Bosi na mke wake wananishagaza sana.
Nina miezi 6 tungu niajiriwe(opr manager)kampuni hii binafsi ya Muasia.
Kila inapofika lunch time bosi huniomba nikamchukulie chakula nyumbani kwake kwa gari...
Mhaligani wana jf.naombeni msaada wenu kimawazo mimi nampenda sana dada yangu(mtoto w baba mdogo) kimapenzi.na yy anaonesha kunijali na kuwa na wivu na mimi.mimi baba yangu alinikataa tokea nikiwa...
Kwa kweli mimi hujitahidi sana kutoa zawadi kwa my wife to be, Ila kuna kitu sielewi kabisa! Najua zawadi ni muhimu kuonyesha unajali(mwenyewe napenda zawadi)-Ila linalonitatiza dada zangu ni...
Hii kitu husumbua sana watu mahabuba.
Haijalishi mliachana vipi lakini kurudiana huwa ni ishu pevu.........those good old memories hufanya hata sababu za kuachana zikasahaulika.
Shida ni pale...
Wanawake wengi tumekua malaya bila kujijua. zamani bibi zetu walikua wakisubiri waolewe na wawe waaminifu kwa waume zao. sasa ukibikiriwa na miaka 15 mpaka uolewe wakati una miaka 30 si unakua...
'Mwenzangu nimeshindwa mimi. tatizo sio ukubwa, shosti jamaa anayo ndefu, imepitiliza yaani wakati wa majambo ni maumivu tu na ukilia mwenzio ndo anaongeza kasi. Nimeshindwa kila nnapo mwambia...
Nina dem wangu ni nesi,mara zote shift zake zote ananiambia na tulikuwa tunakwenda samba. Hapa kati akaanza kunipa ratiba isoeleweka. Juzi nilipanga kukutana nae eneo letu tulilozowea na...
Inafahamika kuwa,inapotokea mtoto akazaliwa "nje ya ndoa",mtoto yule ndo anaadhibiwa kwa kuitwa jina baya sana,eti mtoto haram(silipendi kabisa jina hili).Pia mwanandoa mmoja anapocheat na...
Unajamaa ambae muko nae sambamba kwakila hali unamtimizia nae anakutimizia hana mtu mwingine zaidi yako
hiyo imekaa kama mke na mume japo ndoa bado ,lakini katika tendo la ndoa mmekubaliana...
Kuna Watu
wanakuja katika
maisha yetu baadae
huondoka
Kuna Watu wanakuwa
marafiki zetu kwa muda tu
baadae hutoweka
Kuna Watu
wanakuja katika
maisha yetu baadae
huondokahuku wakiacha...
Jamani kwa nia njema tu, niko nafanya kama kautafiti kujua kwa nini wanaume wanapenda kutoka nje ya ndoa!Na je mtazamo wa jamii kama mume na mke wakitoka nje ya ndoa unafanana au ni tofauti...
Ninarafiki yangu ametoa mahari mwanzoni mwa mwaka huu na anategemea kuoa early June this year ila kuna kitukimoja kinamtatiza sana nacho ni wakati gani unafaa kwa yeye na mchumba wakekupeana...
Hi wana jf,natumai mko poa nafikiri ni wakati sawia kueleza haya kipi kitakuwa bora kuonyesha mapenzi ya dhati kwa msichana na kukubaliana na vyote atakavyorespond au kutojihusisha na suala la mpz...
Ni mwaka sasa umetimia tar kama ya leo 28/3/2011 nilipoondokewa na wewe mwanangu kipenzi IKUPA MWAKYUSA (14yrs) pale Lugalo hosp,najua ulilala tu na sasa umevikwa mwili mpya usiokufa ukipumzika...
Leo asubuhi nilienda mpeleka mtoto wangu hospital alikuwa na ki homa homa, na dr mmoja wakike kila wakati ananichekea afu anamsifu mtoto wangu wa kume anasema huyu ni handsome kama baba yake.
Cha...
Haya sio maneno yangu bali ni ya mbunge wa Kawe Halima Mdee kuwa wasichana msitegemee rushwa ya ngono kutimiza ndoto zenu za maisha. Mdee amewataka wasichana kujiamini na kutokutemea kutoa rushwa...
Nilikua na mpenzi wangu ambae nilimpenda sana na bado element za love zipo kwake, nilianza nae 2007 nikiwa f5 tuliishi vizuri na mimi nilikua wa kwanza kwake,penzi lilikuja kuingia doa 2011 pale...
mwanzoni nilifikiri labda ni mi peke yangu ambae huwa hadi nirudi usiku ndo ntandike (kwa sie bachalaz..lol)
ha! jana kwa bahat mbaya sana tumerud na shem mke wa bro toka ofisini..ile kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.