Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nilikuwa nasoma jarida moja la Kenya juzi,leo nikakutana na kisa kile kile kwenye jarida la Drum,kisa chenyewe ni kuwa,mabinti na wanawake huwatosa wanaume ambao jamii inawaona mahandsome kwa...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Me list yangu ni hii,nawe njoo na yako. 1]manyara 2]tanga 3]kagera 4]mwanza 5]arusha 6]mara 7]tabora 8]dodoma 9]iringa 10]ruvuma 11]dar es salaam 12]mtwara 13]mbeya
0 Reactions
87 Replies
8K Views
Ebana me ndo senetor original,nimerudi uraian baada ya kupata msamaha wa rais..nimekuja na mambo matamu balaa hasa yahusuyo hli jukwaa la MMU.
0 Reactions
6 Replies
877 Views
binafsi nimekubali kuwa na guy ambaye najua anamsichana wake mud mrefu na nimewapa uhuru wa kuonana popote pale wanapojisikia ilimradi jamaa aniambie ukweli tu, na ninafanya hivyo huku nikiwa sina...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwanini mwanamke anaendelea kutega watu kimavazi na kimwendo wakati ameshaolewa?
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Just speak your mind; Kama umepewa 5000 Million shilings cash to end the relationship with whoever you are dating, hata kama mapenzi yenu ni ya miaka 5 au zaidi.....will you accept the offer.
0 Reactions
86 Replies
5K Views
Ndugu wanajamii wa jamiiforum mimi ni mwanachama mpya. Leo naleta mbele yenu hii mada tajwa hapo juu. Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wengi wakisema kuwa ili kuepukana na kuwa na uhusiano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya takribani mwezi mmoja wa aliodhani wanawasiliana, kumbe alikuwa anawasiliana. Ilifika muda wakagombana...na maongezi yalikuwa hivi. Me: tena hiyo namba yangu uifute ke: ungejua...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wana jf kuna mademu mengine easy going unataki kusema tu maneno mazuri unawachukua bila hela na wanweza kukupa wewe wakiwanazo
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Studies further show that couples who delay sex until their wedding night have more stable and happier marriages than couples who have pre-marital sex. According to Asiphe Ndlela, a psychologist...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wewe unatarajia kuoa hivi karibuni!upo ktk kikao chako cha harusi,mmepanga bajeti ni 12m!Bwana harusi umeanza ahadi yako kwamba utatoa 3.5m!wanakamati wawili watatu nao wakatoa ahadi zao!Sasa...
4 Reactions
147 Replies
15K Views
nina mipango ya dhati kuwa na mwenzi... mwezi nov mwakani... ila sina rafiki wakike ambaye niko nae kwa mahusiano ya kimapenzi ... wala mchumba mpaka sasa... naomba ushauri wako ww mwenye...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Mshkaji alinialika Kona bar...kaktikati ya stori na laga mar akatokea binti mmoja mzuri na heshima zake akatufuata akaomba kujumuika nasi na bila hiyama akasema kuwa yuko mzigoni nyuma buku mbele...
12 Reactions
103 Replies
12K Views
jamani juzi nilikosa raha baada ya kushindwa kufanya tendo la ndoa na mke wangu baada ya mwenye duka kuniuzia condom zilizo expire. kwa vile mke wangu alikuwa kwenye siku za hatari na sisi wenyewe...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Lovely sunday to u all......
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dada mmoja alikuwa kwenye mishemishe zake,mara akaona kanga inaning'inia dukani ikamvutia na kwenda kuinunua. Bila kuisoma jina akampelekea mama mkwe wake,kisha akaondoka zake. Huku nyuma mama...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nilikuwa naye kwa miaka 4 kipindi tukiwa masomoni yy secondary mm University miaka kadhaa nyuma. Hatukuwai kufanya sex kwa makubaliano hadi aitimu masomo yake kwani hakuwa amewai kuduu kwa kuwa...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari zenu wanaume wenzangu. Mwenzenu nina tatizo jamani, siwezi kuwa kwenye uhusiano na msichana kwa muda mrefu. Tatizo ni kuwa huwa nawachoka sana wasichana ninaokuwa nao. Sio kwamba ni...
0 Reactions
122 Replies
8K Views
Kwenye uwanja wa wa mahaba kapo katabia ka kuficha "feelings" kwa khofu ya kuachwa majeruhi na yule umpendaye........kwa hiyo kamchezo hako hufanya binti au kijana acheze mchezo uitwao "mind...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Unamkewako wa ndoa unaishi naye vizuri tu ndani ya nyumba na anakutimizia haja zako zote na unamwamin sana naye pia anakuamin lakin kwa upande wako unamwanamke mwingine nje ya ndoa na hupendi mkeo...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom