Afisa mkubwa wa serikali anayeish mjini moshi,ingawa alikua na makazi pia arusha i.e. Ana mke na watoto wa 3.mwaka juzi aliamua kuamishia familia yake arusha,ili yeye awe anakwenda mwisho wa...
Nimegundua wazee wetu walikuwa na akili sana cjui wangapi wameobserve hili! Chumbani kwa wazazi wangu kulikuwa na vitanda viwili cha baba na mama sikuwai kuwaza wanalala pamoja mpaka nimekuwa...
Moja kati ya tabia zetu (Watanzania) zinazonishangaza ni namna yetu ya kusalimiana. (Na pengine salamu zenyewe)
Mfn:
A na B wameongozana pamoja, wanamkuta C kakaa nje ya nyumba yake. A...
Hivi umewahi kuona mtu anatetea sana kitu japo kwa nje anaweza akaonekana yeye ndie anaeonewa/kosewa?
Wakati mwingine watu hua wanawatetea wenzao sio kwasababu wanapenda bali kwasababu nafsi...
Well:: Well:: Well::
Kumekuwepo na ongezeko kubwa sana la wana-JF kufahamiana "kiuhalisia" kadri siku zinavyokwenda...
Kiuhalisia namaanisha - kwa majina halisi na kupeana namba za simu na hata...
The strength of a man isn't seen in the width of hisshoulders.It is seen in the width of his arms that encircle you.
The strength of a man isn't in the deep tone of hisvoice.It is in the gentle...
Sheria mpya inayowapiga
marufuku wanaume kuuza
nguo za ndani za wanawake
kama vile chupi na sidiria
inaanza kutekelezwa hii leo
nchini Saudi Arabia. Wanaharakati wa kike
katika Ufalme huo wa...
For awhile now I've been depressed over my ex girlfriend. We broke up 8 months ago from our 1.5 year relationship because I got jealous over something she lied about, but she trusted me not to...
Rafiki yangu ana ndoa ambayo sasa ina takriban miaka saba. Miezi miwili iliyopita alianiambia kuwa katika mizunguko yake alikutana na Dada ambae alitokea kuvutika nae ghafla..alifika ofisini kwake...
Haya watetezi wa ndoa na uvumilivu teteeni na hii!
Jamaa kafumaniwa na mkewe. Jamaa anacheat na mke wa mtu! Halafu kuna watu bado wanaapia wanawake huwa hawacheat. It beats me how delusional some...
Huwa tunatuma au kutumiwa Roses.Wakati mwingine tunakosa kuelewa maana yake.
Nimeipata hii nikaona niwashirikishe wenye kupenda kujua maana.Enjoy!
Meaning of Number of Roses...
1/3 wanawake wanamatatizo ya maumivu wakati wa sherehe za muungano. Pia matatizo ya kutopata watoto na uvimbe wa tumbo la uzazi vimeongezeka sana kulinganisha na miaka ya nyuma.
Sijajua lakini...
NNAOMBENI USHAURI WAKUU,nina ndugu yangu alioa kama mwaka ivi umepita, na kwa sasa wamebaatika kupata mtt mmoja,tatizo lililopo sasa ni kwamba yule shemeji yetu ni( postive) na alijua toka mwanzo...
Kwa wenzetu wanaoitwa wamagharibi (wazungu) hii tamaduni ya mtu kutoka na ama Mke au girl friend wa rafiki yake wa karibu, ni kitu cha kawaida.
NOTE :- Kutoka huku simaanishi kufanyanae mapenzi...
Utani pembeni kuna baadhi ya wanawake wanapenda sana kuwachukua wanaume au maboi friend wa rafiki zao wakike.
Yani aksiha jua mwenzake anafaidi basi anakuja na speed kama hii kuchukua mali ya...
Heri ya mwaka mpya wapenzi wa jukwaa letu la MMU na pia natoa pole kwa wote ambao wana migogoro ya kiafya!!
Baada ya mijadala ambayo tumeifanya mwaka uliopita na ile ambayo tumefungia mwaka...
Is it because of Desperation, Stupidity,No self confidence,Money, Fear or otherwise financial repercussions on their children and religious conviction to stay married...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.