:
Kijana wa Kitanzania aishiye huko Marekani alimpigia simu mama yake.
Maongezi yao yalikuwa kama ifuatavyo:
Kijana: Mama, nina virusi vya UKIMWI!
Mama: Mwanangu, ninakusihi, ninakusihi...
Hatukuwa watoto kihivyo ingawa tulistahili kuwa watoto. Niko f2 mwenyewe yuko F1. Wakaja shuleni kwetu kwenye zile inter school social. Jamaa tulikuwa mabreak dancers acha utani! Basi katika lile...
Ndugu zangu wanaJF
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja wa kichagga kwa mwaka mmoja sasa,na kama mjuavyo siku zote mahusiano ya watu wazima wawili yanahitimishwa na ndoasasa ishu yenyewe ipo...
you women are so ivo...
halafu sio "grid"....nadhani ulimaanisha "greedy" sio?
Yeah hivo hivo greedy!...
Not all women are ivo..there nice and smart women out there sema tuu samaki mmoja...
Mmeisikia habari hii,mimi nimeisikia leo redioni nikaona niwape wale ambao hawajaisikia.JAMAA KAFYEKA SEHEMU ZAKE ZA SIRI,KISA KUGOMBANIWA NA WANAWAKE WAWILI
Hebu tuchukulie kwamba, umefuatwa, au unafuatwa fuatwa na mtu uliyewahi kuambiwa kwamba ni baba yako ambaye alikukataa tangu ulipokuwa mdogo. Baba huyu alikukataa katakata kwamba wewe sio mtoto...
Heshima kwenu Wadau,
Nina mtoto ambae nlimpata Kitambo tu nkiwa Form 5 Mwaka 2000 but sikubahatika kuendelea na Mama yake kwani sikua tayari kuanza Maisha ya kujitegemea wakati huo.
Sasa yule...
long distance relationship kama wazungu wanavyoita hamna tofauti na mtu aliye single, so painful if u real in love,usiombe yakukute ndugu yangu,kwa wale wa wanaoishi bongo campan ni kubwa ya...
Hebu nikuulize wewe mwanamke. Je umewahi kumficha mumeo au mpenzi wako kitu chochote kuhusu maisha yako ya zamani au ya sasa? Je mumeo au mpenzi wako ameshawahi kukushangaza na siri ya mambo yake...
Ni mjadala mzito nnilikuwa na jamaa yangu mmoja ambaye anashughulikia hapa mambo ya Domestic Violence. Position zetu zilikuwa mbili tofauti moja ni kwamba huwezi kuwa survivor bila kuwa victims -...
Inafahamika kuwa siku hizi wanawake wengi wanafanya maamuzi kwa utashi wao..
tofauti na zamani....siku hizi wamewezeshwa na wanaweza......
wapo wanaotongoza wenyewe wanaume...
wapo wanaotoka nje...
Ndugu zanguni wana JF; Leo nimeona niwaletee dokezo tu kwa mengi niliyochunguza juu ya mahusiano hasa ya mapenzi, uchumba na ndoa. Kichwa cha habari chahusika.
Sababu ya kwanza ni KUTOKUJIAMINI...
A way to a man's heart is through his stomach................. Kwa tafsiri yangu ya elimu ya ngumbaru ni kuwa ukiwa mpishi mzuri wa chakula, basi umewin moyo (mapenzi) wa mpenzi/mume wako...
shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa...
Hodi wanajukwaa,
Kuna jamaa mmoja, umri 27 yrs, nahisi kachanganyikiwa na mapenzi. Historia yake inaonyesha amekuwa hurt na mpenzi wake wa kwanza. Baada ya kuachana na huyo mpenzi wake, akakutana...
jamaa alimpenda demu akamtumia rafiki yake ili kuweka mambo sawa kweli yule rafiki akamsaidia kumtongozea rafiki yake jamaa wakaanza uhusiano. katikati ya uhusiano jamaa akarudi kwa yule rafiki wa...
Wadau,
This is serious, dogo kaja mbio amechanganyikiwa... he loves siblings, na anvyohisi wote wanampenda na kama na wao hawaelewi wafanyeje, they are scared to ask him and he is scared kwani...
Miezi saba baada ya kuvunjika kwa ndoa yake, tayari J.LO ana boyfriend mpya. This time ameamua kuchukua kabisa toyboy mwenye umri wa miaka 24. Toyboy tayari kesha move in to help out with the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.