Katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani,shirika la utangazaji la bbc limemkariri mwanamke katika moja ya maadhimisho hayo mjini Kampala nchini Uganda akiwahimiza wenzake kudai haki ya...
kuwa handsome kweli shida.napata shida sana na hata wakati mwingine siaminiki tena.Jamani nisaidieni niwaelezeje hawa wadada kuwa mie sitaki labda urafiki wakawaida tuuu.Natamani hata nijipake...
Nna boyfriend ambae baadae natarajia kua mme wangu mtarajiwa,wakati ananapproach alniambia km alkua n demu lakini aliachana nae kwa bahati mbaya wakati wanaachana kumbe hyo msichana alikua na...
Tukiwa ndani ya gari (daladala-naomba msinizodoe jamani) kutoka nkuhungu kuja jamatini mjini dodoma, ghafla tukaona njemba inamshushia kipondo mpenzi wake. Ilibidi tusimame tukihofia huenda...
Ndugu wana JF, Leo ni siku ya kina mama. Nimeona tuangalie hii kitu ambayo hawa wanaharakati wa haki za wanawake wamekuwa wakiita "Mfumo Dume". Kwa maoni yangu;
Huu si mfumo kabisa - Ni social...
Kama kuna zawadi kubwa naweza kuwapa watu
wengi kwa wakati mmoja basi ni hii.
Fireproof,...haimaanishi ukiwa na fireproof hautapatwa na ajari ya moto
bali ajali ikitokea utaweza kutoka...
Ndugu wapendwa
najua wajasiriamali watanielewa mapema ..lakini leo hii tukokwenye ujasiriamali wa mapenzi
kila kitu kila jambo lazima liwe na matarajio fulani..katika matarajio ni lazima upitie...
Jamaa zangu naomben mawazo yenu,mchumba wangu tumeachana,tulikaa miaka2 bila kushirik tendo la ndoa,ila nilivyoondoka kwenda Iringa,akabadilika sana,akawa hapigi sim,nilipo muuliza...
Ni kisa cha kweli .
Jamaa ana mke na kimaisha si haba, kajaliwa kupata vijisentkadhaa.., so kaona ni bora kuwainua ndugu kielimu. Kamuita mdogo wake pamoja nashemeji yake (wa kiume) na kawapeleka...
Kuna mtu ameniforwadia hii email hapa chini ....
Wife comes home late at night and quietly opens the door to her Bedroom.
From under the blanket she sees four legs instead of two.
She reaches...
Hi to all The Women out there!!!:A S-heart-2:
Natumia sikua ya leo spesheli kabisa kwa kuwatakia Kheri wanawake Wenzangu, na kuitumia nafasi hii kutafakari na kueleza why I Love being a WOMAN...
Habari JF..
Katika maisha kuna stages kadhaa hadi kufikia uzee kadri Mungu atakavyokupa maisha marefu...
Ivyo ni jukumu letu kama wanadamu kujipanga ili kuvuka kila steji..
Wazazi wamekua...
Habari ya kazi wapendwa? Poleni na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa na mengineyo.
Nimerudi kwenu nikiwa na furaha tele..... hatimaye yule aliyekuwa amejaa moyoni mwangu na kunifanya hata...
Cjawah kupima HIV, Sasa nimempata mpenzi tulioishi nae kwa mwaka m-1. Falsafa yangu kuusu swala zima la afya ni kwamba cjapanga kupima HIV japo cyo tiketi ya mimi kuwa malaya wala cjawahi kupima...
Wapendwa wana Mapenzi, Mapendo na Uhusiano (MMU), hebu tujiulize..........
If tomorrow never comes
Will she/he know how much I loved her/him
Did I try in every way to show her/him every day...
Nawatakia sikukuu njema mbarikiwe wote, msiumwe , msiwe na stress, muwe na moyo wa kusamehe, mpendwe na waume/boyfriend zenu,waume/boyfriend zenu wawasikilize, mfanikiwe katika kila jambo.kama...
The woman in your life may give you her heart, soul and, of course, her body, but still there's a part of her being that she'll never share with you... stuff that makes her a mystery .
Yes, your...
Sisi ni ndugu. Tunakutanishwa na mtandao huu na kuwa familia moja japo wengi hatufahamiani. Hata hivyo,nimegundua namna ya kugundua umri wa mwanajumuia hii ya JF.
Kwa namna gani unaweza kubaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.