Hakuna asiyejua nini maana ya mapenzi, kila mmoja wenu hapa nadhani hili swala analijua vizuri ingawa kwa mitazamo tofauti.
Sasa basi hivi majuzi nilitokea kukutana na madada wawili kwa nyakati...
Habari zenu wakubwa,ebana jana ucku nimepokea txt kutoka kwa mmanzi wangu wa zaman yenye hayo maneno hapo juu,me nkawa nimekausha tu niusome mchezo kwanza,ikapita ka nusu saa,akanitumia tena txt...
Source: The Love Calculator
We all know that a name can tell a lot about a person. Names are not randomly chosen: they all have a meaning. Doctor Love knew this so he made another great invention...
Nikiwa ni mwingi wa mawazo na kukumbuka miaka 3 nyuma nilivyotendwa na mdada ambaye sintamsahau maishani mwangu,
Naingia ofcn kwa kishindo nikiwa na uchovu wa kimwili na akili. Walinzi ambao pia...
Nimeshakutana na kisa hiki kwa jamaa watano. Wapenzi wao wa kike kwa nyakati tofauti walishawahi kuwanunia tena kwa siku nyingi kisa eti waliwaona marafiki zao wakiwa na wanawake wengine tofauti...
Sifa zake za utulivu na tabia njema zilizagaa kwenye shirika letu hili lisilo la kiserikali. Nilishawahi kusikia vijana wenzangu mara kadhaa wakimsimulia binti huyu kwa jinsi alivyo na misimamo...
wakuu kuna kitu kinanisumbua sana!mimi sijao lakini umri umesogea'nimekuwa na uhusiano na wanawake wengi'kinachonishangaza ni baadhi ya wanawake nikifanya na mapenzi inakuwa shughuli pevu'yaani...
Kuna msichana 1 nimempenda ila yeye simuelewi elewi.
Ni hivi mara ya kwanza mwaka jana mwez kama wa 5 nilimtongoza na akanitolea nje na kunitukana sana matusi.Cha ajabu some time alikuwa...
Ndugu zangu Wana JF,
Mwishoni mwa mwaka uliopita nilileta post hapa nikiomba ushauri ili kulinda kibarua na kuwa jirani na familia. Wengi kama sio wote waliochangia walinipa na ushauri mzuri iloi...
Kuna dada alikuwa akisoma SUA miaka ya 2000 mwanzoni. Kwa bahati alikuwa na mahusiano na Mhadhiri mnyarwanda pale SUA. Akiwa ktk mahusiano hayo, kama kawaida, akajenga uhusiano na mwanafunzi...
Jamani ,
Kijana mtanashati na vijicent vyangu vya kudunduliza nikaamua kujitutumua kumtoa valentine wangu
nimpeleke sehemu za haya mahotel ya wawekezaji tupate dina .
Unaweza amini tumezunguka...
kinachoumiza zaidi ni kuwa wale wanaokupenda
like familly and friends ndo wanaumia zaidi hata ukiwa umeshakufa....
mapenzi gani haya ya kuumiza watu weengi wengine..... - by Boss JF Member...
Heshima mbele wakuu,ebana me nimepata gelofriend mpya,na kikweli nimepima oil,nimegundua ni kweli mambo yako safi kabisa,kaniambia me ndo mvulana wa kwanza katka maisha yake,so wakuu,naomben...
Waungwana habari za jioni!
Leo nikiwa napumzika baada ya mihangaiko ya kutwa nzima nilipata wasaa wa kukaa na kupumzisha koo kwa kupata moja moto moja baridi!
Tukiwa tunabadilishana mawazo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.