Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mwezi uliopita nilikutana na rafiki yangu wa kike wa facebook livena tukapata nae chakula cha mchana. Katika maongezi na kufahamiana zaidi nimetambua kwamba rafiki yangu ni mwananfuziwa chuo...
1 Reactions
62 Replies
4K Views
Habari wana Jf, Juzi kwa rafiki yangu kulikuwa na sherehe ya kuvishwa pete ya uchumba mdogo wake,watu tulikuwa wengi tu sebuleni, Ghafla ktk hali isiyotarajiwa aliibuka mtoto wa mdogo wake akiwa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Hii story ni kutoka kwa jamaa yangu ameniomba ushauri: ilikuwa juzi,mkewe alikwenda kwako kutembelea(kwao na mkewe ni mjini pia) Aidha baba mkwewe ni dreva tax. sasa jamaa yangu akaenda hotel...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Nchi za wenzetu wanaume.hua wanaenda strip club kuangalia wanawake wakicheza taratibu na kwa madaha huku waki'undress. . .sina uhakika na huku kwetu. Nwy ni dhahiri kwamba wanaume hua wanapenda...
3 Reactions
159 Replies
10K Views
Mimi ni mvulana ambaye ndo kwanza naanza maisha tatizo la ajira nahisi limenifanya nijishughulishe na vibiashara vyangu vidogovidogo ambavyo vina nipa kula na mahitaji mengine.Katika maisha yangu...
2 Reactions
95 Replies
8K Views
Wadau naomba tutete kinaga ubaga,kuna jamaa yangu kanipa no ya binti mmoja na binti nimeisha ongea nae several time ila yet sijamwambia linalo nisibu kwake,na leo kaniomba tukutane na hatujawahi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
wajameni nilikuwa na uhusiano wakimapenzi na mke wa jirani.kila mara huniambia ananipenda sana kuliko mumewe wa ndoa, siku moja nilimwambia kama kweli ananipenda aende akadai talaka ili tuwe...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Jaman,mshkaji wangu amepewa huo mtihan na swthart wake.kiukwel msela,hajatulia kivile,na ninahc gal wake atakua kamshtukia,asa ananiomba ushauri amkubalie wakapime au vp maana ye pia anampenda ila...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
mpenzi wako anakupigia simu au kukutumia ujumbe mara nying ila kila mkikutana anataka ngono 2 na si mambo mengine na hakisha kamilisha anakuaga na kuendeleza mawasiliano ya simu 2!je m2 km huyu...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Jamani niwahini nisipotee na kufa kwa presha Nina mpennzi wangu wote tuko chuo kikuu lakini course tofauti lakini tunalingana Umri. Tumeishi kwa pamoja kwa miaka 4 kwa mapenzi ya dhati zaidi ya...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Ninahitaji ushauri wenu wa haraka wadau wa jukwaa hili ,nina msichana ambaye nilianzanae mahusiano kama wapenzi mwenzi mmoja ivi uliopita ,ananipenda nami pia nimempenda ,lakini katika muda huo...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Mimi kuna matangazo nayapenda sana. Lipo la hili mtoto anaendesha ringi lake, linakanyangwa na gari, kisha anajaribu kulinyoosha kwa kajiwe, mama anamwona, anamnunulia baiskeli! Mimi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nasikia wababa wakisema aaaa huyo hamuna kitu hana mtindo wowote akilala kama mzigo. Na mwingine utasikia akisifia kua huyo mama au dada achana nae, akikupa kichuma boga hutoki au akikaa mkao wa...
1 Reactions
36 Replies
10K Views
basi, nimeiondoa, nimeona watu wengi hawaipendi. samahani. siku njema jamani wote.
3 Reactions
50 Replies
9K Views
Ndugu wana jf, kuna mkasa umempata jirani yangu nataka ni share na nyie. Kuna jirani yangu kaoa na ana watoto wawili. Pia ana mdogo wake wa kiume ambae naye pia kaoa. Siku za nyuma huyo mdogo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii kauli inakera sana,mnashindwana kwa mambo mengine ila yeye anang'ang'ania 'umeniacha kwa vile umeshapata ulichokitaka" Kwani we ulikuwa hutaki?
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Hongereni kwa kazi wana JF. Mimi ni kijana mwanaume(31).nimeajiriwa na serikali kipato kinanitosheleza .natafuta mchumba mwanamke(21-25).awe mcha mungu,msafi,mrefu wa wastani,mkweli,afya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna hiki kisa ambacho nilikipata jana baada ya jamaa yangu kujieleza kuhusu shida yake inayohusiana na mambo ya mapenzi, chanzo cha jamaa kujieleza ni kufuatia habari ya mwenzetu mmoja kutangaza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wanajf. Leo nimepata ugeni wa jirani yangu kuja kumsalimia kichanga wangu. wakati naongea naye nikagundua kuwa hana raha ndipo nilipomuuliza kulikoni mama,...................? Jirani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana rafiki yangu kipenzi kaniuliza..'hivi wewe Bishanga wanawake wanavyokupapatikia unadhani ni kwa vile we ni handsome?' Nilitafakari na baada ya kufika nyumbani nilisalula kila kitu nikabaki...
8 Reactions
180 Replies
11K Views
Back
Top Bottom