Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Akijiamni kuwa haitatokea siku mambo yakawa hadharani, Mzee ambae mtaani tunamheshimu hali yake ni mbaya sana, presha inamsumbua. Kisa alikuwa na nyumba ndogo binti wa staili ya kuitwa mwanafunzi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Niltokea kufanya field maeneo ya zanzibar miez kama 6 imepta now. Nilkaa pale kwa mda wa miezi miwwil. Tulpendana na dada mmoja. Lakn nlmwambia ukwel kuwa nina mpenz wangu arusha. Tulikubaliana...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Ni miez 5 tangu nitengane na mke wangu nahitaj kumrudia lkn ndugu zangu hawataki hasa mama. nifanyeje? nishaurini.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kufuli linaofunguliwa na kila ufunguo husemwa halifai na hutupwa,LAKINI ufunguo unaofungua makufuli yote au mengi hupewa sifa nyingi na kuitwa master key!!!!Why????
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ule msimu wa kuchipua hatimaye umeanza kwa wabeba maboksi. Hivyo jua limeanza kutoka na kuifanya hali ya hewa isiwe ya baridi. Mabinti nao wameanza kuvaa nguo fupi kupita kiasi. Ukiwaona mitaani...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Miaka ya karibuni tumeona akina mama wakija kaunta kuchukua tissues na kuzama nazo maliwatoni.........hivi zamani ilikuwaje wakati tissues hazikuwepo?...sitaki kujua mnazitumia kufanya nini NB...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Mwisho wa wiki nilimsindikiza rafiki yangu kariakoo alikuwa ameelekezwa na mtu kwenda kutafuta dawa yakui toa vichunusi,sasa tulipofika hapo kumbe duka ni la mzaire mana nilisikia wakimuita...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
KWA NINI WANAUME WENGI SIKU HIZI WANAKWEPA KUOA 1. Kujitambulisha ukweni. Hapo utatakiwa uende kijijini alikozaliwa mkeo mtarajiwa ukajitambulishe huko. Kama mfano mkeo anatokea Mwanza, na...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Nipo mbali na mpenzi wangu kimetokea kitu kidogo ambacho kimenipelekea nijisikie ka wivu fulan ila nimejikaza sijakurupuka nipo nakitafari extent ya ukweli wake. Tuna miaka mingi(10yrs) na ka beb...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Jamvini nimefika kueleza yanayonisibu! Nimekuwa na mchumba wangu kwa miaka9 toka nasoma sekondari enz zile, tulikuwa tumepanga kuoana 2014 baada ya kueweka mambo sawa! Mwaka jana nilmtoa bikra()...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Wakubwa, Nilishasikia toka zamani kidogo kuwa kawaida Baba ndani ya nyumba anapata wivu kidogo inapofikia wakati wa kumuoza bintiye, hali kadhalika Mama anakuwa na aina fulani ya kijicho pale...
2 Reactions
79 Replies
5K Views
Kuna siku nilikuwa salon, kulikuwa na mashosti 2 wanaongea, nikawa nimejibanza na wao hawakuniona . Shosti 1 alikuwa anamuhadithia mwenzake yanayomsibu, alikuwa anamwambia …. nanukuu:-...
4 Reactions
154 Replies
38K Views
Nilimfahamu toka akiwa kidato cha II tukawa tunaongea anapokuwa likizo na nikawa namhimiza kusoma kwa bidii , binti huyo anamwonekano nilihisi hawezi kumaliza FIV kwa kuwa lazima wakware wengi...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Hayo ni maneno ambayo nlitamkiwa na dada mmoja hvi miezi takriban minne iliyopita,kikweli huyu dada ni mrembo wa haja na nlikua na ndoto za kummiliki mapema iwezekanavyo.kisa cha kuniambia maneno...
2 Reactions
59 Replies
6K Views
Naombeni jibu tafadhali. Unakuta ndugu/rafiki anaumwa hakuna mtu anaeonekana kusaidia ILA subiri kama mgonjwa akifariki yani hapo watu wanataka kuonyesha uwezo wao.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Hili linanitatiza. Kila mwanamke umkutae awe mkubwa au ndio kwanza anaanza kujua maana ya mapenzi wooote muono wao juu ya uke wenza ni BIG NO!!! Yaani wanasema ni aheri kuwa single kuliko kuwa mke...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Naombeni Ushauri Wenu Kuna ka sister kamoja nimekuwa nikikafukuzia muda kiasi. Tatizo linakuja kila nikikatokea kanasema hapana ila Body language yake inasema tofauti. Ni kawaida kwa mwanamke...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni beti ya wimbo wa pwani! Bure usijisumbuwe cheo chetu kimoja Ya nini matusi, ugomvi na mabishano Kama wewe ni mkewe na mimi keshaniowa Yanini hasama choyo na kununiana Kama wewe wa nyumba kubwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nataka kuongeza Mke wa Pili!
3 Reactions
164 Replies
10K Views
Back
Top Bottom