Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimeiokota hii kitu sehemu, nami nikaona si vibaya ku-share nanyi...! Ewe Muumba nakuomba muharibie maisha mwanamme yoyote anaefikiria kuniibia mke wangu... Na kila anapotaka kutongoza basi sauti...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
hellow people.....hivi unapenda parenting style gani kwa mtoto wako...?
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Naomba kuuliza mnisaidie kumshauri rafiki yangu ambaye ni ofcmate wangu. Yeye ana mume na wana mtoto mdogo kwa sasa wa miaka miwili ( huyu ni mtoto wao wa tatu). Toka alipoconceive huyu mtoto wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
SOURCE CLOUDS FMmama aliyekuwa akimfanyia mtoto wake wa kike wa miaka saba vitendo vya kisagaji na udhalilishaji mkubwa wa kijinsia. Wengi wamelia na kujiuliza why?? Kwanza kabisa huyu mama...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Ni matumaini yangu kuwa wote hamjambo, mimi si mwenyeji sana kwenye jukwaa hili, ila leo naomba nipate maoni kutoka kwenu juu ya jambo hili. Mtu unapokuwa umepata mpenzi mpya baada ya kuachana...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
70 year old man asks his wife "Do you feel sad when you see me running after young girls?" Wife replied, "No not at all, even dogs chase cars they can't drive.
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Hv ktk relationship kuna ubaya gani ukimwita mpenzio, dear, mpenzi, honey sweetheart, kuna wengine hawapendi kabisa, cjajua nn tatizo.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tafiti zilizofanywa na wataalama wa masuala ya afya na jamii zinadai kuwa baadhi ya wanawake waliomo katika ndoa hukumbana na kadhia ya kubakwa na wanaume zao na pia hudhalilishwa. Mkurugenzi wa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
It's the age old debate; do women dress mainly for themselves, for men or for other women? Many people especially men take it for granted that women dress to impress the male species. But the...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Habari wanajamii, Nina tatizo zito na naomba ushauri wenu. Stori ni ndefu lakini nitajaribu kuifanya ndogo na ieleweke. Miaka kama mitatu hivi iliyopita nilihamia katika mji mwengine kikazi na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
mwanamke kuvaa condom wakati wa kujaamiina au mwanaume kuvaa condom wakti wa kujamiina,mana zipo za aina mbili.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Uwa nakaa nakujiuliza juu ya best yangu nakosa cha kumshauri,yeye ana miaka 26 anaishi Arusha lakini amezaa na mwanamke anamiaka 34 anaishi Dar es Salaam ni mfanya kazi,jamaa hana kazi bado ingawa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Najua nilikukosea big time,umeni cut off hata simu zangu hupokei na PM ume block kupokea,kwa kuwa tulikutana humu jamvini,tena mmu specifically, hivyo nakuomba usome signature yangu hapo chini na...
2 Reactions
54 Replies
3K Views
Kuna tetesi kwamba after marriage na wanandoa wakajaliwa mtoto/watoto, then mwanamke anahamishia mapenzi kwa mtoto/watoto, na kumsahau mumewe "for a while". Is it true? Kama ni kweli haya si ndio...
0 Reactions
6 Replies
920 Views
Wanawake wa Nairoberry ni kiboko ya wanaume Simon Kiguta akiwa kwenye Hospitali ya Nyeri Feb. 11, 2012. Alikatwakatwa mapanga usoni na mkewe baada ya kurejea nyumbani usiku akiwa amelewa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimepata kanyumba ndogo kanafanya kwenye hoteli fulani ya kitalii hapa mjini. Kweli ni mzuri na ananipa penzi vizuri sana I really enjoy (Pls note that I love my wife). Ila nina shida moja tu na...
1 Reactions
136 Replies
9K Views
Mwenzenu askari jeshi wa kike amenipenda na anataka nimuoe. Nifanyeje? Ushauri wenu tafadhali.
3 Reactions
80 Replies
8K Views
Wakuu, jana baada ya kurud job mida ya saa kumi na moja jion hv,naingia home na kumkuta wife kajaa tele akifanya kazi za hapa na pale (yeye huwahi kurudi home kutokana na nature ya kazi yake)...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Wale mahawara walionasana kama mbwa tayari mwenye mke kawanasua kwa dau nono. Awali mwenye mke alitaka alipwe Milioni 16 ili awanasue mahawara hao ikaonekana mwenye mwanaume hana dau hilo wadau...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Hi ndg zanguni wana Jf. Basi jioni ya leo nilikuwa na rafiki yangu, mara punde ikaingia msg kutoka kwa mchumba wake (wa kike) ikisomeka hivi "poa usijali mungu atakutangulia baby" ghafla rafiki...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…