Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mtaalamu mmoja wa mahusiano na malezi, Dk. Grace Katterman, katika kitabu chake maarufu kinachoelezea athari za Ghubu kiitwacho, Verbal Abuse, anaelezea uharibifu wa tabia unaoweza kusababishwa na...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Trust Me, Amri ya sita ingesema "ZINI KWA NGUVU ZAKO ZOTE, AKILI ZAKO ZOTE na MOYO WAKO WOTE tena KWA IDADI YA WANAWAKE/WANAUME UTAKAYOWEZA" hakuna mtu angezini while now inasema USIZINI ila...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau, Kuna mpemba mwenzangu kaoa huko kaskazini mwa tanganyika. Anajuta sana, anasema mke wake ni mtanganyika, hajui marashi ya karafuu, hajui udi ni nini anaweka kwenye friji, hajui miski...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika maisha yangu nimeshuhudia wanaume wengi wakiwasaliti wapenzi/wake zao, na pindi wapenzi/wake zao wanapogundua wengi wao huwasamehe na maisha huendelea. Lakini kosa hilohilo(usaliti)...
1 Reactions
59 Replies
4K Views
Mwalimu Nyerere alisema kuna maadui watatu (3) wa maendeleo ambao ni ujinga, umaskini, malazi,....katika kizazi cha sasa ameibuka adui mwingine - MAPENZI......!!!!!, refer KANUMBA death. > JE...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau nimeshuhudia hii kitu leo jamaa alikua na demu wake kumbe huyu demu alikua na mwanaume lakini alijibadilisha jinsia na kua mwanamke. Kitaalamu watu hawa wanaitwa Trans Sexual. Jamaa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Siku kama ya leo mnamo mwaka 2010 nilipoteza baba yangu mzazi ambaye aligongwa na pikipiki na kufariki. Nakuombea kwa mungu babangu mpendwa.. ndetichia
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Hiki ni kisa cha kweli, na share nanyi.. He Borrowed A Car For His Wedding And Lost His Wife To The Car OwnerA YOUNG MAN IN EASTERN NIGERIA, WAS PLANNING A WEDDING AND BORROWED A FRIENDS...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wana MMU Kwanza niwaombe samahani wapenzi wangu wa jamvi hili. Nilipotea kidogo. Baada ya kutoka Loliondo kwa babu nilipitia Arumeru kumuuguza kaka yangu, Baba Sioi; na kisha baada ya msiba...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Tufanye mathalan ulipata nafasi ya kwenda kujiendeleza kimasomo nchi za magharibi katika kutafuta shahada ya uzamivu, muda wa shahada ni miaka 4... shule yako hiyo haikuruhusu kurudi nyumbani...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu wangu!ebana wiki iliyopita nilitoka na dame mmoja hvi,asa kutokana na mazingra niliyokutana na huyo gal,iliniwia ngumu kukumbuka suala la zana {condom},coz nilimtembelea...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Binafsi naamin hakuna linaloshindikana kama utakuwa na tabia ya kuwashirikisha wenzio mambo yanayokutatiza. Naombeni ushauri nifanyaje ili kumuacha mpenzi wangu bila kuumiza moyo wangu, wala...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
women wear fake hair, nails, lashes, contacts. Buy fake tits, ass, lips ang get brotox.... But they still want a real man when themselves are fake.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Have you notice that ladies are getting cheaper and easy to get these days. Maybe gays turn to spoil market or its just end time. What do u think?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka kuoa, ASEEEE JIANDAE KWA MAMBO HAYA: 1. Kujitambulisha ukweni. Hapo utatakiwa uende kijijini alikozaliwa mkeo mtarajiwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ninamuda mfupi sana katika eneo nililohamia...hapa ni pahala pa wastaarabu sana, alinikaribisha kwa upendo sana nami nilimpokea na kumuelewa kama dada yangu wa dhati... ila mara nimechoka...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ujana kweli una utamu wake...............alipokuwa kinda akaolewa kwa ndoa ya mkeka alishangilia na kuweka dole gumba lake kwenye "huenda ikawa ndoa ya wake wengi"...aliyafanya haya yote...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
My Irenerose Ni mrefu lakini si mrefu sana, Ni mwembamba lakini si mwembamba sana, She is of medium Size,She is My Alizee of La Isla Bonita Ni mweupe lakini si mweupe sana, She is modal,She has...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Well, going into production... mambo yakikaa vizuri in a month or so kitakuwa mitaani... Nina uhakika kuwa cover itakuwa na mabadiliko kidogo tu...
13 Reactions
66 Replies
6K Views
Lionel Richie - Wandering Stranger With Lyrics By WithoutUHere. - YouTube
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom