In relationship... Why men feel INSECURE when their women have more money than them... BUT women feel SECURE when their men have more money than them..?? Does it mean women are after money..?
WF; je iko sawa hii situation kuluusu MKEO/MCHUMBA kuvaa kanga-moko tepe-tepe na kwenda kwenye maonyesho ya kukata MAUNO mbele ya watu.
Mind you: Uyu MKEO/MCHUMBA, kila kitu kinaonekana njenje...
Three months ago, Randy Cox was diagnosed with seminoma, a rare form of cancer. That's when his 6-year-old Drew decided to use his lemonade stand to help raise money for his father's medical...
Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa katika kujaribu kuona kama ujauzito wa mke unaweza kumuathiri mume, umeonyesha kwamba, kuna uwezekano huo na imekuwa ikitokea kwa wanaume katika idadi ya...
Wana jf naombeni ushaur wenu nipo ktk kipnd kigumu sana,nina mpenz wangu wote tunapendana ila kati 2lisalitiana bt tukaahd kufungua ukurasa upya wote 2we wa kweli na 2kapenda kutokana na kutafuta...
Hellow MMU.
Katika maeneo mengi nimeona apple likitumika kama ishara ya upendo/mapenzi. Wakati fulani
niliona katika engagement pete imefichwa kati kati ya apple. Shemeji yangu wakati anaolewa...
Ndugu zangu wana jf.
Mwenzenu yamenikuta.
Hapa nilipo nipo safarini Mwanza nimepanda "ZUBERI"pembeni yangu kuda mdada naye pia anaenda Mwanza ingawa yeye atapiliza kwenda Musoma.
Sasa kimbembe...
Wote tunajua kwamba hakuna kitu mtu hawezi kufanya in the name of love.., iwe kuiba, kusema uongo, kufuja pesa, kutapeli n.k.
Hivyo basi badala ya kumwona anayetenda (kufuja mali, kuingia...
Bandugu hii Nashera hotel sasa imepata umaarufu wa aina yake mjini Moro.
Nilikuwepo juzi kati kula bata viunga hivyo. Adam Malima toka afanyiziwe katika hotel hii basi umaarufu wake umekuwa...
Na wale ita wa tachi
Everything you are
Everything you'll be
Touches the current of love
So deep in me
Every sigh in the night
Every tear that you cry
Seduces me
And all that I am
And all that...
Majira ya kiangazi ndiyo yanazidi kukolea kwa wabeba maboksi. Hata hivyo mbeba maboksi mwanagenzi amegundua balaa lingine ukiacha lile la vinguo vifupi ambavyo ufupi wake unazidi kupindukia kadri...
.....Eti wandugu,jana tulikua na ubishi sana na warafiki
wengine na nimeamua kuleta hapa debate hiyo...
Nataka kuwauuzia hii kesi...
Ukiingia baa au pub na ukamuona binti mreeembo sana...
Ni mwaka wa tatu toka afunge ndoa na mumewe, mumewe ni Dereva
kwenye kampuni ya......... (Naistiri) amepatwa na ugonjwa wa kupararaiz
mwaka jana. Baada ya jitihada kubwa za madaktari kwa sasa...
Wana MMU... Habari za week end?
Naleta kwenu hii thread ili tumsaidie rafiki yangu, kuna mshikaji wangu wa karibu sana ana mahusiano mabaya sana na Baba yake mzazi, kwa muda wa miezi nane sasa...
Kule kwenye siasa watu wamewazodoa sana baadhi ya wale wagombea ubunge wa Afrika Mashariki kwa kutojua vizuri Kiingereza.
Wale ambao wameonekana kujieleza vizuri kwa Kiingereza wengine wamewaona...
The demand by Uganda women to have a clause in the Domestic Relations Bill that allows them to divorce men with bigger organs is something interesting because it confuses one on what exactly...
Habari zenyu wana jf.nimerudi tena kuomba ushauri kwenu!
Mwenzenu nina mpango wa kuongeza mke wa pili sababu naona ntakonda bure na hii hali ya mke kunipangia ratiba ya kunipa unyumba nashindwa...
Apa mtaani kwetu, kuna jirani wangu anaishi na mpenzi wake BUT Mwanaume ndiyo kamfata Mwanamke nyumbani kwake nukuta
CHAMAAJABU: Huyu JAMAA Uwa anamwamkia uyu mwana dada, Na sasa wamefanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.