka nimuoe na...
One Day I Will Leave The World And Never Come Back !
You Will Cry When You Will See My Number*..
You Will Miss Me When I Sit Alone*..
You Won't Be Able To Hear My Laugh And Voice Ever Again*...
...nimeshashuhudia % kubwa ya couples walionuniana kwenye foleni za magari kuelekea makazini (asubuhi) kati ya jumatatu na ijumaa. Kulikoni jamani?
...wengine mnakuwa kwenye magari ya nguvu tu...
‎-A Girl will Smile in Pain,
Cry in Joy..
-She will give Up all Her Pleasures;
just for a Smile from Someone She Loves..♥
-She will Change a 100 Dresses,
and still not Like any...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.