Habari zenu. Nimemwita shangazi yangu kipenzi ili aje kumuona my wife wangu mpya,basi baada ya kumuona na kumtambulisha kwa mke wangu huyo,shangazi wala hakunichelewesha akaniambia mbele ya my...
Ukiondoa shughuli nyingine za kitandani, kitanda kwa kawaida ni mahali pa kupumzika. Kitandanni mahali ambapo mtu anatakiwa awe na amani napo na kwa kweli ni mahali pa faragha. Na wote tunajua...
House girl ndie anaepika chakula changu, ndie anafua nguo zangu na kupasi, kwa kifupi anafanya karibu kila kitu hata iwe weekend(isipokuwa tendo la ndoa). Watu huku nje wananipongeza kuwa baada ya...
Back to Top
MALAWI: "Malawi Sex Workers Sue Government After Forced HIV Test"
Agence France Presse (11.13.11)
Fourteen Malawian prostitutes are suing the government after being forced to...
Juzi nilikuwa maeneo ya dodoma, sarafina bar, napata soda huku pembeni meza ya pili wakiwa wamekaa wadada wanne nao wakipata moja moto moja baridi. Kwa chati nikawa nawaibia maongezi yao baada ya...
Jamani tuwapende vipi?
Mwanaume umemaliza chuo na kupata kazi, mpenzi wako unamatarajio nae ndo kwanza anaanza chuo mwaka wa kwanza halafu anakuletea mambo ya ajabu aaagggrrrrrrrrr......
Hivi...
Wapendwa ninatumaini wote mu wazima.
Ninaomba msaada wenu
Eti inawezekana kwa wazazi waliotengana wakabaki marafiki? Kuwa kwa kuwa mmejaaliwa mtoto/watoto kisha mkatengana, na mnajua kabisa (or...
Jamani mimi ni mume wa mtu na nina mtoto mmoja. Katika pitapita zangu mdada mmoja katokea kunizimikia ile mbaya. Nimejaribu kumkwepa lakini waapi, kila siku ananipa majaribu!Kuna siku alinialika...
Mi sijaolewa ila naishi na mpenzi wangu.
Napenda sana kufanya mapenzi, yaani siku ambazo nakosa ni zile ambazo niko kwenye RED CROSS.
Huwa sioni aibu kumwambia anitekenye wapi, au anilambe wapi...
Katika uwanja huu wa mahusiano, mapenzi na marafiki ni mgeni, lakini ktk nyanja nyingine si mgeni kivile, hivyo kabla ya yote niwaombe wadau mnipokee kwani si busara kuingia pahali bila kubisha...
kuna mkaka niliwahi kumdate arafu tulikaa miezi ka 2 tukagombana kwa k2 kidogo tukaliana cul miaka 2, akanitafuta kanieleza kipindi kile tatizo lilikuwa nini me nikampotezea takiribini miezi 4...
nasisitiza wazazi tuongee na wenetu jaman
tuache kukumbatia mila na desturi
zinazotungamiza jana nipo kwenye dala dala
natokea kimara kwenda kkoo watoto wa
shule wamepanda wakaka seta ya nyuma...
Umeanza kuimiliki sio muda mrefu Speed yake usipime, ni mchakamchaka
unaifurahia lakini unahisi hutakuwa na ubavu wa kuhimili kwa muda mrefu maana kilasiku ndio kwanza kama jana
Hakuna cha...
Nina girlfriend 2,wote wananipenda nashindwa fanya maamuzi coz nikimwacha mmoja sitajisikia kama namtendea haki naye atanilaumu sana.kubwa zaidi nimegundua kuwa wanakaa karibu na watakuja...
@arusha,baba mngoni ,mama mchagga.
kagundua kuwa bf wake ni jambazi, baada ya kuiona bastola yake akamuuliza kwa upole bf akakubali ila akamuahidi anaitaji matukio matatu tu ila aachane na...
Habari zenu wapendwa,,kuna binti flan nampa jina la Jen,huyu jen na familia yao yote ni walokole,jen elimu yake ni ya form four na ana miaka 20 kwa sasa,wazazi wake ni wakulima tu na wana elimu ya...
Jamaa baada ya kupewa uroda mara moja tu na mdada, akajikata, no phone calls, no emails, nothing...! mdada alikauka nae kumpima kama atawasiliana lakini wapi. miezi miwili imekatika jamaa...
Habar za masiku wanajamvi la MMU. Me bado hali yangu ni tete na hiki kitambi. Leo nikiwa clinic nimepata kisa cha kusikitisha, kuna dada mjazito alikuwa analia.
Katika maongezi akaniambia ana...
Nimeamini mwanamke c wa kumuamini na c wote ILA wengi wao cjui wana fikiria kitu gani,Mfano jana kuna demu ameletwa na rafiki yake ambaye ni shem wangu basi tukapiga story sana yule demu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.