Nakumbuka ilikuwa mnamo mwaka 2007 Ndipo tukio hili la kufedhehesha lilipomtokea ndugu yetu wa karibu,kwa jina mangi toka moshi(samahan cyo mangi wa jf) akiwa na umri wa miaka 26,alikuwa ndio...
akina dada uliweza kumwambiaje mama au baba ako kuwa unamimba wakati bado upo nyumbani? na makaka mliwaambiaje nyumbani kuwa kunabinti anamimba yako? je mlianza kumwambia baba au mama? na ulisemaje?
Jamani kwanini wanaume wakiafrika or let me put this way black men (blekiiiiiiiii men) wanamatatizo fulani mbona mimi naona idadi nyingi tu wenye vihela kidogo au majina yao kishapanda chati...
Mvua iliyonyesha jana hapa Jijini Arusha na hata pembezoni mwa mji imeleta maafa ya watoto watatu wa familia moja ya Mbayana Loshilaa anayeishi Wilaya Arumeru Mashariki Kata ya Mwandet karibu kbs...
Nimeipata hii kwenye mkasi EATV.
"Mpende akupendae, asiyekupenda MHONGE"
Imekaaje hii? Inamaana wote wanaohonga hawana mapenzi ya kweli? Na mapenzi ya kweli ni yale ya kupendana tu bila...
Tafiti mbalimbali zinaonyesha kwamba busu ni kitu muhimu sana katika kukuza UPENDO.
Imefahamika kwamba kumbusu mwenza wako wakati wa kutoka nyumbani, kuteremka garini na wakati wa kurudi nyumbani...
Ni matumaini yangu marafiki mtakuwa mko poa na mnaendelea na majukumu ya kazi za kila siku. Kama kawaida kupitia safu hii tunapata kujifunza yahusuyo mapenzi.Ninapoandika makala haya, najaribu...
...nimezaa na wewe sikatai.
....cjafika kwenu sikatai.
...sijatoa mahari siikataaiikabsaaa.
Lakini kumbuka kwamba tulivyo dondoka ktk penzî....
Wote tulikua vipofu...kwa nini leo uhatarishe...
Habari za jumanne ya leo wana JF? Nadhani imekaa vyema kabisa.mimi leo ningependawasilisha ishu moja nimepewa na rafiki yangu mmoja wa kike. naomba nieleweke kuwa hatuna uhusiano wa aina yoyote...
Yamenikuta! Naambiwa fimbo yangu iko mbali nikubali yaishe!
Matatizo ya maisha yametufanya mimi na mke wangu tukubali ushauri wa rafiki yangu wa kumruhusu mke wangu akatafute kibaruwa umangani...
habari wanajf,
nina rafiki ambaye tunachukuliana kama ndugu,ila undugu unaharibika sehemu moja tu,na jamaa/boyfriends wake.Nimekuwa nikisumbuliwa na kila jamaa anaekuwa nae,na mara jamaa akianza...
Wakuu, nadhani tuwe na uzi utakaotusaidia materials kuhusu mapenzi, mahusiano and related matters! Knowledge is power.
1. Love to dare. Hiki ni kitabu cha kikristo kinachoonesha how married...
Tulikuwa tumetoka outing kwa ajili ya kupata winywaji na kubadilishana uzoefu, na katika mazungmzo yetu tulifikia mahali tukajikuta tukizungumzia masuala ya familia na hapo ndipo aliponijulisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.