Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Naamini kuwa wanawake wanahitaji kuwa na haki sawa na wanaume ila si kwa jinsi ninavyoona mimi hii ni vita kati ya wanaume walio kimya na wanawake wanaotumia majukwaa kupambana nasi. Mimi nadhani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1.Afagie uwanja wa nje ya nyumba. 2.Aende kisimani kuteka maji(marudio ndoo kadhaa mpk zitoshe mahitaji ya nyumbani kwake) 3.Adeki nyumba,apike(jiko labda la mkaa unapika kimoja kimoja mpaka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wana jamii forum leo nimepata picha bwana wangu anakula denda na mwanamke ambaye mimi simjui nilipo muliza mwanamke wangu hii picha mmepiga wapi akasema maeneo ya mwenge na sio kweli nilivyo mbana...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
ni juzi tu baba na mama yangu wameadhimisha miaka 50 ya ndoa yao.Moja ya vitu vyenye kuvutia,ni pale unapoangalia wawili hawa katika uzee wao wenye siha wanvyofanana kwa sura.Ninngependa kuuliza...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Wanaume wengi huwachukulia wanawake kama mali zao, ambazo ni wao tu wanaotakiwa kuzimiliki kwa namna fulani. Mali yako ni mali yako, ikitumiwa na mtu mwingine, huumiza hisia. Lakini, mali hii...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wapendwa wanajf: Juzi nilikuwa msibani fulan wa ndugu yangu si mnajua msibani na kuna kulala nje sasa mnamo mida ya saa 8 usiku si akaja mtu akatumwagia maji pale jamvini aisee...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Niliendelea kusikia maneno na mawazo yakikizunguka kichwa changu. Moyo wangu na akili zangu zilikuwa katika vita vikali, moyo ukipenda na kutamani wakati sheria ya akili yangu ikijawa na tahadhari...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
"Za kuambiwa changanya na za kwako" FIVE RULES FOR MEN: 1 It's important to have a woman, who helps at home, who cooks from time to time, cleans up and has a job. 2. It's important to have a...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
.....sentensi nimekuwa naisikia sana kutoka kwa kina dada walio single. Funny enough, kuna kina dada wapatao watatu niliowahi kuwasikia kwa masikio yangu (nafanya nao kazi) wakitoa kauli kama hii...
4 Reactions
117 Replies
8K Views
Kwanza nashukuru kupata fursa hii ya kulitembelea jukwaa hili kwa mara ya kwanza. Nawasalimuni ninyi nyote. Mie naanza na stori fupi kabla ya kuuliza swali kwenu. Hapo zamani nilipokuwa kijana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
imekuwa kama gundu coz nakubaliwa na nisiowapenda lakini ninaowazimia hasa kati ya 10+ niliowatongoza walinitosa,kasoro mmoja tu ambaye after a year mambo yakaharibika, Yaani sijielewi mpaka...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
jamani sasa hv mishahara ya wanaume inaingizwa kwenye a/c za wake zao hata kama wife ni mother house ofisi inamfungulia a/c inamuwekea mshahara woote wa mzee nyumba ndogo zitakomaje heri...
5 Reactions
81 Replies
6K Views
Nilikutana na huyu kaka mwaka 2007 kwenye harusi ya dada wa rafiki yangu.Huyu rafiki yangu ni kipenzi sana na amekuwa kama ndugu yangu,. Hiyo harusi nakumbuka ukumbi ulikuwa ni pale msasani...
1 Reactions
148 Replies
9K Views
Kama hauna imani na mwenzi wako,.. hauamini kama kila simu anayo pokea sio ya vimada au vidumu,... unaweza kuondoa hofu hiyo,kwa kumfuatilia kisiri siri katika mawasiliano yake yote! Akipigiwa...
3 Reactions
164 Replies
11K Views
Wadau naomba kushee kwa pamoja,eti ni sehemu ipi ni nzuri na muafaka kwa ajili ya mechi isiyokuwa na jezi,je ni kwenye kochi,chini,juu ya meza,juu ya sinki,kitandani,bafuni,chooni,kwenye...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwenu wanaume, mlio jamvini na nje ya jamvi! Naomba kupata uzoefu wenu katika hili, unaweza kukuta wakaka wanapiga story, aah yule demu hama kitu pale, kwanza K yenyewe yabariidi haina mvuto...
3 Reactions
79 Replies
10K Views
Habari wana JF, Ni mara yangu ya kwanza ktk jukwaa hili jamani, nipeni ushauri katika hili. Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Baba mkwe wangu alikuja kwetu kwa ajili ya kutibiwa toka mwaka jana. Ni...
1 Reactions
76 Replies
5K Views
Ladies wengi hawajui ni wakati gani wa kuwaomba misahamaha wapenzi wao.....kwa hiyo huishia kuwavamia........... at the wrong time, the wrong place and when their partners are in the wrong...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Former Growing Pains star Kirk Cameron is taking heat from GLAAD after remarks made on CNN's Piers Morgan Tonight. During Friday's interview, Cameron called homosexuality "unnatural" and...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mara nyingi nimeona hizi fashion za wadada kuvaa hizi tops zenye kuachia kidogo matiti lakini chuchu hufichwa......na miye lakini hupendelea kuchunguliwa na zile zinazojiimbia kuwa zenyewe ni saa...
1 Reactions
69 Replies
20K Views
Back
Top Bottom