Kwa wahusika wote,
nataka na ninapenda mashuga mamy,yaani I don't feel to be with Girls coz ni Wazinguaji sana,halafu waongo katika Mapenzi na wezi wa mifukoni. Hivyo Sasa,nikiwa serious kama...
niliachana na mchumba wangu miezi 3 iliyopita baada ya kumfumania akiwa na kishanshuda po mwingine. niliumia sana ukizingatia alikua keshantolea mahari na tulikua kwenye process za kufunga ndoa...
Wadau ninashukuru kwa michango yenu yote.....,kila aliyechangia nimemuelewa,
Pili nasikitika sana sikuwa hewani kwa muda kutokana na masuala ya kikazi hivyo sijaweza kuwajibu kwa wakati...
enyi wanaume wenye nyumba ndogo,nawashauri kuwa,mnapoamua kuzaa na hao nyumba ndogo zenu,jitahidini kwenda kupima DNA baada ya mtoto kuzaliwa la sivyo mnatunza watoto wa wenzenu! kama hamjui hizo...
Kama uchovu na ukosefu wa usingizi ndivyo vinavyowafanya wanawake ambao wamejifungua karibuni kutoshiriki kwenye tendo, hapa kuna sababu nyingine ambayo pengine ni muhimu zaidi.
Ni ipi hiyo...
Huyu m2 ni vip or ndo utoto unamsumbua ni demu wangu but sijawahi mshika hata mkono nikitaka kumkiss ananiambia hadi amalize form six daa au ni PCB inamchanganya embu naombeni msaada kuhusu uyu mtu!
Wanajamii hasa wanawake nataka kupata maoni yenu juu ya adhabu ambayo utampa mume0 ikiwa "kateleza" katembea na mdogo wako wa tumbo moja baba mbalimbali ukiwa mjamzito karibu na kujifungua!ukajua...
Wana JF siku zote wanaume ni wabunifu sana. Siku hizi wanaume wanaopenda kuchukua wale wanawake ambao wanakuwa na makubaliano ya wakishamaliza majamboozi wanawalipa, sasa kinachofanyika mwanaume...
Imeandikwa kwenye The Guardian on Sunday (1 Apr 2012) [siamini kama hii ilikuwa inahusiana na 'Fools Day prank] kwamba karibu asilimia 50% ya wanaokwenda kuangalia kama ni 'biological fathers'...
Mwalimu vs bankteller, yupi wife material?
Hebu check ratiba za kila siku za mwalimu na bankteller.
MWALIMU;
Anaamka saa 12 asbuhi, anasafisha nyumba nakutengeza...
Picha haihusiani na habari hii................
Hebu tuchukulie kwamba, uko kwenye mizunguko yako mahali fulani kwenye mji unamoishi. Mara unamwona mumeo au mkeo, au inawezekana ni mpenzi wako...
READ BELOW BEFORE LISTENING
The story is this: a girl was out with friends having drinks on King St (in Toronto ). This guy approaches her and won't leave her alone -saying how cute she is...
Jana niliweka mada hapa kuhusu fumanizi au kutoka nje ya ndoa. Na leo ningependa kuzungumzia jambo hilo.
Hebu fikiria kuwa umedhibitisha kwamba mwenzako sio mwaminifu, yaani ametoka au anatoka nje...
.....d'u belive hiyo makitu hapo juu?....
Unaipa/ unayapa nafasi gani katika maamuzi ya matendo yako?
Hebu tubadilishane mawazo aisee...
Huenda nazeeka vibaya, au sijui ndio mid life...
Mara nataka ice cream saa saba usiku...mara nakuchukia kama nini...mara hamtaki tv ili mradi vurugu tu..
je kuna namna gani ya kupunguza hormones hizo za hasira na kulialia pia
kuwachukia...
Ukiwa na buku tu unafika popote na shemeji ukiwa umepanda na mpambe mnaenda kumfuata dada mtu mitaa ya kati.
Kwa hali hii mikebe sasa kupanda watu tutakuwa tukipanda kipindi cha masika kiangazi...
Kuna rafiki yangu kaja jana kunilalamika kuhusu mama yake mdogo kuwa ana roho mbaya sana hataki watoto wa dada yake wapate bali watoto wake tu. Jamaa kaniambia alikuwa anafanya kazi kongo kwenye...
NINALIOGOPA SANA JAMBO
HILI: Amini usiamini, lakini huu
ndio ukweli wenye uchungu!
Hakuna jambo ninalolihofia zaidi
ktk maisha ya ndoa kama
kusalitiwa Na ndio linitialo khofu kuoa! Hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.