Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

JF nimeolewa miaka nane iliyopita nikiwa na 21 years old,nimekaa na mme wangu katika ups and down za ndoa .. Ila mme wangu naona ana mambo mengi ya ujana,dharau na kutojari familia , hakui...
2 Reactions
113 Replies
8K Views
Lakini wao wanasema ukiona kinaelea ni chepesi.
1 Reactions
126 Replies
8K Views
Wanajamii mi nahitaji kujua je katika makundi haya mawili Je ni yupi anaonekana amekosa maadili au kukosa maana mbele ya jamii hasa inapotokea mwanaume anao watoto lakini hana mke anaejulikana ama...
1 Reactions
40 Replies
15K Views
Ni kweli kwamba wanaume wa KiTZ hawawi wepesi sana kuwa na mahusiano na mtu mwenye watoto kutoka mume wa awali aumwanamme mwingine? Yaani siyo uhusiano wa kimapenzi tu bali uhusiano wa hata...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
...nimeulizwa swali ambalo natarajiwa nitoe ushauri ambao utamjengea "huyu" dada maisha yake au utambomolea kabisa matumaini kidogo aliyokuwa nayo! ni hivi....; maishani mwake amewashi kuwa...
4 Reactions
301 Replies
17K Views
Mimi km mwanamke wa Kitanzania KWA ZAID YA MIAKA 10 SIJATUMIA KILEVI AINA YYT, SIJAVUTA SIGARA,BANGI WL KUTUMIA AINA YYT YA DAWA ZA KULEVYA, PIA KWA MM NI MWAMINIFU SN ZAID YA MIAKA 10 SIJAWAHI...
11 Reactions
56 Replies
3K Views
Jana nilikuwa napitia kidogo kwenye akaunti yangu ya FB ambayo nimeifanya yatima siku hizi. Katika pita pita zangu nikagundua kitu kimoja, picha nyingi za wanawake zinazopostiwa siku hizi...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuna watu huwa wananikera sana 1. Ukimuuliza swali badala ya kujibu naye anauliza swali. 2. Kujifanya kila kitu anajua. 3. Mchonganishi i.e mtu wa majungu hovyo.
0 Reactions
136 Replies
7K Views
zamani wakati tunakua ilikuwa ukitaka kumtongoza msichana unatumia muda mrefu na wakati mwingine njia mngumu sana mpaka umuweke kwenye himaya yako. Kwa mfano kama unakaa kijijini unaweza kwenda...
0 Reactions
55 Replies
9K Views
Habar wanajf mwenzenu nina tatizo naomben ushauri, nimeoa nina mtoto mmoja lkn mazingira ya kazi yangu magumu yanapelekea kuwa na familia yangu wiki mbili katika Miezi minne, je mnahisi natimiza...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwanza kabisa wana JF,napenda kuwaarifu kwamba me ni member mpya kwenye hili jukwaa,naahidi tutashirikiana ktk kuchangia mada zile zitakazotumwa.Baada ya utangulizi huo,naomba kila mmoja kwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani naomba kuuliza, hivi mungu anaweza kumwambia mke wako wa ndoa iliyo dumu mwaka mmoja eti akuache kwa kumuotesha usingizini
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za hasubuhi wana JF!Mapenzi jamani yanaumiza sana. Nina mpenz wangu ki ukweli nina mpenda sana ila juzi juma mosi kimetokea kisa kimoja. Niliingia kazini juma mosi hasubuhi na ilipofika...
1 Reactions
69 Replies
6K Views
Jamani wana MMU naombeni kuuliza hivi ni kwanini ukiweka picha yako kwenye Facebook lazima itasifiwa hata ikiwa mbaya vipi, binafsi nimejaribu kuweka picha niliyotoka hovyo kabisa, lakini...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kuna watu ambao wamewahi "kujikuta" kwenye kitendo cha ngono na mtu ambaye baadaye au kesho yake wanajutia kwanini ilitokea hivyo. Na mara nyingi inatokea katika mazingira ya sherehe sherehe hivi...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
jaman network searchng....., available, searchn............., jaman wanawake wafanyabiashara ni balaa tupu! Simu haizimwi,nimechoka naye, ugomv wetu ni cmu, uko uwanjan hajal ni kona, goalkick, au...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
On your birthday, I wish you only smiles and joy A wonderful celebration, a gathering of friends, great happiness and joy that never ends. May your special day be filled with memories and...
7 Reactions
122 Replies
27K Views
Jamani wale wenzangu na mie wadadakwa wakaka tunaopanda daladala.. utakuta mtu kwenye daladala anasikiliza mziki kwenye simu yake simu yenyewe ya kichina, nasema ya kichina cz ni simu...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
salam sana.nilijaribu kufanya ka uchunguzi nikagungua wanawake wengi wenye sura za kuvutia wapo katika hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa ikiwamo UKIMWI.Pia wengi wao hawajui mapenzi na ua...
0 Reactions
33 Replies
13K Views
Nawasabahi waungwana...maranyingi ktk mijadara isiyorasmi swaala hili limekuwa likijadiriwa na mwisho wa hiyo mijadala watu wamekuwa wakikubaliana kuwa ni kweli kwamba wanaume wasio-kunywa...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Back
Top Bottom