Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu salamuni. Naombeni mwongozo wenu. Mke wangu amejifungua hvi karibuni, alijifungua salama na hali yake baada ya wiki moja na nusu alikuwa safi, na taratibu akaanza kunisogelea. Kwa sasa ni...
0 Reactions
49 Replies
9K Views
Naomba Jf membars nitangulize excuse kwa ninalolisemea kwani huenda lilishaletwa hapa kitambo likajadiliwa wakati mimi sijawa membar Jf, mnivumilie kwa hilo. Muda huu naifanza hii thread niko...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Katika thread mbali mbali ambazo tumechambua mwaka huu wa 2011, binafsi nimefarijika na kufaidi michango ya wadau kuhusu taasis ya ndoa. Ndoa ni taasisi ni muhimu sana na kila mmoja wetu analo...
12 Reactions
228 Replies
11K Views
Tunapouanza mwaka mpya ni vizuri tukafungua ukurasa mpya wa kitabu kilekile cha mapenzi huku tukipekua nyuma na kuyarekebisha yaliyokuwa makosa, kuboresha zaidi palipoelekea kudhoofu na kutia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani wanajf, hivi kweli wanawake wa kiafrika wanapenda au ndo wanashawishiwa kupenda baada ya kutongozwa?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ilikuwa ni siku ya Ijumaa ya Julai 21, 1995, Nicholas Tucker, afisa wa cheo cha juu katika jeshi la anga la nchini Uingereza akiwa na mkewe aitwae Carol, alikuwa akiendesha gari lake aina ya Ford...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Mi siamini kama kutongoza ni jambo baya. Nikiwa lecture room,dada mmoja mwenye mvuto alivaa na kupendeza alikaa karibu nami,kiukweli sikumsikiliza tena mwalimu. Nikajikuta mwili...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Jamani, tumekuwa tukileteana zawadi za maua ya rangi mbalimbali mara kwa mara. Je tunajuwa maana ya hizi rangi mbali mbali? Nimeikuta doc hii sehemu nikaona nishare nanyi ... Color Meaning of...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
....wakati nikijiandaa kuwasha mishumaa kusubiria mwaka 2012, hebu tutafakari na kujadiliana hili. Wazee wetu walidumu kwenye viapo vya ndoa zao kwa kuzingatia misingi ya mila na tamaduni zao...
18 Reactions
325 Replies
62K Views
Bofya hapa kupata taswiras zaidi: too much eye makeuptoo much makeup girlway too much makeup Make-up women love but men hate Neon lips, blue eyeshadow, shimmering glitter, and golden bronzers...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Hamjambo wapenzi?jamani mkesha wa mwaka mpya bongo ulikuwa na mambo mengi hebu sikieni hii Mjeda kaenda kusalimia kimada chake maeneo ya vingunguti kama kawaida ya wanaume mabazazi kumbe...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
wapendwa heri ya mwaka mpya 2012! napanga kufanya safari moja muhimu sana nyumbani Tanzania katika kipindi cha wiki moja ijayo. wakati nikitafakari yote yatokanayo na safari hiyo, ndipo...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Maadili yetu yanaelekea wapi? Tuna pata wapi huu ujasiri? Leo hii ni aibu binti kuwa na Bikira hivyo inabaki kuwa siri yake Na ikiwa binti akiwa Bikira basi...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hivi inawezekana mtu (mume/mke) kuishi peke yake bila mwenzi na akawa na furaha mpaka kufa kwake?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nilikuwa nimetoka shule ya sekondari ya Pugu, ambako nilienda kumwona ndugu yangu anayesoma pale. Nakumbuka ilikuwa ni Jumapili mwaka 1999. Nilipanda basi kurudi mjini baada ya mazungumzo na huyo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Halooo, habari zenu wanajamii wote, wakaka na wadada. Karibuni mchangia maada hii kwa hoja za msingi. Maranyingi katika jamii huwa tunaona kuwa katika ndoa, baada ya kujifungua mtoto au watoto...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Hi to you all members,i am 29 years old and my girlfriend has 25 yrs old,all of us we never had sex;shortly we are still virgin I can say and in our relation we have almost 6 years.We expect to...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habar zenu! Nawatakieni heri za mwaka mpya wa '' 2 or Twelve'' Mwanangu wa kiume amekuja niuliza hili swali...nimeshindwa kumjibu...maana watoto wa hizi zama wanajua mitego sana. Nisaidieni...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani mwenzenu ninafanya kazi kwenye ofisi moja hapa DSM. Kwa Bahati nzuri au mbaya, niko ofisi moja na my wife, lakini kwenye idara tofauti. Nimezoeana na wadada kadhaa wa hapa ofisini husasan...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Muda mfupi ujao tunakwenda kuimaliza siku yetu ya Kwanza ya Mwaka 2012. Lakini tukiangalia nyuma kwenye mahusiano yetu kuna mambo ambayo tumewafanyia wapenzi wetu ambayo ni ya kukumbukwa kwa mwaka...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…