Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Karibu ntaacha kupeana mikono na watu...hususan wanaume wenzangu. Kwa nini? Kila mwanaume aendapo chooni (haja ndogo) lazima ashike nanii yake. Hivyo kila upeanapo mkono na mwanaume, manake...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna demu nasoma naye chuo nilimtongoza mara ya kwanza nakumuomba mapenzi yawe siri akakata akadai hawezi kuwa na mapenzi ya siri nikaachana naye. Baada ya mwezi akanirudia mwenyewe nakuomba...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nilikuwa na mpenzi tulipenda sana, lakini kwa muda sasa mambo yamekuwa hayaendi sawa kabisa, amenipitisha kwenye mambo mengi magumu na tumechokana na tumeamua kuachana kwa kweli sina haja nae...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
wakuu mtandao wa tigo umeshadata, muda huu ukipiga simu hawakati salio kabisa, nadhani server yao imesha collapse, so wale wapenda vya dezo huu ndio muda wetu kujimuvusisha freeely! Jaribu utaona!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Why I Cheated on My Husband The first question that comes to mind when a spouse cheats is: Why? A recent study by the University of Guelph in Ontario, Canada, attempted to answer that question and...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Unatakiwa kujua huonjeshwi mara mbili . Kazi kwenu
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nawasilisha wakuu.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
There are some love songs which are most loved, but some words inside, mhhhhh..........................!!!!!!! Eg1: Beyonce Knowles - Best thing I never had What goes around comes back around...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi nimeona niwaletee mabadiliko ya fashion ya nguo za ndani za kina dada. So far, wapo kwenye BIKINI stage.... What next?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
8 Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Ninyi mkimwona mpendwa wangu, Ni nini mtakayomwambia? Ya kwamba nazimia kwa mapenzi. 9 Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Wewe uliye mzuri katika...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
.. ..............loh!
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hi wanajamii,ifuatayo ni story ya kweli kabisa niliyo adhithiwa na rafiki angu(bwana harusi mtarajiwa) wknd hii akiniomba ushauri afanye nn na achukue uhamuzi gani. Bwana Hamisi(jina si halisi)...
0 Reactions
113 Replies
9K Views
Asanteni sana wadau kwa michango yenu kwenye my last thread titled "I have moved". My heading is quoted from one of the PM nilizopata kutoka kwa wadau, mdau mwenyewe ni mwanamke. Namshukuru kwa...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Sasa hii inakoelekea ni balaa!! Hivi hii ni starehe au ni kitu gani? Et mtu mko kunako sita kwa sita, mara katika kuandaana ili kila mtu aingie katika ulimwengu ule akiwa na raha......demu...
3 Reactions
105 Replies
8K Views
Kuna kila dalili kwamba mabadiliko ya Tanzania yataanzia Arusha kutokana na kuqwa na mbunge mwenye uthubutu na mpenda watu lema pamaoja na kuwa na serikali ambayo inampelekesha ili ashindwe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Family torn apart after false sex abuse claims One call to social services was enough to land a Swedish couple behind bars and have their kids taken away for more than two months after an...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Ukweli ni kwamba tunaishi kwa kubahatisha bila kujua hatima yetu itakuwaje huko mbeleni. Ninachojua nchi nyingi Ulaya na America, wao kwa kulijua tatizo hili basi wazee wanapofika umri wa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina rafiki yangu ambae tumetoka nae mbali sana, ni zaidi ya rafiki kwangu mana tunaishi kama ndugu kabisa. Jamaa yangu ana GF wake ambae amejiandaa atamvisha pete desemba hii, na wafunge ndoa...
0 Reactions
77 Replies
5K Views
Wajameni wapendwa wa mmu nisaidieni kimawazo mie mwenzenu nimechanganyikiwa sasa. Tatizo langu ni kwamba nimemuomba mungu kwa muda mrefu nahitaji kuolewa bila mafanikio wadogo zangu wote...
0 Reactions
184 Replies
17K Views
HILI NI KWA WANANDOA NAJUA KUNA WENGI WANA MATATIZO LAKINI KUNA GAP WANAWAKE AMA WAMAMA MNAZIACHIA KWENYE NDOA ZENU ..ZIPO SABABU NYINGIZA KUUMIZANA KWENYE NDO LAKINI KUNA HIZI HABARI ZA KUMWACHIA...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom