Tafiti nyingi zinaonesha kwamba, mwanamke ambaye anavaa kwa njia yenye kuchokoza hisia, hawezi kutazamwa kama aliye na uwezo sawa na wengine mahali. Hii iko duniani kote, bila kujali kama ina...
Naomba msaada wanaJF. Hivi mwanamke kumwekea maji mumewe bafuni ni wajibu au ni fadhìla tu? Nauliza hivi sababu mke wangu haniwekei maji mpaka nimgombeze au siku akipenda mwenyewe. Siku nyingi...
nimejaribu kuwataka mabinti haijalishi wako kwenye mauhusiano au hapana kupitia facebook huwa hawakatai mbaya zaidi unakupa number yake ya cim na sehemu anayofanyia kazi au kusoma na mahali...
Ukiambulia kitu wait better tommorow
Five things men love to hear on a date:
1. Then what happened?
Its only human for a man to want to think that his life is reasonably interesting. And...
Hello wakubwa,kuna mmanzi nlimpgaga sound akanikataa kwa kigezo kwamba ana boy wake na ni kwel nlkuja kugundua ana msela,wel juzi kati kanambia wamebreak na msela,me nkampa pole tu na faraja,sa...
Eti ni kweli watu kutoka makabila ambayo kwa asili ni wafugaji usafi kwao sio issue sana. Kumuona mama akitumia ganda la mua kumsafishia mtoto haja kubwa ni kitu cha kawaida sana. Kwamba hata...
Wamama wengi ama wabinti wamekuwa sana busy na mambo ya kujiremba sikuhizi
mbaya zaidi kuna amabo wanaenda kwenye nyumba ndogo wakiacha watoto kwenye nyumba ya jirani
sijasema wewe vipi mbona...
Ni mwaka mmoja sasa tangu tuhitarifiane na mpenzi wangu wa awali ,sababu ya mimi na yeye kukwaruzana na kuachana ni pale nilipohitaji kujua ukweli wa jambo fulani baada ya kulisikia,lakini...
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye...
Siku hizi wanaume hupata mapenzi kirahisi sana kutoka kwa wanawake kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Hata ukiongea na mzee mwenzangu Bishanga atakubaliana na mimi.
Zamani enzi zetu makahaba walikuwa...
Tangu siku mliyompiga 'mkwara' apunguze kutupatia elimu dunia kuhusu wanawake eti kwa kigezo anawakata 'steam' mimi kama mwanaume ninasikitika sana. Yaani mengi na elimu nzuri tuliyokuwa tukiipata...
Pengine umekuwa ukidharau wazazi wako na kuanza kuitupa mbali ile amri aliotumba mungu
wetu waheshibu baba na mamako upate kuishi miaka mmingi,....wapo watoto wa leo wanazaliwa
wanapata kazi...
Kweli hizi tabia zinakera sana wanaume na ndo zinafanya wengine mnakosaga kabisa wakuwaoa mnabaki kubanana na wanaume za watu.
1. Tabia za kujifanya high class
2. Kila ukipewa outing unakuja na...
Ndiyo, si mliamua tu kulea mimba zetu-mngeamua kuzitoa nani angewazuia.
Eeeeeeee! Hata tukiwaudhi mnatupikia chakula na kukitenga mezani, tukirudi home tunakula, mkiamua kuweka sumu si wote...
Kuna watu wamekuwa dedicated na ukoo awataoa kabisa kabisa
ndio maana utakuta kuna mabinti wazuri kweli ama wanaume handsome
ukimtajia mwanamke/mwanaume aoe anaruka kimada na umri unazidi kusonga...
jamani wazee wa jamvi habari zenyu.
mimi nimepata mchumba mpya 2medate 2kutane lkn yy bikira, so napenda niwaulize maswali macache.
1. je nikukutana nae naweza kurudia zaidi ya mara moja?
2...
Habari zenu ndugu zangu,
Ukweli usiopinga ni kuwa mzazi (bila kujalisha alivyo) ana sehemu kubwa na ya muhimu kwenye maisha yako katika ujumla wake. Nimelia sana leo baada ya kumuona mama mmoja...
Nasikiliza dada mmoja clouds anasema anaomba msaada atambadilishaje mwenzie mbaili kama nini
ingawa analipwa hela nzuri tu lakini siku mkienda outing utashangaa anaanza am broke am broke today...
Ushawafi kugombana na mamaa,halafu mkachuniana,then baadae mnarudiana,pata picha mlivyomisiana..penzi linakuwa jipyaaaa...raha sana kuwa na likizo kidogo kwenye mapenzi..jaribuni.
Ila wengine...
Kuna rafiki yangu amewahi kumtukana galfrd wake matusi ya nguon bt cha kushangaza huyu binti hakomi,bado tu anamg'ang'ania msella.sa hayo ni mapenzi au ujinga maana keisha tukanwa sana pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.