Naombeni ushauri wenu..alikuwa b.friend wangu kwa miaka 2 iliyopita kutokana na kale katabia nilikowaelezeni,siku za nyuma nikamwambia kama anataka kuoa atafute mke me bado nipo nipo..muda si...
Mambo mawili na makubwa hapa duniani kwetu wanadamu na yanakungoja kwa busara zako ili uchague. Kuna MAOVU na MEMA hayo yote ni kwa ajili yako ila kumbuka WEMA hauozi na UBAYA haulipi kwa hiyo...
Kama ilivyo matumizi ya simu yalivyo badili mahusiano
sasa kuna hili la matumizi ya kutumiana pesa kwa njia ya simu
m-pesa,tigo-pesa..airtel money,z pesa na kadhalika.......
je unafikiri...
Msifanye mambo kwa pupa mjiepeshe na tamaa za dunia, fanyeni mambo kwa mipango sio mbio mbio, kama uwezo wako ni mdogo kwanini watamani mambo makubwa ambayo yako nje kabisa ya uwezo wako, Maovu...
Huduma za saluni (wanaume na wanawake) zimekua sana Tanzania. Ila kwa kweli zinaweza
zikakuharibia pendo usipokuwa makini. Tazama
1. Huyu dada kaenda kutengeneza nywele, jilulize atakuwa...
utafiti uliofanywa unathibitisha kwamba asilimia 70 ya akina baba wengi wanalea watoto ambao sio wa kwao. kwasababu wenye uhakika wa watoto hao ni mama zao tu. sasa kama hali ndio hii nashauri...
*Proof That The World Is Nuts!
In Lebanon, men are legally allowed to have sex with animals, but the animals must be female. Having sexual relations with a male animal is punishable by death...
Nasoma mara nyingi kwenye hill jukwaa la MMU namna watu wanavyolizwa na mapenzi.Karibia kila siku kuna kuna misiba ya mapenzi:
'Ameniacha wakati nampenda'....
Kaniahidi kunioa lakini...
Wakuu habari za masiku, Juzi nilipokuwa nasinzia sinzia , hafla nikasikia njemba 2 zikimtumia email Dj wa show kwenye station ya radio kumuomba ampigie g/f kum-wish happy birthday. Kumbe na...
Washikaji jana nimeanza weeknd na kimeo balaaa ,Katika sehem niliyo kuwa nimetulia nilishare meza na mama moja ukimuona utazani bibi hivi,basi alipokolea kinwaji nilishangaa sana kuniambia kuwa...
Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami...
valentine day ndo imekaribia,
ikiwa ni siku ya wapendanao,ndugu jamaa na marafiki kukaa pamoja,
natoa nafasi kwa atakayejisikia kuwa pamoja nami siku hiyo,
kukaa,kula,kunywa kuongea na ku dance
I do not know you well, but what I know
Enchants me, like a song sung far away.
I cannot hear the words, but what they say
Hangs softly on the hills where I must go.
I see you furtively and note...
Kuna rafiki yangu nasoma naye chuo wote tuko mwaka wa mwisho chuo flan hapa dodoma.
Sasa kuna kijana flan ni askari polisi wanafahamiana kwa kuwa wote wametokea musoma, hivyo basi jamaa uwa...
Jambo mojawapo lililotokea kwa mwanadamu dhambi ilipoingia ni kuishi maisha ya umaskini na kupungukiwa. Dhambi pia iliweka matabaka ya matajiri na maskini. Toka mwanzo na hata sasa na siku zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.