kuna ka mtihani kananiumiza kichwa kidogo...
kuna jamaa amehamia hapa mtaani kama mwezi mmoja hivi.
baada ya wiki wife akaniambia huyu jamaa anamsumbua kwa kumpigia simu za kumtaka...
Kuna watu ambao wamefanikiwa kupata watoto bila ya ndoa na wengine wamefanikiwa kupata ndani ya ndoa ambazo hazikudumu. Mzazi yeyote yule ambae anafahamu/anaheshimu na kutimiza majukumu yake hua...
Nimetanguliza ANGALIZO kwamba ni Great Thinkers Membar, ndiyo ningeomba wanichangie katika agenda hii mezani.
Mizaha, Utani, Kubeza, Mas'khara, Uchakachuaji wa Thread ni vitu viendeleavyo kukua...
{1}Usikubali mtu usiyemjua kuzoeana nae ghafla.
{2}Unapoitwa ghafla usigeuke, puuza kama husikii ili kupima sauti ni yanani?
{3}usipendelee kutumia njia moja, badilisha njia nyengine ili usiwe...
Sauti ni kivutio kikubwa katika mapenzi jamani?.napenda kumpigia galfnd wangu simu,akiongea tu nafurahi,is it kweli sauti inaweza kumnasa mtu akakupenda.
Mim ni mvulana wa 28 yrs,niko na girl friend wangu miaka 2 Sasa,mda wote huu tumekuwa tukipendana bila ya matatizo,lakin hivi miezi miwili iliyopita yaan amebadilka mno,sometime mpaka nashindwa...
Wadau heshima zenu,
Kuna dada tumefahamiana kama miezi miwil hivi, tumekuwa tukichati na kubadilishana mawazo. Mi mwanzon nikawa namvutia kasi, ila yy ndo akaanza kuniita mpenzi nikajua basi huyu...
Jambo wote wana wa familia ya JF??????.
Bila kupoteza muda nimeona ni vyema nikaweka matokeo yangu ya uchunguzi nilioufanya kwa kipindi kirefu na kubaini mambo kadha wa kadha juu ya jambo...
Habari wana JF. Naomba kuelimishwa m2 anaposema/lalamika kwamba mwenzie ni mbabe katika mapenzi/mahusiano yao anakuwa anamaanisha kitugani.
Niilimsikia dada mmoja akimweleza mwenzie kwa huzuni...
Pengine unaona malavidavi unayopewa na huyo mwanaume ama mwanamke ukahisi ndio mke ama mume sahihi uliepangiwa la hasha kuwa na mazoea ya kumruhusu mungu aingilie katio kwenye mahusiano yenu...
Someone will always be prettier,someone will always be smarter.
Some of their houses will be bigger.some will drive a better car.
Their children will do better in school and their husband will...
Hivi wana JF ni bora kuwa na girl au boy friend ambaye umempenda sana zaidi ya anavyokupenda au inabidi yeye akupende sana wewe zaidi ya unavyompenda? Jimwagemwage hapo....
Ukikutana na watu wanakimbia huku wanalia na wewe unajiunga nao huku unawauliza wanakimbia nini au unawasimamisha wasikimbie ili wakuambie kinachowakimbiza au unaendelea kwenda kule ambako wao...
Hello JF,
Naomba kueleweshwa hii kwa niaba ya rafiki yangu ambae ana mtoto mchanga wa miezi mitatu mmewe anamwambia kuwa wamzibue mtoto masikio. Je ni kweli huwa masikio ya mtoto yameziba? na ku...
Nategemea kuanza maisha ya ndoa hivi karibuni,nahitaji mafundisho ya Ndoa jinsi ya kuishi na mwanamke kila mtu kwa jinsi anavyojua yeye,unaweza kunitumia notes,kuni PM,kunipa websites na blog na...
Bila shaka JFs wote mu buheri wa afya. Wahenga waenziwe kwa msemo wao wa mficha uchi hazai. Mwenzenu najivua gamba baada ya kumpata diaresti ambaye nilimsaka kupita foramu hii ya jamii. Nilipata...
Napata wakati mgumu ninapokutana na email kama hii,hasa kwenye sparm.Hawa watu ni wakweli au?
Dearest one,
I am more than happy to read your reply to my mail, How is your day?i hope you...
Sio mimi jamani nasikiliza redio ya mama rwakatare watu wanasema shida zao ili waombewe
kuna dada anaitwa katherine wa tegeta anaomba maombi yenu ameporwa mchumba wke na
binti wa kichaga msilamu...
Unaingia bar ukiwa mpole, mstaarabu na adabu zako zote. Tena kumbuka umetoka kwako kwa heshima kuwa baba kaenda matembezini, ofisini kwako mchana uliondoka kwa adabu zote kama boss. Hapo bar...