Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimepata mchumba lakini nilipoamua kujuaana kivituzi..zzz nilihisi kama nguvu ni nindogo kwani usimamaji wake sio wa digri 90 kama sio 100 na hasa kwa kimwana kama mie bado mwake mwake sasa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Eee ndugu jana jua kali tulikuwa uwanjani tunashangilia Oman ilivyo ichapa Thailand 2-0 na tume qualified to round 4... tukipita huko ni Brasil 2014, moja kwa moja nategemea tutafika tu. Yani...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Inajulikana na watu wanadai kuwa wataalam wa mahusiano,waimbaji wa nyimbo za mapenzi,wataalam wa saikolojia n.k,hao wote ni wataalam sana wa kutoa ushauri na burudani/ushauri kwa wanandoa au...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wiki iliyopita nilikuwa natazama kipindi cha Hard talk (BBC).Mwandishi alimuuliza Rais Yoweri Museveni ni kwa nini anakiuka haki za binadamu kuhusu mashoga (Ikumbukwe inaandaliwa sheria kali sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu jamani ! Kuna swala moja huwa linanitatiza sana kuhusu hawa wanawake hususani katika maswala ya mahusiano ! Yaani wengi wao niliobahatika kukutana nao wana-compilications za...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Habari zenu wadau wa hii sekta!Swali ndio hilo hapo juu! Wengi wetu huwa tunajidai tupo seriously busy na pilikapilika za kila kukicha na kusahau kwamba wenzi wetu wanahitaji kufurahishwa...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Hello wapendwa, Kwa wapenzi/wanandoa linapotokea suala la mifarakano ya hapa na pale mpaka wengine kutaka kuachana, mnalichukuliaje suala la kujishusha? Hapa naongelea kuwa chini (kupunguza...
9 Reactions
96 Replies
8K Views
Nielewewavyo mimi kusonya ni ishara ya dharau au maudhi......inakuwaje katikati ya mushughuli mtu anasonya?(hasa nyie kinamama)........je ni dharau au ni nini?
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Mwanaume anapenda through his eyes na mwanamke through her ears...Yani bandugu mkijua kumpiga lugha mwanamke basi atakupenda tu mana wao masikio ndo yanapenda, sisi mpaa macho yapende ndo tunapenda.
1 Reactions
120 Replies
8K Views
No man can satisfy a woman simply by WHAT HE DOES FOR HER. He fulfills her by allowing, motivating, and supporting her to be everything that SHE has a capacity and potential to be. In other words...
18 Reactions
182 Replies
10K Views
Ndugu wanafamilia wa jf kwa wale wataalam wa masuhala kama haya ya kutoa mbinu na namna ya kuweza kutoka na rafiki wa kike wa mpnzi wako naomba 2saidiane jamani tafaaadhari.:lol:
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Yani,imagine mtu kanipigia simu,me nilikua busy kwa mda huo,nkapokea nkamwambia niko busy kdogo na ka vp ntamcheki baadae!!sa hzi nampgia eti kanuna,kisa cha kununa ni mim kuchelewa kumtafuta.sa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wenye mvi tukubali ujana una mwisho na hivyo tuache kuhadaa vijana kuwa bado tumo wakati ni saa za majogoo......tuache kutia kanta vichwani ili tuonekane hatujazeeka kumbe masaa...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Wana wa Jamii, Muda si mrefu Cousin wangu (he) kanifikia akiwa macho pima. Kisa ni , palikua na kipindi kwenye Tv kinachotaka viewers wake waandike sms kutaja wanamzimikia msanii gani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Halloww wana Jf...! Jamani nina demu wangu anakaa SUMBAWANGA mi nikaa ARUSHA. Mahusiano yetu yameaanzia skul. Tulikuwa tunapendana sana tumemaliza skuli KAPANDA GARI kwenda swax na mimi nikapanda...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hallow akina dadas and kakas, naamini mpenzi/mke/mme ulienae kuna vitu anuai vilikuvutia sana. Mie binafsi nina mke na mtoto na nawapenda sana. Mke wangu nilivutiwa na mwanya wake maana ndo...
3 Reactions
41 Replies
24K Views
Tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wote tulikua divorced, kila mmoja ana watoto tayari, watoto wangu niliwaacha kwetu wa kwake tunaishi nao! Wote ni wafanya biashara, tukaamua kuunganisha...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau mi nna binti ambaye nimekuwa nae kwenye uhusiano kwa muda mrefu na mi ndo niliyemuintroduce kwenye anga la maraha"yaan kumtoa bikra"..hv itakuwa poa kama ndn atakuwa mama watoto wangu au ndo...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha leo tena cloudz, hoja ilikuwa kwa nn wazazi wanapenda kuita watoto zao mbwa! Mbaya zaidi kibongo bongo kila mtu labda ameshawahi kuitwa mbwa na mzazi. Je ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unaweza kukuta mdada anakwambia bwana yangu anamiliki vx v8 wakat gar yenyewe ina no za stk kisa jamaa kamwambia ni gar lake na anamfataga nalo jion kitaa au ni uvivu wakusoma namba
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom