Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Inaendelea toka sehemu ya 5 ... “Naitwa Angel, Naweza kuongea na HorsePower?” Iliuliza sauti toka upande wa pili. “Mimi ndiye!” Nilijibu kifupi. “Jamaniii, Unaumwa?” “Kwanini?” “Si sauti ya HP...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za leo wana jamvi? mwenzenu mi si ,mpangiliaji mzuri sana wa thread ila ntajitahidi kwa kadiri niwezavyo. Ni hivi last month kazini kwetu walikuja wafanyakazi wapya 4 (wote wa kike).katika...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari zenu. Poleni na majukumu ya hapa na pale. Leo ninaona niwafahamishe jambo lililonitokea. Katika harakati za kutafuta mwenza wa maisha (mke) nilikutana na binti fulani ambae...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
What people call love is actually a state of mental condition that causes a person to create and operate in an unfounded sense of security. Love is a perfect state of attitude/feelings towards...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Jana kupitia ITV, nilisikia ushuhuda wa dada mmoja kwa jina la Zainabu kama sijakosea ambaye alikuwa anaishi na mchumba wake Mwanajeshi aitwa Hassan, huko Tanga na kuhamia Dar. Baada ya...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Je urahisi wa kufanya tendo la ndoa ni sababu inayowafanya vijana wengi kuendelea kuishi maisha ya 'kiseja' au ndoa nyingi kuyumba.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kitanda ni kitu ambacho watu wengi sana hawajui nguvu yake kwenye kujenga mahusiano Bora yenye kuvutia. Jinsi kitanda kinavyotandikwa, aina ya mashuka yanayotumika,Rangi zake, yalivyoshonwa,usafi...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Tangu zamani na hata leo kwa baadhi ya watu wanamchukulia mwanamke anapomsumbuasumbua mwanaume ndo inakua bomba na wameichukulia hiyo kama tabia ya kike hasa!Lakini mtazamo huu umepata upinzani...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
huyu dada ananisumbua akiwa monthly service ya kumwaga oil anataka nimuwashie jenereta eti kwa kigezo kuwa ndio matokeo ya mgao.namwogopa mungu.yale yale ya sodoma na gomora.nimefunga mkataba nae...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Baadhi ya sehemu kubwa sana ya sisi wanawake ,hutumia watoto wao kama ngao yao ya kupata wao masilahi yao !
0 Reactions
19 Replies
2K Views
.....ninaishi mbali na mpenzi wangu.... Nimetofautiana nae jioni ya leo..... kama mnavyojua mapenzi ya mbali hayakosi wivu..... ...baada ya kutoelewana kwa muda....akatuma hii msg... ..."YAANI...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Heshima mbele wakuu.juzi nikiwa zangu kwenye moja ya lecture hall maarufu hapa chuon kwetu nikisubir pindi lianze,nlibahatika kunasa maongezi ya wadada flani hvi ambao walikua wamekaa jirani...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
1.Its important to have a woman who helps at home, cook, clean and have a job 2. its important to have a woman who can make you laugh. 3. Its important to have a woman who trust and doesnt...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Kwenye familia nyingi (mimi nazifahamu tano) watoto wasipoangaliwa kwa ukaribu wanaweza kuwa na Mahusiano ya kingono bila wazazi wao kufahamu au kuja kufahamu wakati yule wa kike atakapopata...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
hanijui, simjui. tumekutana bahati mbaya kwenye salon ya mke wa boss wa mume wake. ndio salon niendayo na mchuchu alishaniambia kua kuna siku nitakutana na mkewe maana ndio salon yake nae. siku...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Nnaishi kwenye nyumba mojawapo kati ya nyumba mbili zilizoko ndani ya geti moja. Kwa hiyo tuko karibu sana na Jirani ya ngu kama vile marafiki wazuri. Jirani yangu ana mtoto mmoja wa kiume na pia...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Jumanne ya juzi kuna kijana mmoja alipigwa sana na kupoteza uhai udsm hall 1 kwa kuitwa mwizi. Uchunguzi uliofanyika ulibaini yule kaka hakuwa mwizi. Alikuwa boyfriend wa mwanadada mmoja...
1 Reactions
63 Replies
5K Views
Don’t worry about the calories in those Valentine’s Day chocolates – a proper celebration in the bedroom can help keep you in shape. In fact, sex can benefit your health in many ways. Here are...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
wedding anniversary, Birthdays, etc.. Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..? Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku...
5 Reactions
140 Replies
8K Views
Pengine ni ndoa nyingi zinalalama na matatizo ya wakwe ni kweli kwa namna moja ama nyingine akuna aliezaliwa yuko right kila sehemu ila naombaleo niweke wazi mama mkwe hana matatizo kabisa kabisa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom