Ugunduzi mpya unaonyesha kwamba, wale wanaume ambao huwa ni watu wa kukubali kila jambo wanaloambiwa na wake zao, huja kufikia mahali ambapo uwezo katika tendo la ndoa huisha ambapo hushindwa...
hamjambo humu ndan jaman? Haya tena beby nasty ninajambo lakuwaeleza wote humu yan jamn watu wanapenda watendewe vitu vizuri wao tuu ila wao kutendea wenzao ni shughuli hivo basi nawaambiaa...
Inatokea wakati mwingine watu wawili wanakutana mmoja au wote wawili wakiwa kwenye mahusiano na watu wengine na bado kila mmoja anaishia kuvutiwa na mwenzie hata kufikia hatua ya "KUTAKA" kuwa...
A woman wanted to reach her husband on his mobile phone but discovered that
she was out of credit, she instructed her son to use his own phone to pass
across an urgent message to his daddy who was...
Nimeshangazwa na taarifa kuwa takribani wanawake wote wa kichaga wamekeketwa. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa watu wanne ambao ni wachaga na wanawake. Wao pia wamekiri kuwa wamekeketwa ila...
nashindwa niamue lipi, uhusiano una miezi saba, unagundua mwanaume uliyenaye ana mke wa kurithishwa baada ya kaka yake kufariki, mwanzo wakati mnaanza umemuuliza kama kuna kitu chochote ambacho...
Habari za ucku wakuu,kwa kweli nimeona nitoe kero mwenzenu,yan unakuta mdada au mkaka anafanyakazi ila yeye kwake hapiki,ikifika mida ya msosi anahamia kwa rafiki yake kwa madai kwmba yeye bado...
Nafikiri japo inaweza kuwa kweli kuwa rate ya bikira kwa wanaume ineweza kuwa kubwa kuliko wanawake. Na wanaume waminifu ktk ndoa zao ni wengi kuliko wanawake walio waminifu ktk ndoa zao. Sorry...
nina mpenz wangu ambae tupo nae kwa muda wa miaka mitatu sasa,cku za hivi karibuni ameanzisha mawasiliasno na mpenz wake wa zamani na nilipogundua nilimwonya na kutafta njia za kuwasiliana na huyo...
HARD DISK GIRLS
she remembers everything, FOREVER
RAM GIRLS
she forgets about you, the moment you turn her off
WINDOWS GIRLS
everyone know that she can't do a thing right, but no one can...
Mara nyingine mtu akiishi maisha ya kujali familia huitwa amekaliwa aidha na familia au mke. Consider the following, KUKALIWA facts
A) If KUKALIWA is to allow your wife to be a partner and...
Wote tunajua kwamba kila mtu ana his/her strong points.., hivyo basi ili tupendeke (attract our partners) inabidi kutumia asset zetu .
Wewe kama ni mcheshi, cheka na chekesha, sio kuanza kununa...
From Journal of Family
Psychology... showed that couples in which the
woman is physically more attractive than the man
are happier than couples in which the man is
physically more attractive...
huku wamejaa wasukuma na wengine toka kigoma etc. nimeishi hapa kwa miezi miwili sana, huwezi amini, kila mwanamke ninayekutana naye mara ya kwanza na kumtongoza, anakubali. siku ya kwanza...
Habari za Asubuhi wadau wenye mapenzi mema na jamvi hili?
Leo nna jambo hili,
Neno Asante. Kwa kifupi mimi si mtu wa kutenda mema na kungoja shukrani kwa sababu naona hiyo si kutenda
wema tena...
TUMEANDAMANA NA KINA MAMA KWENDA MSIBANI........ HAPO NJIANI TUNA CHEKA NA KUTIA STORI KAMA HAKUNA MSIBA...... ILE KUFIKA MSIBANI SASA....... HEKA HEKA KWA VILIO WANAJIGALAGAZA NA KUJITUPA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.