Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimewasikia Akinamama waliokuja kumfariji shangazi yangu baada ya mume wake kutafuta nyumba ndogo na kuelekeza nguvu zote huko wakimfariji na kumwambia “kila jaribu lina mlango wake wa kutokea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Inazidi kuthibitika sasa kwamba,wanawake huwa wanatoa harufu fulani chini ya kwapa zao ambayo huwafanya wanaume kuvutika kimapenzi kwao.Harufu hiyo ambayo inafahamika kama pheromone haisikiki...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
mwanaume anapokuzushia kutembea na wewe kwa sababu ya uzuri wako,kutoelewana,kutaka kuonekana kijogoo na jamii ikapotoka kuhusu wewe, ni nini utakachofanya dhidi ya mwanaume huyo?
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Obama's transgender ex nanny outcast JAKARTA, Indonesia (AP) — Once, long ago, Evie looked after "Barry" Obama, the kid who would grow up to become the world's most powerful man. Now, his...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tushirikishanie hii kama hatukuwahi kuisoma, ni habari toka kwa mwanajamii mwenzetu: Kazi tunayo kizazi hiki, Kuna hii nayo ilipatikana kanisani, pale mchungajai aliyealikwa kutulisha neno...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimejaribu kila njia kueleza hisia zangu kwa member wa hapa JF lakini naona mwenzangu ni kama vile haoni jitihada zangu sijui nifanye nini zaidi ya hapa, inauma sana unapompenda mtu lakini yeye...
3 Reactions
90 Replies
11K Views
Kweli zinachosha na tabia zao za mizinga. Halafu uankuta mna ka beef lakini lenyewe haliachi kutuma message za kupiga mizinga. Utasikia jamani baby nina shida sijui ya nini, pumbavu nyie mkoma...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ina sikitisha kwamba tabia hii bado ipo hadi leo. Nakumbuka nikiwa mdogo (ingawa ilitokea mara moja tu) mjomba wangu aliwahi nichapa kwakua nilienda kumuwashia sigara na nilipo mpelekea ikawa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ukimpga sound mara ya kwanza anakutolea nje,ukimchunia cku mbili tatu,anaanza kujileta mwenyewe!niwaeleweje?
4 Reactions
66 Replies
4K Views
Mara nyingi tunapo pata ajali tu na kupoteza baadhi ya viuingo vya miili yetu tua mlalamikia sana Mungu.Lakini kuna wengine wanatamani hata huo mguu/mkono mmoja ungekuwa nao. Tumshukuru Mungu kwa...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
MONDAY, JANUARY 3, 2011Episode 2: Why Should I Not Open My Legs? Every girl at some point has dreams of a happy marriage and kids. We are not exceptional; we had those dreams and somehow still...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
She is making funny on me coz anajua nampenda. Cku nkidicidd kumdelete ndo atashangaa.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
habari zenu wapwazi, cjakanyaga jukwaa hili kwa takribani mwaka na miezi kadhaa japo kila cku natembelea jamii forums kuliko akaunti yangu ya facebook na twetter, nimekuja na jambo moja jamani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wana JF Nakusalimieni Kuna demu 1 niko naye kama miezi 5 sasa, ambaye nimepanga kufunga naye ndoa. Kabla sijachukua uamuzi wa kufunga ndoa nimekuja kwenu kupata nasaha zenu. Huyu mke...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Jamani mwenzenu nanyimwa kuku mtamu nimfanyaje jamani?
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita na kuchaguliwa kuingia chuo fulani kikuu huko Dom mwaka jana. Nimelelewa kwa mapenzi makubwa ya baba na mama ambyo yamenifanya niwe na mafanikio sana ya...
1 Reactions
76 Replies
5K Views
Ni kwa nn wanaume wengi wanakuwa promissless ktk relationship? Naomba majibu yenu wanachama wa humu ndani!
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wajamen habari yenu! Naomba niwashirikishe hili jambo ili mnipe mawazo/ushaur wenu. Kuna jamaa yangu alikua na rafiki wa kike, walikua na urafiki tangu primary na urafiki ulianzia kwenye...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
BY MARIE-CLAIRE NDIKUMANA, 2 MARCH 2012 Comment Bujumbura — Prostitution is no longer taboo in Burundi. It is quickly becoming a widespread phenomenon, due to the deteriorating living...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAPENZI YANANITESA NIPENI USHAURI Nimefikiria kwa muda mrefu naona nazidi kupoteza muelekeo. Naombeni ushauri wenu wa mawazo naweza kufarijika kwani nipo njia panda. Ninampenzi ambaye kwa kiasi...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Back
Top Bottom