....Baada ya mpenzi wako kutoka kwenda uwani,unafungua simu yake kama kumchunguza ktk (inbox) unakuta ujumbe huu... "...Honey am sorry,ukweli nilikosa jinsi ya kuwasiliana na wewe kwa kweli...
mitandao hii inamengi sana jaman......kwanza;habar wanajf
nilipata email ambayo sikumfaham mtu huyo..akirequest friendship...sikujibu sikuileile,ilipita kama wiki tatu nikaijibu.Yule mtu akaanza...
Kulikuwa na msichana kipofu aliyejichukia mwenyewe kwa ajili ya upofu.Alimchukia kila mtu isipokuwa boyfriend wake.Siku moja akamwambia boyfriend wake kama ningefanikiwa kuona dunia tu kwa macho...
Mchakato wa Kumtafuta JF Man of the Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF.
Tafadhali Rejea katika uzi ufuatao ili...
Hivi ukigundua kuwa jirani yako huwa anakupiga chabo kila siku wakati unaoga au umelala na mkeo/mumeo utafanya nini ili hali yeye mpiga chabo hajui kuwa umeshagundua hiyo tabia yake?
Hebu toeni...
Wana JF wenzangu, mwenzenu nina mchumba na ndie ninae tarajia kufunga nae ndoa, tunakutana muda tuutakao na kupeana mambo yote ya kimahaba na tunapendana sana. Tatizo langu ni kuwa NAPATA NDOTO ZA...
WAPENZI WAKIWA KWENYE PIKIPIKI
Msichana:mpenzi punguza mwendo hii ni hatari jamani.
Mvulana:usijali mpenzi mi naona mwendo uko poa tu.
Msichana:simamishaaaaaaa pikipikipi mpenzi...
Source: Mwandishi Joseph Shaluwa, GP.
Yes...sasa twende sawa katika mada yetu. Kama mtakumbuka vizuri wiki iliyopita, nilieleza kwa kirefu juu ya penzi lililojeruhiwa.
Kwamba ni ile hali ya...
Kuna kamsemo kuwa maisha huanza ukiwa na miaka 40. Je kuna ukweli kwenye kaulimbiu hii? Madai huwa kabla ya 40 bado ni limbukeni unarukia mambo kwa sababu hujakomaa na huna busara. lakini after...
MKAZI wa Tungi Kigamboni, Dar es Salaam, Nicolaus Maganga(21) aliyevunjika mguu takribani miezi miwili iliyopita kutokana na ajali yapikipiki amefika katika ofisi za gazeti hili, jijini Dar es...
Mchakato wa Kumtafuta Malkia Wa Jukwaa La MMU yaani "Queen Of MMU" for the Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF...
Mimi ninampenz wangu ambaye tumeishi naye karibia miaka miwili kwa sasa,tunaishhi vizuri sana pia huwa mara nyingi tunafanya mapenzi vizuri na tunaridhishiana lakini siku hizi nahisi nina tatizo...
Jana wife alizua varangati kubwa saa 3 ucku, akidai anataka kwenda kwao eti nyumba inatisha. Nikampoza kidizaini, akapoa.
Leo tena saa 1 ucku kazua tafrani nyengine. Alitaka Ice Cream...
......Kwa wale wakristo wanafahamu kuna andiko kwenye Biblia linasema adui yako ni yule wa nyumbani mwako..Nilikuwa sielewi vyema msingi wa hili andiko..Lakini siku za karibuni nimeona wasichana...
Asanteni wanaJAMVI kwa ushauri wenu wa hapa na pale, hata kwenu ninyi mliokejeli asanteni kwa sababu mlichangamsha JAMVI. Leo hii nimeamua kubadili namba zangu za simu kumwepuka huyu "dada" ambaye...
Jaribu kupitia maeneo mbalimbali ya burudani na starehe za hapa na pale utagundua hawa jamaa hauwez kuwakuta huko..ni jambo lililo wazi kwamba hawa jamaa wana-run uchumi wa Tanzania kwenye nyanja...
Habari za wkt huu mabibi na mabwana!!ebana,kuna shori mmoja hvi yuko mwaka wa kwanza hapa ud,nlimpgaga sound tangu last semister,akawa kaingia line bt akawa ananchomolea kunionjesha tunda,sasa...
Wasalaam,
Mimi ni kijana mwenye familia ya mke mmoja na mtoto. Sijwahi kuwa na ugomvi na mke wangu isipokuwa tangu mwezi uliopita, amekuwa yuko kimya sana (amepoa sana) na hachangamki hata...
Dutroux
Julie Lejeunes mhanga
Melissa Russo
Julie na Melissa
Sabine Dardenne
Dutroux akiwa mahakamani
An Marchal na Eerfje Lambrechts
Michel Lelievre
Bernard Weinstein
Jean Michel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.