Jamani kuna malalamiko miongoni mwa wanaume waliooa wanawake wafanyakazi kuhusu mchango wa mishahara yao ktk matumizi ya familia. Nina marafiki wangu kadhaa (waliooa wake wafanyakazi) wote wanadai...
Jamani naomba msaada juu ya hili
Kuna watu wanajiita wachungaji/manabii ambao maombi yao siku zote yanalenga kuondoa mapepo,kuondoa mikosi,kuhusisha kila tatizo la kiafya na shetani/mapepo...
Wakuu niko chuo kikuu ninasoma na dada fulani ambaye nimekuwa nikimpenda sana!wiki iliyopita nikamwambia nina mazungumzo na yeye akaniambia yuko bizze kidogo na akawa ameniambia tukutane ijumaa...
Ndugu zangu wapendwa,niko mbali na familia yangu kutokana na shughuli za kikazi,mke wangu yupo nyumbani pamoja na watoto wangu 2 ,shemeji zangu wa kike na wakiume,nilikuwa home kwa pasaka,so...
habari zenu na poleni na majukumu ya kila siku ya kujenga na kubomoa taifa hili la mdanganyika.
swali langu ni kama ifuatavyo:-
kuna misiba mingi ambayo imetokea na hao wafu kwa namna moja au...
Enzi za Mwalimu ilikuwa ukimtaka demu inakubidi uandike barua uchore na maua mazuri afu unampatia rafiki yake (baada ya kununulia fanta) ampelekee. Kuanzia hapo kazi ishakuwa rahisi, mkikutana...
Wataalamu wa saikolojia wanalielezea tatizo hili kama tatizo la kiakili. Mtu mwenye tatizo au ugonjwa huu huwa anashindwa kujizuia au kuzuia kishawishi kitokacho ndani mwake cha kuiba, tatizo hili...
Baada ya makuzi mema yanayopingana na mfumo dume sasa ni wakati wa kuuangalia upande wa pili wa shilingi. Kwanza kabisa tafsiri ya neno patriarchy ambalo wanaharakati wa jinsia wanadai ni mfumo...
za asubuh jaman, kunajambo nalo linautata etii my ex boyfrend niliamua kuachana nae coz halikua ananichukulia poa sasa baada ya miaka miwil kupita eti anakuja anasema ananihitaj niwe mpenz wake...
Nasikia tetesi mitaa ya sinza,,kwamba marehemu alikuwa anakula mzigo bafuni ghafla ndo simu ya Lulu ikaita chumbani,,baada ya lulu kustop kwenda kuikimbilia simu yake,,marehemu the great naye...
Dear JF members I thought I know women believe me now I'm back to squre one, I think I hardly no women to be honesty if you think you know them you must be telling lies to your self. I'm not...
Jamani wana JF,Japo mtasema ni umbea ila ndo hvo tena.
Jana Jumatatu majira ya saa 9 alasiri,nimemshuhudia baba wa rafiki yangu kipenzi,ameshikwa kiuno na dume mwenzie wanaingia The A***UM...
Hivi karibuni nilimsindikiza mfanyakazi mwenzangu kwenye sherehe ya miaka 5 ya ndoa ya rafiki wa karibu wa mumewe sababu mumewe alisafiri hakweza kuhudhuria hivyo tukaenda wote.Sherehe ilikuwa...
She needs you to provide for her education, her upkeep, her family and her everything all in the name of LOVE.
And should you marry her and then divorce her, she will take you to court and even...
MAMBO VIPI WADAU!!
Ndugu yenu nipo ktk michakato ya kutafuta Permanent GF,maana nimechoka kuchakachua na umri nao unasogea kwa kasi ya kimondo.
Nimefanikiwa kupata Kibinti Kimoja toka Kaskazini...
Sikuzote huwa najiaminisha kuwa Jambo au kitu chochote kimleteacho mtu furaha katika maisha ndicho kimleteacho pia uchungu! tujifunze katika mambo haya mawili:
1. Mtoto azaliwapo familia yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.