Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

"Bwana Mungu akasema, Si Vema Huyo Mtu Awe Peke Yake, Nitamfanyia Msaidizi Wakufanana nae, KATIKA BIBLIA MWANZO 2 : 21.Bwana akamletea Adam usingizi mzito nae akalala kisha akatwaa ubavu wake...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kweli maisha ni kitendawili na leo nimethibitisha wengi hufa bila kutegua..... hebu fikiria hiii kuna wanawake na wasichana wangapi ambao pengine walikuwa wako tayari kumpa 'faraja na amani na...
27 Reactions
139 Replies
13K Views
Kuna wanawake ambao kwa lugha ya mazoea tunasema wamewatawala waume zao. Yaani wao ndio wenye kauli ya mwisho katika nyumba na pia hutumia vibaya madaraka hayo kwa kuwanyanyasa waume zao. Akina...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
tunaishi mikoa tofauti, naamini tunapendana, japo kuonana kwetu ni mara chache sana. kutokana na umbali na majukumu. sote ni watu wazima, aliwahi kuoa, akazaa watoto, it didnt work wakaachana. na...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Compliments can be indispensable to both finding love, and keeping its flames burning once you're in relationship. But we, African lovers are no longer satisfied with words of praise such as...
1 Reactions
63 Replies
4K Views
Wapendwa Heri ya Pasaka, poleni kwa msiba wa Kanumba, surely he will be missed. Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye...
15 Reactions
141 Replies
9K Views
kuna binti mmoja ni mpenzi wangu kwa sasa,na tangu tuingie kwenye mahusiano karibia tunamaliza miezi sita sasa.kinachonishangaza zaidi ni kwamba huyu binti hataki mimi nimuite majina ya...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Hodi wana jf nakuja kwenu kwa mara ya kwanza nikiwa nimetingwa na lillonisibu mchana huu juu ya malezi ya wanetu. naomba mnisaidie majibu hasa ya kunielewesha manake kama shule basi basi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mara nyingi nimekuwa nikisikia na kusoma kwenye majarida mbalimbali ya mahusiano,kuwa wanandoa wanaweza kukaa mwezi mzima bila kupeana haki yao ya ndoa! Mara nyingi chazo kinasemekana ni mwanamke...
0 Reactions
72 Replies
7K Views
Raia wawili wa ujerumani wamekataliwa kuishi pamoja na mahakama ya haki za binaadamu ya umoja wa Ulaya. Watu hao ambao wana uhusiano wa muda mrefu na ambao tayari wana watoto wanne, wawili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ujana (18-35) ni wakati wa kutengeneza maisha yako ya baadaye. katika elimu au ktk shughuli za maendeleo, ukicheza ktk kipindi hiki finali yako itakua ngumu sana. Nikiwaangalia huyu Fataki na suga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
PRESIDENT Jacob Zuma will tie the knot again next weekend in a traditional ceremony in Nkandla. Naona umri kama umeenda ..anawezaje kuwaridhisha hawa wote?
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Katika watu ambao wamepambana na misukosuko hapa jijini, naweza kusema mimi ni mmoja wao. Na labda niseme tu kwamba tabia yangu ya kiherehere na kupenda ujiko, iliniletea kasheshe nyingi sana...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Uko kwenye mizunguko yako maeneo mbali na nyumbani kwako, mara ghafla anakutokea mwanamke usiyemjua kabisa na anakwambia kwa sauti kiasi cha kuwavuta wapita njia wengine waliokuwa wakipita na...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Hebu tuchukulie kwamba umeoa au umeolewa au pia uko kwenye mahusiano,halafu unamkuta mpenzi/mke/mumeo anajiridhisha kimapenzi mwenyewe,kwa wanaume wanasema kujichua kwa wanawake sikumbuki hii...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Kaja na shuga mami la ukweli lina umri kama miaka sitini. Jamaa akaanza kujiuliza, hivi huyu mzuri hivi, je mwanae atakuwaje? Muda ukazidi kwenda huku vinywaji vikali vikiendelea kunyweka. Shuga...
5 Reactions
59 Replies
11K Views
Since nimeona ni ngumu kupata the perfect man to stay with for serias relationship. Nimedecide kuwa na mwanaume mmoja hivi kutoana upweke na kukidhi tamaa zetu za kimwili. Ni mume wa...
2 Reactions
78 Replies
5K Views
Mwanamke ambaye ana tabia a kujilaumu yeye kama mwanamke na kulaani kuwa kwake mwanamke, yuko kwenye nafasi kubwa ya kumuuwa mtoto wake wa kike kisaikolojia. Kuna wanawake ambao kwa kuudhiwa na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
hello,wana jf boyfriend wangu anapenda nivae shanga ama chen kiunoni wakati wa mavituuuz,kwan zna kazi gani?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mambo wadau wenza. Kivyangu mie nimewagawa wanawake katika makundi matatu. Kama ifuatavyo ; 1. Wenye mvuto mkubwa au mkali. 2. Wenye mvuto wa kati. 3. Wasio na mvuto. Tatizo ama changamoto...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom