Jambo la kuomba ili upate mwenzi wako huwa wakati mwingine ni gumu na si rahisi sana kuamini miongoni mwa vijana wengi.Je ushawahi kuota ndoto yenye sauti elekezi? Hii ni aina ya ndoto ambayo...
Habari za weekend wanajamvi,natumai mnafurahia weekend!
Nina swali dogo tu,
Je kuna watu waliofahamiana hapa JF hasa MMU na baadaye wakawa wapenzi
na kufikia malengo yao ya ndoa...
.:: BEAUTIFUL REMINDER ::.
1 ● The most selfish one letter word "I"... ► Avoid it
2 ● The most satisfying two-letter word "WE"... ► Use it
3 ● The most...
Jaman,ebu nsaidieni mwenzenu,furaha ya maisha ikoje,maana sielewi kabisa nin moyo wangu unataka.kwa kifupi nimekua na kulelewa katika familia yenye kipato cha daraja la kati ambapo yani zile shida...
Hili vazi linashangaza kweli!
Dukani linauzwa hadharani.
Wakati wa kununuliwa linanunuliwa kwa siri.
Wakati wa kuvaliwa linavaliwa kwa siri na linavaliwa sirini.
Linaficha siri.
Linafuliwa na...
Ndugu zangu yapo mambo ambayo mimi nayaita ( after sex mistakes), yaani makosa ambayo yanafanyika mara tu baada ya tendo la ndoa; after sex mistes yanachangia sana kudhorota kwa mausiano watu...
To realize
The value of a sister/brother
Ask someone
Who doesn't have one.
To realize
The value of ten years:
Ask a newly
Divorced couple..
To realize
The value of four years:
Ask a graduate.
To...
Mwezi wa 6 mwaka huu nataraji kumaliza chuo nikahangaikie ajira.
Nikiwa mwaka wa kwanza nilipata mpenzi ambaye tunapendana saaana na lengo letu ni ndoa takatifu. Namheshimu sana mana ana msimamo...
Ndoa maana yake nini?Je mahusiano maana yake nini?Halafu pia mwenzi wa ndoa nini au ni nani?Usikurupuke,jiulize vyema juu ya unachotaka kujibu halafu ndo ujibu...
Unapopata mpenzi na mmemaliza hatua ya kuktongozana na ukakubaliwa je ni mda gani inatakiwa ili mkatende tendo husika??
Je wewe utumia mda gani au leo na vyombo siku hiyohiyo??
tulianza safari kama mida ya kumi na mbili na ushee kwenda hapo mji kasoro bahari ndani ya bm couch, walengwa walikuwa wamekaa adjacent siti ya mbele, kama kawaida niko na kamchina kangu jamii...
Its amazing how the cycle of luv is vicious.
You find luv in abundance,you dont appreciate.it moves on.
You also move on and its ur turn to luv in abundance-the loved one doesnt appreciate you...
Habari za Hasubuhi 'The Great Thinkers'
Naomba kuwasilisha mada hii ili niweze kupata ushauri mzuri wa kumpa Rafiki yangu ili aweze ku MOVE ON.
Anaitwa Anitha (Sio jina Halisi), Anitha ni...
Being ignored feels bad. The more that person is important to you the more pain and rejection you will experience. It's nice not to care about people and have uncaring attitude, but what if...
These tips are for every woman out there who suspects that her man is being unfaithful. It is never wise to accuse without proof so, if you want to catch him cheating you'll have to do a little...
Guys,kwa nini mvulana ama msichana akijua unampenda anaanza kuleta mbwembwe?.Yani mapozi,utakuta mtu anajua kabisa,Mary ananipenda,au John ananipenda,hapo kesi zinaanza.Wakati kabla ya kujua...
Sitaacha kushangaa ya dunia. . . . . . . . . Nilikutana na huyu jamaa kwenye hiace,jamaa alikua mwingi wa mawazo,mpaka wakati mwingine akawa anazungumza mwenyewe,nikamuuliza kulikoni?Ndipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.