Mimi ni kama mkimbizi nyumbani kwangu. Kabla ya kuoa, nyumbani kwangu kulikuwa ndio kimbilio baada ya mihaingaiko yangu ya kutwa nzima, lakini tangu nimuoe mke wangu huyu ambaye nimedumu naye kwa...
Ni ushauri tu kwa akina dada:
Leo nikiwa njiani kuelekea kwenye deiwaka kulitokea jambo ambalo kidogo ni la kusikitisha.
Akiwa kwenye daladala ambayo ilijaza kupita kiasi dada mmoja alianguka...
Kuna wamama wengi tumekuwa kimya sana na wengi wamekuwa kimya sababu
awataki kujua jukumu lao...baibo inasema wanawake watawalinda mumewe
wewe kama mke umemlindaje mumeo??ujawahi kukesha hata...
Na Mwandishi wetu
KATIKA gazeti la Uwazi, toleo la wiki iliyopita tulitoa habari za mtoto Mustafa Ally, 12, (pichani), mkazi wa Mtoni Mtongani, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam...
He's got his knickers in a twist: Brazilian councillor proposes law demanding brides wear underwear when they marry
Some brides believe their marriages will last longer if they go knicker-less at...
Nionavyo mimi ni busara tutumie jukwaa hili kuelimishana mambo ya msingi ya maisha badala ya mizahaa na mambo yasiyo ya kujengana,tuzungumze mambo ya kiroho na mwili pia ili mradi msomaji ajegwe...
Wakuu wa Jukwaa,
Heri ya Mwaka Mpya 2012.
Kuna Mwanaume ambaye ametokea kunipenda sana, nami nampenda sana ingawa hatujafikia hatua ya mahusiano ya kimwili. Napenda kumwita A.
Kinachonitatiza...
.jpg"]...nisaidieni mawazo wanandugu.
Baina ya kipato na familia kwa mtazamo wako, kipi unakipa uzito mkubwa kuliko kingine?...
...kabla wenye muono 'tofauti' hamjanitoa jicho, kipato namaanisha...
Jamani habari,
Mie ni kijana mwenzenu nipo kwenye ndoa mwaka wa 2 sasa , lakini sometimes nashindwa kumuelewa wifi yenu/shemeji yenu sijui tatizo ni nini.
Mimi nina bahati mbaya moja kwenye...
Dear ---,
I can't find the words to describe how I feel about you that I have not already written. I have expressed my love for you and my desire for you and my burning passion...
ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau na anaendelea kukupenda!!!
...
UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini...
Mpenzi wangu nampenda saana na tumedumu miaka miwili. Kasoro yake ni moja tu, mvivu sana wa kufikiria wala kujishughulisha kimaisha wala hana kabisa kufikiria mbele. Nimfanyeje abadilike kabla...
Hili neno au hii habari inasemwa sana mitaani, kwamba mwanaume atakaemvunja bikira mwanamke husika.
Inasemwa mwanamke huyo hatomsahau milele! Na hata ipite miaka mingapi na yuko katika mahusiano...
HOW TO MAKE LOVE WITH A WOMAN
( KWA WALIO OA TUU)
One of the biggest problems men face is knowing how to make love to a woman!
Unfortunately what commonly happens is men get their sexual advice...
Wana JF,
Heri ya mwaka mpya 2012.
Wakristo wanaamini katika ndoa ya mke mmoja mme mmoja. Waislam wanaamini katika ndoa ya wake wengi yaani mme mmoja wake wengi (wasiozidi wanne), hizi zote ni...
Taarifa hii niliikuta inaishia lakini nilibahatika kupata kujua kilichotokea,ila sikujua eneo unyama huu,kuna mwanamke amemnyonga mwanae baada ya baba wa mtoto huyo kumkataa huyo mtoto kuwa...
Mkasa huu ulinipata Mwaka 1999, nakumbuka nilikuwa katika kuhangaika kutafuta kibarua, nilijikuta nikiwa kwenye ofisi moja ya jamaa yake kaka. Nilifika hapo baada ya kaka yangu kuzungumza na huyo...
Je nikweli ukitoka nje ya ndoa yako basi nawewe ujue kuna wanaotoka na mkeo/mumeo??Kama nihivyo basi wanawake ndo wakulaumiwa kwa hili kwakuwa wao ndo wanaotengeneza huu mzunguko!!