Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wapendwa habari za siku nyingi, Msione kimya hivyo. Mwenzenu yamenikuta makubwa. Nimekutana na jimama la humu Jamii Forums (MMU) likanificha kwa zaidi ya miezi miwili...nakula, nakunywa, n.k. Wee...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Naishi na mtoto wa dadaangu ni mdogo ana miaka mitano yuko darasa la kwanza ni mkorofi kupita kiasi nadhani tv pia zimechangia huyu mtoto hana woga kichwani mwake, kujieleza kama wakili, anafanya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
jamani,huyu demu kila mara tumekuwa tunakwazana kuhusu matumizi ya simu. Kimsingi nimekuwa nakuta meseji za mapenzi kwenye simu yake maana kuna wakati huwa tunabadilishana simu!!! kila nikimuuliza...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Bado sijajua kama naumia moyo ama la. Natokea msibani alfajiri kabisa ili nifike nyumbani nipumzike kidogo then nijiandae kwa kazini. Nikachukua boda ili niwahi. Mimi na yy tuko majirani tu na...
3 Reactions
83 Replies
7K Views
Mnivumilie kwa kufanya hii topic ijirudierudie, ila ingekuwa heri mkaielewa hivi.... 1) Mwanamke kutongozwa ni njia mojawapo ya kuonesha Glories of being a woman ambazo ni beauty, feminine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nina rafiki yangu kaniomba ushauri na mimi sikuweza kumpatia majibu ameolewa wana miaka mi4 sasa ktk ndoa na wamebarikiwa mtoto wa kike .......mume wake ni doctor private hospital.... mara ya...
3 Reactions
160 Replies
12K Views
Maneno haya yalitamkwa na wadada wawili walokuwa wakienda 'General Hospital' toka nkuhungu kumpa pole shostito mwenzao aliyepata shinikizo la damu baada ya kuporwa mpenzi wake na mwanamke...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Samahani wadau wa jukwaa letu tukufu la MMU, Kwanza kabisa, naamini mko wazim na mnadunda...Mie pia ni mzima na nimewa-miss kikweli kweli!! Leo nimejikuta napatwa na mawazo ya ajabu ajabu kuhusu...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimempoteza mama ijuma 2/3/12 hoja nyingi nimekosa vilevile mnkali wa internet umepungua
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kisa changu kiko hvi,kuna gal mmoja alikua galfrd wangu wa tangu utoton,ilitokea akaja kugundua kwamba nimemsalit kwa kutoka na rafiki yake kipenzi,wel alinchunia takriban mwaka mzima akikataa...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Nimekuwa najiuliza, lakini sipati jibu. Mpenzi wangu wa Primary alikuwa Mashoto, wa A Level alikuwa Mashoto, then huyu wa sasa naye ni Mashoto, hii imekaaje? Sijui nitaoa Mashoto?
1 Reactions
58 Replies
6K Views
"Ulilazwa hospitali miezi mitatu, Miezi sita masomoni yote nilivumili., Unataka upendwe vp Wewe Gam..*2, " Maranyingi watu huwa hawakumbuki mazuri waliofanyiwa na wapenzi wao na mwisho wake...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
fungua hii web ikusadie kwenye mapenzi yako na mwenza wako na si hawara yako poshpoint.blogspot.com
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Hawa wasichana wanao enda kwa akna mchungaji rwakatare kuombewa ili wapate wachumba,ni kwel huko street kwao kote wamekosa wanaume wa kuwaoa kweli au hii ishu huwa imekaaje wakuu?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani jamani akina dada nisetirini mwenzenu upweke huu. Natafuta mwana jf msafi wa ukweli kwa ajili ya wikiend hii. Garama kila kitu kwangu na nakuhakikishia hautaboreka. Utakula na kudeka kwa...
0 Reactions
71 Replies
5K Views
1. Wema sepetu 2. Linah 3. Dj fetty 4. Kiki 5.mwamvita makamba 6. Salama jabir 7.dina marios 8.c.e.o wa 8020 blog 9 c.e.o wa bang magazine 10.mboni masimba Naruhusu kuchaguliwa...
1 Reactions
144 Replies
17K Views
Ndugu zangu wanaJF, jamii imekuwa na unyanyapaa wa aina ya kipekee dhidi ya wanawake au wanaume wasio na uwezo wa kupata mtoto. Wamekuwa wanyonge na hata imekuwa tishio katika kudumu ndoa zao...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kisaikolojia inasemekana kuwa mtu akikosa kitu alichotarajia (frastruesheni) mbinu mojawapo atayo tumia ni kurudia tabia zake za zamani hata za kijinga! mfano mtoto akiwa pekee yake nyumbani huwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimesikia hizi habari siku moja kwamba ukipata bahati ya kuoa mwanamke mwenye ndevu za asili (sio wale wanaoota ndevu kwa sababu ya kuchubua na madawa mengine) huwa wanaakili sana za kimaisha na...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Wanandoa wanaowekana wazi vipato vyao na kupangia VS Wanandoa ambao wanafichana vipato vyao halisi. .. NB: This includes marupurupu na pesa yoyote inayopatikana nje ya mshahara.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom