Nilikua kwenye msiba leo,kumuaga baba wa rafiki yangu.
Kilicho nishangaza na kunisikitisha (sio mara ya kwanza kuona),
ni tabia hii ya kufotolewa picha msibani,
mara mwingine anapita na kamera...
Jamani ninampenda huyu binti,tatizo sijui ni woga au ndo nimempenda sana au swaga zinagoma au ndo udomo zege! Kwani kwa wasichana wengine siogopi ila huyu,dah hata kumsalimia najishtukia.Sijui...
Kukosa taarifa nzuri, hasira na maamzi yasiyo ya busara yanapelekea wengi kujiua/kujinyonga/kunywa sumu pindi tu wanaposalitiwa na kuachwa na wake/waume zao. Kwa nini uchukue uamuzi huu hatari...
Wana Jamvi,
Niko confused naomba msaada.
dada wangu amekuwa na boy friend na hadi sasa wamekuwa wachunga (ingawa haijulikani kwa wazazi)
Mwezi uliopita Boy friend wake amemwamuru ahamie...
Jamaa alikorofishana na mkewe na mke akaamua aende akakae
kwa ndugu yake kwa muda wa zaidi ya
mwezi mmoja. Baada ya kusuluhishwa na ndugu, tofauti
miongoni mwao ikaondolewa na wakakubaliana...
Ladies and gentlemen, habari za asubuhi!
Jana wakati naianza w'end yangu, nilikua napata 'the lager' maeneo flan. Bar maid aliyekua ananihudumia ni bint wa miaka 17. Nikawa interested nae...
Hope swali umelielewa tangu uanze uhusiano umepitiwa na wangapi we binti na mpka
sasa una mpangao mpaka uakae na wako wa maisha unamaliza na wangapi
swali hilo na kwa wanaume pia ni vyema...
Mchakato wa Kumtafuta Mfalme Wa Jukwaa La MMU yaani "King Of MMU" for the Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF...
Mwanafunzi wa kike amenifuata nikiwa staff leo asubuhi.
Mwanafunzi: Mwalimu Samahani. nakuomba usinichukulie vibaya na wala usinielewe tofauti na hivi ambavyo nataka kueleweka.
Mwalimu: Niambie...
Wana JF,Niliwahi kuja na uzi huu hapa chini:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/216348-nimekataa-posa-ya-myao-kwa-mpwa-wangu%85%85%85%85%85%85%85.html
Siku za hivi karibuni...
Ilitokea nikanunua na mimi ile kitu kutoka kwa wafanya biashara wale wa usiku, kutahamaki asbh nimeamka salaale sikuti laptop yangu, simu mbili, dola 250 za kimarekani, na laki unusu ambazo alitoa...
Hii ni meseji iliyongia kwenye simu rafiki yangu leo asubuhi kutoka kwa mke wake mtarajiwa. Rafiki haelewi alichomfanyia mpaka amefikia hatua hiyo. Sasa jamaa anajiuliza huyu mchumba wake anamtega...
What women want
Kiu ya mwanamke ni nini walakini?
1) Kupendwa?
2) kuheshimiwa?
3) kuzabuliwa kama ishara ya kupendwa? Some women want to be abused.......they aver............
4) Kufanywa na...
Kwasababu leo ni siku ya wanawake duniani naanza kwa kuwapongeza wanawake wooote wa hapa jamvini na uraiani ntawapa salamu zao kadiri ntakavyoweza.
Happy woman's day to all of you ladies. Being...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.