Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

nahisi ni mwanaume wa kipekee sana. huwa siwezi kuwa na relation zaidi ya moja at a time..na kama ikiwa hivyo basi ujue lazima ntadakwa tuu!! najua si jambo jema kuwa na relation zaidi ya moja...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kumbe mwanadamu achana naye kwani akiamua jambo lake na kulikamia lawezekana tu..................huyu binti alibatizwa jina la 'hailali" kwa sababu kwa jinsi ambavyo alikuwa akiipigiza mtaani ile...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Wana Jamii Baada ya Mchakato wa Kura za maoni Kumalizika na Kusikiliza Rufaa zote, Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC) imepitisha Majina ya Wagombea Watakaoingia Fainali na Kupigiwa Polls. Ili...
1 Reactions
112 Replies
6K Views
Habari za siku nyiki wapendwa kaka na dada, nimejitokeza kwenu, kuomba ushauri na uzoefu wenu katika hali kama hii nayoisikia sasa. Sio lazima nikisema mimi iwe ndio mimi kabisa eeh. Yawezekana...
11 Reactions
108 Replies
7K Views
"...nilishamwambia nini wewe, kupenda sana utakuachizi wewe, hayanaga ujuzi yawe, kila mtu analilia mapenzi. KARIBU CHAMA LA BACHELOR ukinipenda namaliza leo leo tu, siku hizi kwa kudanganyana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ni kwanini lakini....................akichachamaa mwishowe wake huwa ni mtamu kama alivyonisumbua...........but why is it like this................................if she plays hard to get she...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
habari zenu wanajf...nipo hapa leo kusema kinachonisibu na jf membaz wenzangu.....kwanza kabisa nashukuru sana kwa ushirikiano tulionao wana jf kwa siku zote hizi na pia nashukuru kwa Pm's zenu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
sio mimi smile Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25, nilimaliza form four miaka kadhaa iliyopita kwa bahati mbaya sikuweza kufaulu kuendelea na kidato cha 5, nilipata division four ya...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Kuna rafiki yangu anatafuta ushauri kwa nini mpenziwe wakimaliza kufanya mapenzi anaanza kulia saana halafu akiulizwa amekuwa hasemi nini kinamliza!!
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Jua lililokuwa limetawala lilimezwa ghafla na mawingu yaliyokuwa yametanda.kiupepo kilianza kuvuma na kubeba takataka nyepesi na kuzirusha juu na kulifanya angaa litawaliwe na rangi nyeusi ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii maneno nimeisikia nusu saa ilopita toka kwa mashostito watano walokuwa wanapiga domo muda huu wa kazi. Unajua tena hizi ofisi siku hizi zinatenganishwa kwa soft wood sio kama enzi zile za...
2 Reactions
96 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu, Nimepatwa na matatizo mpaka najihisi na mikosi.Kila siku ni mimi tu wa kulia, ni mimi tu wa kuwa mpweke nimechoka nimeamua nije kwenu mnishauri. Napenda sana kuwa na mtu...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Unakuta mtu umepanga kukutana na galfrnd wako,let say saa 8 mchana,anajikawiza hadi inafka saa 12jion,afu ndo anakuambia,''unajua nin honey,mumy alinipa kazi flan,yan ndo nimeimalza saa hz,afu...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
jaman tusaidiane katika hili najua humu jf members tutakuwa tumekutananalo au tulikutananalo au tunakutananalo katika mahusiano yetu...,unakuwa na mpenzi ambae anakupeenda sana mpaka wewe mwenyewe...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
The Woman with Two Vaginas! (Hazel Jones) - YouTube A WOMAN told yesterday how a one-in-a-million medical condition led to her being born with TWO fully-formed vaginas. Hazel Jones, 27, said it...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
A woman with two vaginas who has captured the attention of the porn industry has said she would never consider accepting any role in a film.Hazel Jones appeared on TV earlier this week, where she...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
...nimepewa more than i can chew Nilijigamba mimi rijali lakini maji yamezidi unga Nyumbani pamekuwa ni pakuvizia Nikirudi ni usiku wa manane Mtu kanidokeza ni NYMPHOMANIAC Mwanaume hatakiwa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu wana jr..i hope mnaendelea vyema na ujenz wa Taifa jaman me nmekuja hapa cjui nielezee vipi lakini kikubwa ni kuwa nimemiti na rafiki yangu wa humu jamii forums ni HB alafu kuna vitu...
2 Reactions
118 Replies
7K Views
Un-vote Waume wanao-cheat, wako hatarini zaidi kufa na heart attack wakati wa ngono nje ya ndoa zao Wanaume wanao-cheat wake zao wana sababu nyingine ya kuhofu zaidi ya wasiwasi wa kubambwa...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Nimesikia sana usemi huu 'free is expensive' binafsi sijaufuatilia sana ila kwa uzoefu wangu huohuo mdogo nimeona kuna kaukweli. Ila sasa nikiangalia maisha yangu naona kama Mungu, wazazi, ndugu...
0 Reactions
3 Replies
893 Views
Back
Top Bottom