mumewe anafanya kazi hana muda wa kuongea na mke wake yeye na bb kuchat mke wake alikua akikwazwa na tabia hiyo kwan yeye alikua na kasimu ka tochikasichokua na hata internet
Sasa amepata...
Nimekutana na mkaka online JF, tukaflirt sana PM huku tukipeana fake info about each other kwa muda kama wa miezi 8 hivi.
Alinidanganya ameoa nami nikamdanganya kuwa nimeolewa. alinidanganya...
"Ni hivi karibuni nimefunga ndoa na mwanamke ambaye sijawahi kukutana naye kimwili hapo kabla,
mara nyingi nilipotaka kukutana naye kimwili kabla hatujafunga ndoa alinikatalia na kunipa vipengere...
Jamani dunia inakwenda siko siku hizi na wanawake wamekuwa ni bure kabisa, hawawezi kuwafurahisha wanaume ndani ya ndoa, wengi wao wamekuwa magoigoi kwa kuwa hawezi kukatika wala kucheza ngoma zao...
There are somethings that a man will never tell you. But
these things would help you understand your partner better and improve your relationship.
1- We want you to like our friends, but not...
Wiki iliyopita nilitembelea mbuga ya Selous iliyoko huko Rufiji. Nilifikia katika Lodge ya Moja iliyopo hapo Selous, na miongoni mwa wageni tuliofikia katika Lodge hiyo kulikuwa na kina dada...
Hali zenu wanajamvi, huwa ninajiuliza kila siku. Kipi bora kati ya haya. Kuoa/kuolewa na mtu ambaye ana experience katika mapenzi au asiye na experience. Nikimaanisha kwamba mtu ambaye alishawahi...
Umepata msichana miezi mitatu nyuma, mmependana naye sana na ana kila sifa unayoitaka. Kuanzia umpate mambo yako yananyooka sana, unapata hela katika mazingira ya kutatanisha sana. Mara ukute...
A five year old boy who rejected his gender is now living as a girl with the support of his family, doctors and school.
Zach Avery was three when he started questioning his gender, and began...
Rafiki yangu ni mlemavu wa viungo. Kuna kipindi alikuwa vibaya kiuchumi, and that time wadada wengi walikuwa wanamkataa alipowatongoza. Mungu mkubwa akatokea mdada ambae alimpenda sana pamoja na...
Namtafuta rafiki yangu nimepotezana naye kama miaka miwili hivi na kwa bahati mbaya namfahamu huyo rafiki yangu kwa jina moja tu, sijui anapoishi ingawa yupo dar na alishawahi kunielekeza kwake...
Ni kijana mstaarabu,kakutana na binti mrembo wa haja,kwa vipimo vyake,anamuona kuwa aweza kuwa mke mtarajiwa.Kijana anamdokezea ombi lake,binti anasema hana pingamizi ila,anaye rafiki ila ni...
Nikikishavaa viatu vya PSI, nashindwa kabisa kucheza mpira kiasi ambacho wakinadada wa mtaani kwangu, wamenitangaza kuwa si riziki, wengine wanasema nimetegwa na mke wangu, basi na maneno kibao...
Habari zenu wana jf.Nina rafiki yangu wa kiume,huu mwaka sasa unakata,tupo marafik vizuri tu,tatizo alilonalo,hajui kumtongoza mwanamke..eti yeye anasema action atakazokuwa anaonyesha kwa
yule...
1. Guys arent psychic, mind telling them what you mean?
2. Guys dont like to be used as pawns in trying to make your friends jealous.
3. Guys tend to get serious with their relationship and...
ndoa ni umoja wawageni wawili wasiofahamiana vema.kila mmoja ni kama msitu wenye vitu vyakugunduliwa polepole.ugeni huo ni chanzo cha matatizo mengi kwenye ndoa.
wengi hugunduatofauti zao baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.