Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

:crazy:Jane na Vivy wanafahamiana toka walipokuwa wanasoma Advance katika shule moja,Jane alikuwa na asili ya wivu kwa vivy.walipokuja kukutana chuo kimoja Jane akauanzisha urafiki kwasababu watu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hamjambo humu ndani? Nina shostito wangu tumekuwa toka udogo na anatatizo linamuumiza kichwa ofcourse na mimi pia huwa inanikosesha raha na amenitaka ushauri. Huyu dada yuko early 30s, Mungu...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Jana nilikuwa nimebana kwenye corner moja pale starbucks na piga coffee, mara wakatokea wasichana wawili waka kaa karibu na pale nipo mimi kwenye meza ya pili...wakanza kupiga kizungu chao yule...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa wale wapenzi nataka utumie mizani hii ndani ya weekend hii ili kujua uaminifu,CHUKUA SIMU YAKO MPE MKEO AMA MPENZI NA YEYE AKUPE YAKE NA UMILIKI UANZE LEO HADI KESHO JIONI.je unaweza kufanya...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Habarini za leo wana MMU Jana nikiwa nimepumzika baada ya siku ndefu nilipata simu toka kwa shogangu(ameolewa na mzungu) ambaye tunatofautiana masaa matatu toka anapokaa yeye na mie.Wao wakiwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Never tell a female that you've been thinking about her(Let her think that you have other things going on in your life other than her).Don't answer a call or text late at night(Woman like to do...
3 Reactions
50 Replies
15K Views
Inavyo onekana kwenye mijadala ya mapenzi na uhusiano, hasa kwenye kile ki sub furum {LOVE CONNECT} ikitokea kajitokeza mvulana/mwanaume anatafuta mpenzi/mchumba au marafiki utakuta watu wachache...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
mtaani kwetu kuna jibaba linatembea na mtoto wake (binti yake) wa kufikia (kambo). Mama mtu ameenda kushitaki kwa mwenyekiti wa mtaa kuwa mumewe amemdhalilisha. Naleta kwenu wanaJF kwa ushauri na...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
The Hill Of Wealth: VYAKULA VINAVYOONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA Kaazi kwetu!!!.
1 Reactions
57 Replies
35K Views
wanawake wa jf naomba mjifunze kutoka kwa kajala mchague wa kuolewa nae na mchunguze sio umeona jamaa ana pesa zake wewe from nowhere.. Unaingia mapenzini nae bila kujua hizo hela katoa wapi...
2 Reactions
76 Replies
6K Views
Mapenzi yanapobadilika na uoga kuingia. Yaliyowatokea tujuzeni!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
The local news station was interviewing an 80-year-old lady because she had just gotten married for the fourth time. The interviewer asked her questions about her life, about what it felt like...
0 Reactions
8 Replies
959 Views
Nashkuru wana-jf wote mlionipa mawazo yenu na ushauri wenu mzuri kutokana na tatizo lilokuwa likimsumbua mke wangu, wife alikuwa na jini mahaba ambalo lilimfanya asihisi raha ya tendo la ndoa...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
(¯`·._.•In Loving Memory of My Mother™•._.·´¯) Assalamu Alaikum Amani iwe nanyi. Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa wote ambao walithubutu kuniandikia email na PM...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani mapenzi ya kweli kwangu si kumtoa out umpendaye tu. Kwangu mie nadhani kama kupendana kwa nini mtoto wa kiume amtoe wa kike tu? Inanipa homa sana ninapomuona mmoja anafanya kila kitu na...
0 Reactions
18 Replies
13K Views
Hapa majuzi nilikutana na mshikaji wangu akiwa hana raha.............kumuuliza nini tatizo..........anadai wamegombana sana na wife.................kisa eti mshikaji alimweleza wife wake kwamba...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Bottle of Wine (Women may LOVE this one!) A woman and a man are involved in a car accident on a slipperly, cold Monday morning; it's a bad one. Both of their cars are totally demolished, but...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mapinduzi ya teknolojia, hasa simu za mkononi kwa kiasi kikubwa yamewezesha urahisi katika mahusiano ya kimapenzi. Hata hivyo, kwa wanaume wenzangu, inabidi tuwe makini sana tunapotongoza...
7 Reactions
72 Replies
24K Views
Kuna mchezo nasikia unaitwa streeppoker unachezwa vipi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF Mimi ni member mpya wa hili jukwaa but am interested with advice na michango mbalimbali ya kimawazo inayotolewa kwenye hili jukwaa. In short kuna binti mmoja nilimpenda na nilimjua kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom