Ni saa kumi na mbili jioni natoka kazini, nampita demu wangu ili nimpeleke kwake na mimi nirudi zangu kwangu.
Mara ananiambia nimpitishe mahala kuna club fulani karibu na kwake akachukue mzigo...
Wajameni nimemfumania dem wa jamaa yangu leo mapema yupo na njemba gest ambayo nami nilikua navinjari manzi flan wa kitaa. Ni bahati mbaya kwa huyo dem manake hakua anajua kama nami ningekua pale...
Kwa mfano mme/Boyfriend kaondoka labda siku iliyopita mchana na karudi nyumbani kesho yake asubuhi
Au kaingia nyumbani saa saa tisa ,kumi au kumi na moja ..imezidi kaingia asubuhi kweupe?
Na hii...
Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje?
Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba...
Want to improve your love life, but don't know who to turn for advice? Here's our step-by-step guide for getting honest feedback from those who know you better than anyone else your friends...
Ni zaidi ya miezi mitano inakatika sasa, nipo na dada mmoja kimahusiano.sio siri ananichosha kwenye mambo yetu yale ni noma.nikiwa nae tunaenda tano kwa muda mchache yani nakua hoi hadi kufika...
Its this my machine operator, anaishi na mwanamke mitaa ya mabibo na wana motto mmoja. (hawajafunga ndoa) jamaa kajitahidi kapata kiwanja CHANIKA. Na kajenga kibanda chake sasa anataka kuhamia ili...
Wanajamii nisaidieniiiii kuna demu kazini kwetu nilizoeana naye kipindi ana matatizo ya mshahara na mwajiri wetu...nkampa baadhi ya huduma then nikahc kumpenda na kwa muda mrefu namtupia cku moja...
wakuu haya ni ya kweli yametokea leo asubuhi,
kuna rafiki yangu mmoja anampenda sana msichana mmoja hivi..na amekuwa akimueleza lakini yule mschana amekuwa akimkatalia na kusisitiza eti waendelee...
"Hivi mwanaume kakataa mimba we umelea ya nini? Haki ya nani mi mwanaume hajaniachia mimba nikalea, labda aniachie mtoto hapo angalau!"
Hayo ni maneno ya dada mmoja kwenda kwa mwingine ambae ni...
Kwa wenzetu wa Kenya ni kawaida kwa mwanamke kumshushia kipigo mwanaume tena cha haja kama hajaacha kodi ya meza lakini hali ni tofauti kwa TZ huku hata mwanamke awe baunsa vp lakini hawezi kato...
Nasikia wanaume wa pwani wengi wanapenda kuwafanyia kitu mbaya wake zao, wenyewe huita 'kuruka ukuta' na hii imekuwa ikigundulika hasa wake zao wanapokwenda hospitali kujifungua na kupata taabu...
Ngoja leo niyadadavue makosa yanayofanywa na wanawake wengi pale wanapoamua ni nani wa kuoana naye:
1. Kosa la kwanza, unaolewa na mtu ambaye unajua kabisa ni dhaifu na mkorofi, ukitarajia kwamba...
Jamani nimeona nishee nanyi mawasiliano yangu ya skype na rafiki yangu from Lusaka!
Kifupi, mwanaume alimnyanyasa sana huyo dada hadi akaondoka na kupanga sehemu nyingine, sasa anafanya masters...
Unahisi mume ama mkeo mambo anayofanya ni sababu ya ukoo uliooa....
Je ukujua wakati unaoa yuko ukoo gani..embu tuanze kufanya mapping jamani
tusianze kulalamikia hiz koo zetu..huwa napenda...
Asaalam aleykum wanajamv ....mimi na mke wangu 2napenda sana hii nikutokana na mfumo w maisha 2liopendekeza 2ishi.na 2meamua kuishi ktk mfumo huo kutokana na dunia y sasa iliyogubikwa na magonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.