1.) Fine : This is the word women use to end an argument when they are right and you need to shut up.
2.) Five Minutes : If she is getting dressed, this means a half an hour. Five minutes is...
wewe kaka Benard umeoa ila mkeo anasoma chuo kimoja mkoani. Nyumba unayoishi ni apartment ambayo upande wa pili unashea na dada mmoja ambaye kama bahati mnafanya kazi pamoja na hata wakati wa...
Jana ilikuwa ni siku ya mwisho kwa dada yetu mpendwa kuwa naye hapa Ulimwenguni baada ya miaka zaidi ya 20 ya mateso makubwa ya kimwili na kisaikolojia.
Miaka zaidi 20 iliyopita dada huyu alikuwa...
Jamani wana JF hivi mnalizungumziaje swala la wapendanao kuwa na dini tofauti?linamadhara gani?faida yake je?vipi kuhusu wazazi kama hawabariki swala hilo ni uamuzi gani unafaa?dini je? nisaidieni...
Kuna mwanamke nimemuowa ananiumiza kichwa sana , eti anataka kwa kila jambo afanyalo kwangu antaka apewe pesa
hiyo achilia mbalin malupu lupu mengi ne mbali na mshahara wa mwezi. nimejitahidi...
Leo nawaletea wenye majina William(Bill ni kifupi chake)Peter na Robert(Bob ni kifupi chake)Watu wenye majina haya wana sifa kuu zifuatazo,kwanza ni watu wenye mafanikio,pia wengi wao ni...
Mwenzenu sijui nini mimi nikiona Wamama hakili inahama!mimi watoto chini ya miaka20 sina hobi nao, mimi mijimama wawe umri wa 40 na amezaa kama mara 3 basi kwangu brudani.
Paranoia ni kitendo cha mtu kuwa na tabia ya kuwa na wasiwasi,hofu, shaka, na kutoamini mtu mwingine bila sababu ya msingi/ushahidi. Na mara nyingi hua inasukumwa na wivu uliopitiliza kiasi pia...
habari wana jf ,jamani kuna issue imemtokea my friend ila kaniomba ushauri afanyaje nikaamua kuleta jamvini kabla cjampa ushauri.Ni hivi huyo rafiki yangu ana BF ambae walianza uhusiano ka miezi...
Some of the most significant messages people deliver to one another often come in just three words. When spoken or conveyed, those statements have the power to forge new friendships, deepen old...
Heshima yenu wakuu.
Mimi nmechunguza sana tabia za hawa wakina mama wa kitanzania, hawapendi kujulikana kama wamezaa. unakuta hata akitaka kutoka hawezi kubeba mwanae sana sana atambebesha...
This is my true story,
Nina familia. Nilipokuwa mtoto nilikulia maisha ya matatizo sana, sababu mojawapo ikiwa kufiwa na wazazi wangu na hivyo kusoma kwa tabu sana. Lakini namshukuru Mungu...
Wapendwa wana MMU
Heri ya Mwaka mpya. Jamani naomba mnijuze hapa Dar Mauwa ya Rose naweza Nunua wapi nimpe Mzenji wangu siku ya kuzaliwa kwake wiki ijayo! Walau mwaka Huu nimsurprise!
Mch
Heshima mbele wakuu..ebana leo ni cku yangu ya kuzaliwa,ndo nimetimiza miaka 24,namshukuru mungu na me kwa kufikisha idadi ya miaka hyo coz ni wengi walitaman kuifikia bt waliishia njiani.lakni...
Inasikitisha,mke na mume walikua wanaishi maisha yao mazuri tu.Wiki mbili zilizoisha,mke alihamisha kila kitu kwenye nyumba waliyokua wanakaa.Ilimuuma sana mwanaume kufanyiwa kitendo...
kulikuwa na mdada mmoja mwenye jamaa yake mwanajeshi'huyo jamaa alihamishwa akaenda kufanya kazi mbali na anapoishi yule dada'siku anamsindikiza yule dada alimpa jamaa picha yake akamwambia kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.