Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Today is a New year but unfortunately not all of us are in good Health to Celebrate.... Our fellow Member Dena Amsi has been hospitalised since X-Mas and has returned from hospital today feeling a...
13 Reactions
136 Replies
11K Views
nampenda mke wangu japo haamin ktk penz. nimemkosea na kukir kymsalit kwa tukio la julai 2010 lakin sasa linamfanya asikubali msamah wangu. nampenda pamoj na mambo mengne yaliyotokea bado...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Live in thepresent when you stop trying to change your behavior, and you'll become like achild, becoming comfortable with yourself and ultimately believing in yourself. Let’sconsider for a minute...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
ndugu yangu kaniletea malalamiko, eti mkewe anamtuhumu kuwa kipato dunkinatokana na uzembe wa huyo mwanamume, maana hataki kuhama kwa mwajiri wake wa sasa na kutafuta kazi sehemu nyingine. Jamaa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna jamaa mmoja alikuwa na rafiki yake anayeishi maeneo ya Ukonga naomba nimtambulishe kwa jina Ulimbo , sasa siku moja wakapanga na rafikiye anayeishi maeneo ya Tabata, (naomba huyu tumuite...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Katika pitapita zangu,nikiwa na shida ya kutafuta mwenza,mimi ni He/ nikakutana na binti mmoja tukazoeana,na tukapendana sana na nikampeleka mpaka hme,na nilivutiwa zaidi na zaid baada ya...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
. . . kwenye conflict kati ya mke na ndugu wa mume. Kwanza nianze kwa kuuliza. . Hivi kwa nini ndugu wa upande wa mume (mawifi, mashemeji, mama mkwe) ndio hua wanaonekana kusababisha...
10 Reactions
174 Replies
13K Views
Niaje wadau, mapenz yako tofaut, vionjo vikiwa tofaut kila siku unakuwa mpya kwa mpenz wako, sio mbaya nisaidien yafuatayo, KAMA WEWE NI: A)MWANAUME..vitu gan au mambo yap unapenda mpenzio...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nilikuwa na mpenzi wangu yupo chuo 1st year.tatizo lilianza alipofika chuo baada ya wiki mmoja alianza kunipotezea na kunidanganya,ilikuwa nikimpigia simu usiku naikuta inatumika ninakuwa waiting...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Yule binti aliye mchoma kisu gen.mmewe wake wa zamani ambae wamezaa nae watoto wawili walio kuwa wakisomeshwa na gen. Tewete nae yupo jela baada ya kumchoma mwanaume mwingine kisu baada ya...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna hiki kiumbe dhaifu lakini cha ajabu hapa duniani kiitwacho Mwanaume. Ni cha ajabu kutokana na uwezo wake wa kubadilika kufuatana na mazingira kilichomo kwa wakati husika. Hakika hata yule...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
Niliwahi kuleta thread hii hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/161232-how-can-you-let-it-go.html Huyu kiumbe amekuwa akinipigia simu kuwa hawezi kunisahau, amejitahidi ku...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Dear jf members, Have you ever had a date with a stranger (blind date)? that feeling of excitement, nervous and anxiety! lets share your experience.. How did it turn out? Was it what you expected...
0 Reactions
61 Replies
3K Views
Ni ucku mtulivu nimekaa kitandan mie na jamaa yangu fulan tunapga stori huku mimi nasubiri muda wa kitu cha sa 4 flan ili nijimwage na mambo yetu ya kuzungumza at cheap rate kwa tgo. Namwambia...
6 Reactions
71 Replies
14K Views
Jamani kwanza hongereni kwa kuuvuka mwaka kwa wale waliobahatika.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana MMU hii sio tamthilia ya kusadikika bali ni hali halisi iliyopo mtaani kwangu ambayo nadhani si sahihi na tuendako hili laweza kuwa janga kubwa. Mimi naishi uswahilini na mtaani kwangu kuna...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi umeshawahi kuona ndoa ambapo zinafumuka ngumi kati ya ndugu wa mke na wale wa mume, humohumo kwenye nyumba ya wanandoa? Kama hujawahi, una bahati mbaya tu, kwani ni nyingi za kutosha ndoa za...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Ndugu zangu wapendwa wa Jamii Forums naomba ushauri wa mawazo kwani naumia sana. Nina mpenzi ambaye nimekaa nae kwa muda mrefu sasa toka tukiwa chuo mpaka sasa ni wafanyakazi. Mwanzo sikuwa na...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Jana (02/01/2012), nikiwa kazini, nilikuwa nayapitia magazeti na kwa bahati nzuri au mbaya nikakutana na kisa hiki kilichoandikwa na gazeti moja la Kiswahili litokalo kila siku .... Mwanamke...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna watu humu ndani wanaona kuwa na wapenzi wengi na kama ufahari lakini wasahau kwamba mshahara wa zambi ni mauti....
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom