nilichofanyiwa mimi sitasahau. niliingia humu jf sasa yapata miez 4 nikapata demu humu jf tumewasilia kwa muda akasema anaishi dar akaniomba nimtembelee nimeenda dar kumbe ana mume nusu wanibikiri...
Upo na mkeo kwenye eneo la matanuzi, hapo mmeagizia pombe na mnasubiri msosi wanguvu mle muondoke nyumbani
Mazungumzo yenu hapo ni ya amani na vicheko kwa sana. Mara mgongeshane mikono, mara...
Siku moja jamaa mmoja alienda kununua viagra( dawa za kuongeza nguvu za kiumea) kwenye duka fulani la madawa, bac kulikuwa na docta pale akampa dawa flani na akamwambia ile dawa angeweza hata...
Wa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze, presha imepanda, kichwa kinaniuma, yaani nasikia kizunguzungu, wana nini watoto hawa?
Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!
Kuna mama mmoja jirani yangu ambaye siku hizi tabasamu halimtoki mdomoni...............nilipomwuuliza hizi nderemo ni za nini jibu alilonipa liliniacha kinywa wazi nikapigwa na...
.....wakati wa kula hasa chakula usichokifahamu, ni kawaida ya mwanadamu kuonja kwanza. Mwonjaji akisharidhika na chakula ndipo huagiza/huitaji chakula tayari kwa kula hadi anapotosheka na...
nina rafiki angu ,mumewe anacheat sasa ndio amegundua sasa anmpenda mumewe lakini ajui afanyeje ,mana huyo mumewe kamfanyia mambo mengi yule mwanamke mwingine je anaomba ushauri wenu jamani
wana jf kuna waziri wa sekta flan na ameoa ila anansumbua ananihonga hadi gari hii inanifanya hadi nitake hama nchi
ushauri plzzzzzz
regards tracy wa njiro
Kwanza natoa heshima zangu za hali ya juu kwa ODM na DC!Babu zangu wa ukweli!Naona kama hamjatendewa haki kutokuwekewa category yenu spesheli kwa ajili yenu na babu wote wa JF kwa hekima zenu...
Sijui ni utaratibu gani hutumika kumpata mpenzi aliye mkweli,kwani ni imani yangu kuwa kila kilicho chema kina mahusiano ya moja kwa moja na Mwenyezi Mungu,lakin ajabu kuna watu wanapata wapenzi...
Leo nimekuja na ombi lingine. Hivi mwanamke (mama wa nyumbani)anastahili au hastahili kupewa pocket money ya kujinunulia vitu vyake vidogo mpaka aviorodheshe kwenye list ya vitu vya mwisho wa...
habari wanaJF,naomba ushauri,hivi unafanyaje kama mkeo hapatani na ndugu zako hata mmoja,ingawa ndugu ndio wanamletea chokochoko yeye ni mpole na ni mtu mzuri.
Habari wadau,
kwa wale wenye watoto haswa wanaume naomba mnisaisie hili. Nina mtoto mmoja wa kike ana miaka 3,huyu mtoto ametokea kunipenda sana kuliko mama yake ingawa wote tunafanya kazi na...
Namshukuru Mungu kwa kuwa ni rijali.Lakini pia wakati wa kula tunda huwa inanichukua muda mrefu sana bila kamanda kusinzia.Niseme 1,2,3 ndio jamaa walau anasinzia.sasa sijui niseme ni 3 times 1 au...
Jamani kuna mwanaume anauwezo wa kutofanya mapenzi kwa MIAKA 3? Mtu huyu hana tatizo lolote, yuko fit kabisaaa!Eti anakuwa anajizuia apatapo hamu ya kufanya tendo?Je inawezekana?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.