Nimefanya utafiti kuhusu wanawake wengi kwende inje ya mahusiano/ ku cheat waume zao ni kagundua kwamba sababu kubwa ni kukosa sexual satisfaction ingawaje hua hawasemi, lakini hilo ni tatizo...
wana jf kuna kitu nakikosa kwenye huu ulimwengu wa mapenzi kutoka kwa wanawake anything i do for her but i mc the real love nimejivua gamba sasa nimeamua kuwa alone for a while
Jamani mimi mwenzenu nimeamnua kuachana kabisa na mambo ya nyumba ndogo kwani sioni faida yake dhidi ya hasara. hapa chini ni sababu zilizopelekea mimi kuchukua maamuzi haya magumu.
1. Gharama -...
Ninaye gf wangu ambaye nmekuwa nae kwa takribani miezi 8 sasa, sasa shida ni kwamba yeye huwa mara nying hapendi kunipigia cm had mim nifanye hvyo sasa ikafka kipind ukipanga kuonana anatoa excuse...
im really curious, kwanini wanaume huwachoka wake zao na kutafuta kazi za nje? kama wanawake tunaweza kuwa waaminifu kwanini nyie mshindwe?
mtu anakuzalisha alafu ukisha haribika mwili, anatafute...
Nashindwa kuelewa kila msichana ninae do nae, cku tukiweka zana pembeni tu lazima anase mimba na hii haijalishi yupo kwenye danger au safe period. Mpaka sasa huyu msichana wa nane na wote inatokea...
Katika harakati za maisha vijana 2naanzia sehem mbalimbali,mwaka 2006 ktk kuanza maisha ya kkaz nlijkuta nmepangwa mkoani Tabora ktk wilaya flan,hko nliish kma bachela,cku zlvozdi kwnd nlpata...
Nimekuwa nikisikia watu wanalalamika kuhusu suala la kupungukiwa na nguvu za kiume na suala hili limekuwa ni chanzo cha migogoro mingi ya mahusiano kati ya jinsia mbili kuu yaani ke na me. Waganga...
Friends, nina GF tuna muda mrefu katika mahusiano. Mwanzon alikuwa anapenda sana charting na midnight calls nyingii.. Ila baadae akabadilika katika matumiz ya cmu, kuchat kukapungua, kupigiana...
Hiki kiti kinaniudhi na bahati mbaya zaidi naamini kila mwanamke anacho.....
ni huu ugonjwa wa kununa na kususa kwa jambo doogo.....
mtu unaweza kununiwa hata mwezi mzima,mpaka ukahisi
labda...
On board the world's biggest cruise liner that missing Briton fell from during gay and lesbian party voyage
The Mexican navy and coastguard are still searching for the unnamed man, who is aged...
"You can tell me anything." That's what a woman will tell you. By ‘anything', she means you can tell her what you really think of the atrocious new hairstyle that she is super excited about...
Hki ni kisa cha kweli kilichotokea Dar es Salaam kwenye miaka ya tisini na.... Na kilishawahi kuandikwa mahali na pengine baadhi ya wanaMMU wanakifahamu. Haya tuanze.
Huyu rafiki yangu, naomba...
Nataka kujua juu ya mahusiano baina ya b na bwana.watu wawili wa jinsia mbili wanapokua ktkt mahusiano ni kweli mara nyingi mwanamke ndie anaekua mkweli katika love?naimanisha mwanamke ndie anae...
FEBRUARI ni mwezi wa mahaba kama inavyojulikana kwa wengi. Ni kipindi cha kuonyesha upendo hasa kwa adui zetu, pia ni wakati wa suluhu na amani kuanzia kwenye familia hadi jamii.
Zipo simulizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.