Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wana jamvi Heri ya Mwaka mpya, Siku ya tarehe 31 Dec. 2011, nilikuwa mahali fulani kanisani kwa ajili ya maandalizi ya kuuaga mwaka 2011. Mara akanifuata mdada mmoja ambaye tunafahamiana, na kwa...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
different transilations of (.L...V....E) in different years 1970: Love me But do not touch me. 1980: Touch me, But do not kiss me. 1990: Kiss me, But do not do any thing else. 2000: Do...
0 Reactions
3 Replies
830 Views
Tafuta hapa Theory of Sexual Orgasm and Sexual Exhaustion Symptoms
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana ilikuwa siku ya kwanza ya kazi baada ya mwaka mpya. Kama kawaida wakati wa tea time and hata lunch, colleague hawaachi kulete story za hapa na pale. Basi likaja swala moja ambalo lilileta...
0 Reactions
60 Replies
4K Views
Kila story ukisimulia eti "ilimkuta rafiki yangu", ukitoa mfano "rafiki yangu", ukiomba ushauri, unajifanya unamuombea shost ako,, ebu kuwen smart na mjiamini, hivi hakuna yanayowakuta...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna kabinti hapa mtaa wa jirani, ukikaangalia kwa umri kanaelekea kuwa na umri kati ya miaka15-17 hvi.. kametokea kunizoe sana, ila kituko kalichotoa leo ni babu kubwa aisee. Mtu mzima nimetoka...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Kama umeshawahi kufunga mbwa au kumchunguza, utagundua kwamba, mbwa dume ana kawaida ya kutoa sauti yenye kuonesha kuumia au kuhuzunika au kuomba hasa anapokutana na mbwa mwingine ambaye anajua...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Huwa najiuliza,nyie wanawake mnadai haki sawa,kuna eneo sijasikia mnalizungumzia liondoke,suala hilo ni kuwa;Mwanamke anapoolewa kwanini anabadili ubini?Hii si inakua kama "Umemilikiwa"?Unakuta...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Hebu fikiria kwamba, umepika chakula kizuri sana na unaamini mumeo mpenzi wako akirudi kutoka kazini na kula chakula hicho atafurahi, hata kama hatakwambia, ‘asante.' Lakini mume huyo...
2 Reactions
74 Replies
5K Views
Habari zenu? Dada yangu anahitaji ushauri wa haraka kabla hajapata shinikizo la damu. Dada anahisi shemeji hampi kipaumbele kama yeye anavyo mjali . Kwa kweli dada anampenda sana huyo bwana, na...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na...
2 Reactions
277 Replies
16K Views
1. The percentage of women who say that they have sex simply to get their boyfriend or husband to help around the house: 84% 2. 30 minutes of sex burns 200 calories, on average. Foreplay...
1 Reactions
6 Replies
789 Views
Nasikitika kuona watu wengi wanachangia maada pasipo kupima uzito wa jambo wala kufanya tathmini yeyote ile na hili ni tatizo kubwa sana kwa sisi watanzania tunapenda kukurupuka sana na kujifanya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Midume inayo bonda wake zao, ama wachumba zao au magelfrend zao au hata dada zao, ni waoga ile mbaya kupigana na wanaume wenzao. Midume hiyo mioga ina boost immunity zao za kihisia kwa kupiga...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Marayamwisho kunipigia simu aliniuliza nilipo, nikamwambia nipo napata dinner hotelin, akakasirika eti kwanin sikumkaribisha ajiunge nami, jana tena kanipigia na kuniuliza nafanyann, nikamwambia...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Kiukweli asilimia kubwa ya ma HR wa maofisini (SIO WOTE) hasa wa kiume wana tabia moja mbaya sana ya kukagua dada zetu hadi kimwili ndio sawa ana shida lakini sio vizuri kuchukua hiyo advantage...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
  • Closed
Naomba nafasi kwenye mambo ya kikubwa
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Whether you want to find women to date on an occasional basis or are looking to start a long-term relationship, your success depends on a variety of factors. While every woman is different...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
The men that ONLY stuck with one woman (even a high quality woman) were losing genetically to the men that used all of their opportunities and had many more children that survived. Those children...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF. Uhusiano wa kimapenzi ndio ambao huzaa ndoa baadae. Lakini vijana wengi sana wamekuwa hawajui ni sehemu gani sahihi ya kumpata mweza wa kweli. Hili limekuwa ni swali gumu ambalo...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom