Dears,
Wakati MJ1 mie naomboleza na ya kwangu, leo asubuhi nakutana na simu ya rafiki yangu ambaye alikuwa analia simuni kiasi cha kumwomba anisms tatizo ni nini. Akaamua kuniandikia mail ya...
Leo hii mimi na my wife wangu, tumetimiza miaka kumi na mbili (12) ya ndoa yetu. Na tunamshukuru Mwenyezi Mungu kutujaalia Watoto wenye Afya na siha njema.
Nadiriki kusema kuoa kwangu si kuwa...
wiki iliyopita nilikutana na bf wangu sehemu tulikuwa na mgogoro baada ya kujua kuwa anamtu mwingine siku za nyuma, tulikutana ili tujadili kuhusu mgogoro uliokuwepo kati yetu, baada yakumbana...
wakuu nimepitapita kwa mtandao nkakutana na hii kitu, nadhani inapendeza hasa kwa wale ambao hawajui namna nzuri ya 'how to win/take over the mind' of a woman'.
It is a very interesting thing to...
Imesemwa sana na itaendelea kusemwa kuhusu kutojiamini kwenye uhusiano. Wataalamu wanaamini kwamba, watu wasiojiamini, wanakuwa na matatizo makubwa na magumu au mabaya zaidi wanapokuwa kwenye...
Moja hukamia kumtawala mumewe.....................hata Hawa usifikiri alipompelekea Adam lile tunda hakujua yalikuwa ni makosa ila alimtega mumewe kuona kama anampenda Mwenyezi Mungu au yeye...
Nilichokiona kwake ni kwamba yeye anatamani kuwa mwanamke/anawaonea wivu walio umbwa kike.choo anaingia choo cha kike, anakua kwenye siku zake kama mwanamke tofauti ni damu tu, hata kucheza mziki...
nataka nikajitambulishe nipeni kwanza vitu viwili cha kwanza kuna madhara yoyote ya kufanya hivyo ?pia je mchakato unaanzaje? ni hayo to great thinkers
Just curious, Ladies u can challenge this
1. That swimsuit really flatters your figure! Would you mind keeping my husband company while I go for a swim?
2. Oh, look, that woman and I have...
Ni muda kitambo nimewamiss sana wapenzi wangu hapa jf da!
Msinifikirie vbaya sitawatosa. Liz, Afrodenz, Michelle, Husininyo, Asha Dii, Dena amsi, Uporoto, first lady na wengineo kidole kimechoka...
Nilikuwa na g.f enzi za O-level kwa miaka zaidi ya 2 tulipendana sana hadi nilipoitimu na kwenda mkoa wa mbali kwa ajili ya A-Level. Mawasiliano taratibu yakafa baada ya muda nilipata taarifa kuwa...
Nilimtuma dada mtu amwambie mdogo wake kuwa ninampenda kwe mdogo wake amenipenda pia,ila yeye hana cmu kwa hiyo ili niwasiliane nae lazima nipige cmu kwa dadake,baada ya mdogo wake kunikubalia...
Naona kama hili jukwaa linahusiana na blog hii hapa chini:
Jitafutie Rafiki / Mchumba wa Kitanzania
Angalizo: Usianzishe uhusiano na mtu kwa ajili ya kumfanyia mzaha au kumpotezea muda, tumieni...
........Women are attracted to things like Fame, Money and Power because they are genetically and Socially programmed on an unconscious level to believe that these men are more Inteligent, more...
Kwa miaka kadhaa sasa tumekuwa na magazeri na majarida mbalimbali ya mambo ya maisha. Wapo waandishi wa magazeti yale ya zamani na hata kwenye mitandao. Najaribu kutaka kuwasoma baadhi ya...
Only after nimeondoka na kuacha nyumba yangu, napata habari ya mambo zaidi niyajuavyo kumbe watu walikuwa wananichora tu wanajua mambo mengi machafu na walikuwa hawaniambii, bado sielewi sababu ya...
Ni muda mrefu sasa umepita tangu nipotee jamvini, wakuu mambo yalibana sana then ubize wa maisha ulichangia. Niliwamiss sana ndugu zangu, nashukuru mungu kuona mambo yanakwenda vyema, kwa wale...
Katika Masha yngu nimetokea kuchukia Anasa tena sana. na kipindi hiki nimefikia umri ambao nilazima niowe...nimemaliza masomo kazi sina. nimehangaika sana..ila huu huangaika nipate chochote na...
Wanaume walio wengi wako hivi;
Wakiwa na mpenzi wanapenda wanyenyekewe wasibanwebanwe haya mapenzi ya sweetie baby honey hawapendi mojakwamoja kwa huona kama unamghasi anataka mapenzi hayo umpe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.