Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Umetoka nyumbani kwako, umevaa kitopu kifupi na kimini kiko juu ya mapaja. Umepanda daladala, ukisimama tabu, ukikaa tabu. Maana ukisimama basi kile kitopu kinapanda juu angani...mambo yote...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Kama umeolewa na ni mwana jf, tueleze kwa umakini kwa niniwengi wenu mnabadilika mara baada ya kuolewa na kuwachukia ndugu hasa pande za waume wenu? Na sema wakina mama nikiwa na mifano hai hasa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kweli mambo huenda yakabadilika, zamani karibu asilimia 90 ya ndoa zote zilizo fungwa zilikuwa ni za watu kati ya miaka 20 hadi 25 na 30 kwa waliochelewa kuoa Now days mambo ni tofauti kabisa...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu Mambo? Ni Jumamosi nyingine tena imewadia ambapo kama kawaida natoka na "fact" na leo ni ukweli kuhusu bao la kwanza. Ni ruska kuliachia liwahi na huwa linautamu wake wa zaiada kutokana...
0 Reactions
13 Replies
13K Views
Nina kabinti kangu kapo darasa la sita mapepe kweli, naogopa wahuni wasije wakakatundika mimba nataka nikaweke vijiti vya uzazi wa mpango ili wahuni wasikakatishe masomo na kuniletea mimi balaa la...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuna ile dhana au niseme imani kuwa wanaume ndio pekee wenye kutaka ngono mara nyingi na ndio maana wanahitaji mwanamke zaidi ya mmoja ili kuridhika kikamilifu. Napenda utambue kuwa dhana hiyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Another side to domestic violence By ELKA ZWICK Special To The Tampa Tribune Published: October 11, 2010 October is Domestic Violence Awareness Month. Across the nation, the news wires are filled...
0 Reactions
2 Replies
953 Views
nimepata gf ambaye tunapendana sana tu. ana sifa ninazozitaka kuwa mke wangu, lakin nikitembea nae njiani najisikia inferior coz mie mfupi af yeye mrefu. niendelee nae au nitafte mfupi mwenzangu...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Mouth cancer cases soar above 6,000 a year for the first time, figures reveal, thanks to rise in oral sex Oral cancer cases have risen above 6,000 a year On the increase: Oral cancer...
0 Reactions
3 Replies
618 Views
Wadau wa MMU, habari zenyu bana. Juzi kati nilikuwa nimekaa kwenye kiti kirefu mahali fulani katikati ya jiji, pembeni yangu kulikuwa na meza wamekaa mashostito wawili wanapiga stori huku...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Ili usiumie muache kabla hajakuacha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tabia hii inistaajabishwa kwa wanawake, wanataka kudanganywa na kuingizwa mjini. Mwanaume akikupenda wala hana nia ya kukutongoza wala kutaka mchezo mchafu mbio kumfukiria mambo mabaya. Hivi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
WOMEN who read romance novels make love twice as many times as those who do not read them...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
MMU NIAJEEE?!.... BIYEEE?!............ mliwasiiimaaaaa?!.... Mimi nimekuja hapa jamvini kuwaomba tukumbushane ''usanii'' wa wapenzi wetu enzii hiizooooooooooo...!kuna tumaneno twa kisanii...
8 Reactions
140 Replies
10K Views
Hivi kuna ubaya kwa msichana kumueleza mwanaume hisia zako.Nujutia nafsi yangu kwa kumuonyesha hisia za kweli mwanaum
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Wanajf nimekuwa sijihusishi na mapenzi kwa muda wa miaka saba sasa,si kwa kupenda ila kutokana na machungu niliyo yapata.kwanza mpenzi wangu wa kwanza niliahidiana kufika naye mbali kimahusiano...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Juzi na jana, kupitia taarifa ya hbr ya ITV nilisikia hbr ya dada mmoja aliyefiwa na mumewe ambaye likuwa anadai mirathi yake kwenye kampuni la waarabu na huyo boss wake akamtumia meseji nyingi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
IPO SABABU CHAHCE ZA MUHIMU AMBAZO NIMEZIORODHESHA HAPA TABASAMU: IMEGUNDULIKA!!! KWANINI WANAWAKE WANATOKA NJE YA NDOA? LAKINI NINA IMANI NA WEWE UNAZO ZA KWAKO.TUCHANGIE HAPA ILI KUNUSURU NDOA...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF. Niliwahi kumuuliza mama yangu swali kwamba "ume weza vipi kudumu katika mahusiano kwa mda mrefu hivi wakati ndoa zingine siku hizi naona zina vunjika baada ya mda mfupi tu"...
7 Reactions
23 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…