Kwanini watu walilia mapenzi?wengine wanajikill kwa ajili ya mapenzi?wanaacha kazi kwa ajili ya mapenzi?wanaonga kila kitu walichonacho kwa ajili ya mapenzi?wanacha family zao wanaenda kuishi na...
Siku ya kwanza kukutana naye huyo dada, unakuta kavunja kabati kuanzia juu mpaka chini,kajiupala usoni, kucha kapaka rangi tofauti tofauti,kila saa anajiangalia kwenye kioo chenye vidude fulani...
...Kumradhi kwa kutoka nje ya mahusiano (ndoa!) kidogo ili kujadili mada hii.
Hebu tujuzane wajameni,...
It isn't rape if she didn't try to stop it. it is not Rape if you Enjoyed it...
Why do some men treat their wives with so much hatred and cruelty but treat the woman outside like a queen, I don't get it.
Guys don't take it personal here but am being frank with my question...
Hati ya talaka ni kweli ilikuweko katika jamii ya kiisraeli mwanamume aliweza kutoa hati ya talaka lakini sio kwa kila jambo hasa ni katika uzinzi ambao tutauongelea zaidi katika agano jipya Yesu...
jmn nilikuwa na mpenzi na nilikuwa nina mpenda cna kuliko chchte ila cha kushangaza ghafla alipotea ktk mazingira ya kutatanisha kwenye cmu hapatikani kweny facebook haonekani kweny badoo simuoni...
Napenda kujua historia ya mtu katika relations kabla ya ku-stick nae.
Lakini hii niliyo pewa ime nivunja moyo na sidhani kama hua namaanisha
pale ninaposema napenda ukweli,...the truth...
​
malezi ni kati ya maswala nyeti yanayopaswa kupewa uzito unaostahili miongoni mwa wazazi, familia, jamii na Kanisa/msikiti kwa ujumla. Hii inatokana na uwepo wa mabadiliko makubwa katika...
salam wana jf.mimi ni mwana mama mume wangu hataki nifanye kazi anataka nitunze familia iyo nimekubaliana nalo.lakini mume huyu huyu hana upendo kabisa yeye kurudi ni manane ya usiku na vituko...
Mornin wana JF,
cku hizi udanganyifu ktk mapenzi limekua jambo la kawaida sana. kila kukicha relationships znabreak kwasababu ya
uaminifu umekuwa zero!..nimejaribu kuangalia kwa undani chanzo hasa...
TYPES OF HUSBANDS
WAKINA DADA ANGALIENI WAUME ZENU WAPO KUNDI GANI
WABABA HEMBU TUSOME HAPA TUJE TUPO KWA MNYAMA YUPI
Haya......kazi ni kwako...
MR MONKEY
Mr Monkey is only married on...
Kuna binti m1 jirani yangu ktk rukaruka zake kapata mimba,jamaa wake kamshauri wakaitoe,yeye hataki na anakaa na bibi yake.Kaja kwangu kuomba ushauri,nimshaurije jamani?naombeni msaada wenu
Kama kungekuwa anapokufa mtu basi na ibada inakufa basi waumini wengi wangeama dini zao
Pengine umekutana na matatizo mengi ya maisha na wengine mmefiwa na wapenzi wenu
Leo naomba muwe na imani...
Najua ni ijumaa nyingine ya furaha hasa kwa wale wanaopokea mishahara kuanziatar 18 nk na leo wameungana na kwa furaha na wale wanaosubiri mpaka tar 37 ama 40tena wanakunywa na kufurahi kwa pamoja...
Kuna tatizo linansumbua sana..Ex wangu ambae tuliachana nae kama mwaka hivi umepita, amerudi kwa kasi kuniomba turudiane..juzi usiku wakati nipo na girlfriend wangu,alinitumia meseji, kwa bahati...
Nalewa hata katikati ya wiki....huyu mke wangu ananikondesha,ana mdomo nye acheni tu.
hapa naelekea nyumbani huku natunga sound za kumwingilia,
ni mbishi,ana kiburi,nikiwa serious kumweleza mambo...
Je, mlishawahi kujiuliza ni kwanini ma-house girl huwavutia waume zenu kuliko nyie wake zao?
Nyie wanawake ndio wa kujilaumu kwasababu tatizo liko kwenu na sio kwao wala kwa waume zenu…...
Hope wazima nyote....Mm ni msichana mwenye 24yrz...nina miaka mitano toka Mungu aliponkutanisha na mume wangu kipenzi, mpaka sasa naishi na mume wangu lakini mimi nae dini tofauti.
Mimi muislam...
kuna siku nilikuja na thread yenye kickwa hiki nisaidieni-nifanyeje-kuhusu-gf-wangu
kwa ufupi nilikuwa napewa taarifa na mdogo yake ambaye ni rafiki yangu sana kuwa dada yake sio mwaminifu kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.