Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

UNAPOKUWA NI MCHUMBA WA MTU, HASWAKWA YULE AMBAYE UNAFIKIRI AU UNATEGEMEA ATAKUWA MUMEO,, NI VIZURI KUZINGATIABAADHI YA VIPENGELE HUSIKA VYA KULETEA HESHIMA YAKO KWENYE KIPINDI CHA MAHUSIANO 1...
2 Reactions
62 Replies
5K Views
jamani nina swali kwa wakaka wa kibongo na wadada pia. i met a man(white) going to marry soon, ila siku ya kwanza in bed alishindwa kusimamisha kabisa, tukaishia ku kiss tu na kuchezeana, i was...
0 Reactions
151 Replies
18K Views
Boyfrend anapiga sim,'mambo mke wangu?' Binti' safi mume wangu za kutwa?' Bf; safi tu,vipi umemaliza kusuka Binti; he kwani nilisema nasuka? Bf; aaah sory nimejichanganya Na sim...
1 Reactions
60 Replies
6K Views
Habari wana jf!da mwenzenu nipo kwenye mtego...nina msichana mmoj wa kizungu toka state ananitesa sana.....tulikua marafiki kupitia facebook miaka mitano nyuma akaniambia ananipenda sana na ipo...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Nimesoma gazeti moja leo rpc anasema wamekuta nyayo za wanawake wawili tofauti wanajiuliza mara mbil mbili ni yupi alieondoka na mali za mh na mbaya wote awakuwa na viatu inavyoonyesha swali...
1 Reactions
2 Replies
963 Views
sote tunafanya maanuzi...throughout your day, every day...mengine yanatokea tu hata huhitaji muda mrefu kuwaza..mf. kupiga mswaki asubuhi maamuzi mengine ni kama kuamua nn kipikwe jioni...etc...
1 Reactions
4 Replies
978 Views
Nimekua najiuliza mda saaaaaana, Ni kitu gani hasa kinawapagawisha wanawake kwa Wanaume wenye Dreadlocks ?{Rasta} Kwani hata madem wa Kizungu,Wahindi nk, hawaambiwi kitu na hii mijamaa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
wapendwa wana jamii naomba msaada wenu mi nilioa tangu mwaka 2007,nina watoto wawili na mke wangu, wakati na funga naye ndoa aliniambia yule x-boyfriend wake aliekuwa naye alikwenda UK kusoma na...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Wadau naomba msaada wenu huyu binti ana mdogo wake (me) anaumwa jino. Nimejaribu kumtuma aende kwa baba yk kama anaweza kumgharamia matibabu, binti ameniambia kuwa baba yake hana uwezo. Je nikitoa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
If you ask the rich about the biggest problem created from their wealth, they will usually say their kids. Qtn; Do you think it’s fair for rich parents to criticize their kids for being spoiled...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
wadau wa jf napenda kujuwa je ni kipi hasa kinachowapagawisha wanaume hasa wa kibongo wamwangaliapo mwanamke je ni makalio,matiti,shape,rangi ya mwili,kimo,tabia,nawasilisha
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Kwa muda mrefu sana, wapendwa wetu akina dada wamekuwa wakibanwa na utamaduni wa asili kwa kusubiri kuimbishwa na wakaka. Najaribu kufikiria kuwa, hata kama wao wamempenda mkaka ni ngumu kutamka...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
hivi wadau naomba kufahamishwa kati ya mke wa kukaa nyumban na mke wa kufanya kazi(i mean kiofc zaid) yupi ni bora?mimi binafs napenda niwe na mke ambaye anafanya kazi tunasaidiana majukumu,sas...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
WAUMINI wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda waliofunga ndoa kanisani wametakiwa kuvaa pete zao za ndoa muda wote, ili kuendeleza kiapo cha Agano Takatifu la Ndoa, la sivyo hawataruhusiwa kupokea...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Kumbe wanaume tunajipaga moyo kweli kwamba tumetongoza na kukubaliwa; na wakati mwingine tunaamini kabisa kuwa sisi ndio tumemchagua mwanamke! Kumbe ukweli ni kuwa wanawake ndio wanatuchagua sisi...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Wakati tukiwa bado tunashangaa watu kugeuza neti za kujikinga na mbu kugeuzwa nyenzo za kuvulia samaki kwa madai kuwa heri mtoto ang'atwe na mbu lakini ashibe, huko kahama mkoani shinyanga...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
kuna dada ambaye nimetokea kmpenda sana anaishi bali nami kidogo,niliweza kupata namba yasimu tukawa tunawasiliana vizuri na japo mi namfahamu ye2 alikuwa hanijui nimeweza kufunga safari na kufika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kipindi cha nyuma, watu waliaanza kuvaa vikuku au cheni za mguuni; watu walihushisha na vitendo vya kufanya mapenzi tofauti na utaratibu.Pamoja na hayo, watu wengine walihusisha vitendo hivyo na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu wa karibu sana, mke wake hv majuz aliamua kumwachia mtoto wa miez 8 na kusafiri kuja Dar kwa madai ya kuja kumwona mamdogo wake, lakin hakufika hata kwa mamdogo badala yake...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom